MATUKIO ONLINE TV

59.5K posts

MATUKIO ONLINE TV banner
MATUKIO ONLINE TV

MATUKIO ONLINE TV

@Matukionline

𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 |𝗠𝗶𝗰𝗵𝗲𝘇𝗼 | 𝗕𝘂𝗿𝘂𝗱𝗮𝗻𝗶 .

Tanzania Katılım Temmuz 2019
24K Takip Edilen80K Takipçiler
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Kampuni ya continental Reliable Clearling ( CRC ) yatoa TAARIFA Kwa Washirika wao wa Kibiashara kutokana na kampeni za kuwachafua mitandaoni
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
114
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
New Delhi Machi 2, 2026: GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterprises, kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kubadili na kuunda upya taswira ya mawasiliano ya simu duniani
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Filipino
0
0
1
110
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Amnesty imeandika Barua kwenda Chadema, likilaani na kuhusu baadhi ya Wanachama wao walioingia Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae kurejea Tanzania bila ya kutoa taarifa na kulisababishia hasara shirika hilo kutokana na malipo waliyokuwa wakilipwa wahusika
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
126
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Antigua na Barbuda, Mhe. Gastone Browne pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), leo
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
110
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka eneo la mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026, Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).  _______ #TanzaniaNaUwekezaji
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
57
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
47
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Dkt. Maitha Salem Al Shamsi muda mfupi kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026)
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
42
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
POLISI YAJIIMARISHA KULINDA RAIA MSIMU HUU WA KRISMASI NA MWAKA MPYA "Maisha yetu na shughuli zetu wakati wa hizi sikukuu yanahitaji mazingira ya amani ili kila mmoja aweze kushiriki kwenye ibada za kumshukuru Mungu " Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini (DCP) David Misime
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
114
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Waumini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Stanslaus Thobias Nyakunga na Elia Phaustine Kabote, wamewasilisha rasmi barua kwa Archbishop Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini, wakiomba kufanyika kwa uchunguzi wa kichungaji na kiutawala kuhusu mwenendo wa Padri Kitima
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
526
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM-TAMISEMI) awaandikie barua Wakuu wote wa Mikoa ili waunde timu za ukaguzi wa majengo na miradi kwenye mikoa yao kama njia ya kukabiliana na wakandarasi wanaokiuka makadirio ya gharama za ujenzi (BOQ) wa miradi
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
2
106
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amekutana naye wakati akiwa katika ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Lindi.
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
90
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameridhishwa na kazi inayofanyika kwenye ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa mkoani Lindi ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90. "Nimefurahishwa na maendeleo ya mradi huu ambao ni mmojawapo ya miradi mingi ya kimkakati " PM MWIGULU
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
102
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Waziri wa nchi, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) amesema kuwa msingi wa amani na utulivu wa Taifa letu ni Muungano wa Tanzania ambao umedumu zaidi ya miaka 61 tangu kuasisiwa kwake.
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
102
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 19, 2025 amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya Kikazi. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu leo anategemea kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
122
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, siku ya Alhamisi Desemba 18, 2025 amewakemea vikali viongozi wa kisiasa na viongozi wa dini wanaotumia imani za kidini kuhalalisha migogoro, vita au sera za utaifa, akisema kitendo hicho ni kufuru na dhambi kubwa inayomkosea heshima Mungu.
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
53
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemb amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu na mali za watu binafsi zilizotokea Oktoba 29
MATUKIO ONLINE TV tweet mediaMATUKIO ONLINE TV tweet mediaMATUKIO ONLINE TV tweet mediaMATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
0
73
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Airtel Africa leo imetangaza rasmi kushirikiana kimkakati na kampuni ya SpaceX kwa ajili ya kuunganisha huduma ya satelite moja kwa moja katika simu Janja (Starlink Direct to Cell) katika nchi 14 barani Afrika Airtel, ambapo Airtel inahudumia zaidi ya wateja milioni 174.
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
2
103
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya viza walizopewa, ikieleza kuwa kutofuata masharti hayo ndicho chanzo kikuu cha Tanzania kuwekwa katika kundi la nchi zilizowekewa vikwazo
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
74
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka leo Desemba 17, 2025 amefungua Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali ambacho kinafanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
1
69
MATUKIO ONLINE TV
MATUKIO ONLINE TV@Matukionline·
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameendelea kufanya mikutano na Viongozi na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza na kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Marekani. Miongoni mwa Viongozi hao ni Mhe. Dkt. Ronny L. Jackson
MATUKIO ONLINE TV tweet media
Indonesia
0
0
2
103