Masoud Hamisi Japan retweetledi
Masoud Hamisi Japan
8.5K posts

Masoud Hamisi Japan
@MasoudJapan
Business Man JAPAN LOGISTICS AND GENERAL SUPPLY LIMITED [email protected]
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2015
73 Takip Edilen256 Takipçiler


@Japanesebw @TheCitizenTz Mwambie mzee wako akuje anunue hyo kitu
Indonesia

@TheCitizenTz He is not a Tanzanian in 100 percent and he is a chawa number one.
For possible want to control the media behind doors as he did in Tanzania for Ruling party
English
Masoud Hamisi Japan retweetledi
Masoud Hamisi Japan retweetledi

RAIS SAMIA AMUASILI MTOTO MCHANGA ALIYETELEKEZWA NZEGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo tarehe 11 Machi, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa tarehe 17 Januari, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.
Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.
Rais Dkt. Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.

Indonesia
Masoud Hamisi Japan retweetledi

@Wutangtz @ikulumawasliano Ufikiri wako mdgo china put deals on table kwa vile sisi wa africa we never care about contract ndo mana utamuona mchina mbaya niambie historia duniani ni wap china amewahi kuwa colonial master, alaf CCM ndo iliyokuletea maendeleo ambayo wewe umebweteka unataka ufanyiwe kila kit2
Filipino

@MasoudJapan @ikulumawasliano We mbwa!waulize zambia walifanywa nini na mchina!?nadhani wakoloni wabaya kabisa kuwahi kutokea duniani 1.maccm 2.Mchina 3.Mfaransa.
Indonesia
Masoud Hamisi Japan retweetledi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamojana Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Januari, 2026.
———
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu

Indonesia
Masoud Hamisi Japan retweetledi
Masoud Hamisi Japan retweetledi

Leo jioni nimewasili Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambapo nitaungana na viongozi wengine katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) pamoja na Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit - WGS) 2026 unaolenga kujenga mwelekeo wa namna serikali zinavyoweza kuhimili mabadiliko ya dunia na kuchochea maendeleo endelevu.
Ushiriki wa Tanzania katika majukwaa haya ni kielelezo cha uthabiti wake kisiasa, na dhamira yake ya kuendelea kuvutia uwekezaji toka ndani na nje ya nchi, utakaozalisha ajira zaidi na kuchagiza maendeleo yetu. Aidha, ni utekelezaji wa Dira 2050 pamoja Sera mpya ya Mambo ya Nje katika Diplomasia ya Uchumi.



Indonesia

@millardayo Hyu hana akili badala ya kurahisisha mikopo kwa ngazi ya wilaya vijana waweze kujikwamua kibiashara kwan nchi nzima wenye shida wasanii tuu
Indonesia

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki (CCM), Hamis Taletale, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13, ameomba kuwepo na mabadiliko ya sheria yatakayowawezesha wasanii kukopa fedha kupitia Mfuko wa Sanaa bila riba na masharti magumu ya dhamana, tofauti na ilivyo sasa ambapo mikopo hiyo hutolewa kwa kufuata taratibu za kibenki.
Taletale amesema mfumo uliopo kwa sasa hauwapi fursa wasanii wengi kunufaika na fedha zinazotolewa na Serikali kama ilivyokuwa awali wakati ikitolewa kutokana na vigezo vinavyowataka kuwa na mali kama nyumba ili kupata mkopo.
“Kama kuna utaratibu wa kisheria sisi ndio watunga sheria. Nakushauri Waziri Makonda leteni sheria hapa ili tuwasaidie wasanii. Kama kuna utaratibu wa kukopesha hizi pesa ambazo Mhe. Rais amezileta wapewe. Kama utaratibu huu ni mgumu ambao mmeujengea, ukitaka kukopa pesa ambayo ameileta Rais eti mnataka niweke nyumba, si kila msanii ana nyumba” Hamis Taletale (Babu Tale) - Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia
Masoud Hamisi Japan retweetledi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
_____
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TabasamuLaUtu
#MazingiraNiUtu



Indonesia
Masoud Hamisi Japan retweetledi

@bbcswahili Tuwe wakweli reaction za USA zinatupeleka kwenye vita ya 3 ya Dunia hakuna nchi huru inaweza ikavumilia matendo yake
Indonesia


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026.


Indonesia

@mabiriani @ikulumawasliano Sio maelekezo soma maandiko ya mamlaka kwenye vitabu vya dini nakupa mfano wapo waliotaka JPM isitokee kilichotokea lakin sisi binadam hatupangi na mungu anamipango yake na mamlaka yake
Indonesia

“Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea” – Ujumbe wa faraja wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika salamu za Mwaka Mpya 2026
_______________
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
Indonesia

@mabiriani @ikulumawasliano Napenda Bongo no place like Tz
English










