
Do you have any regrets in life?
tobwe
25.4K posts

@Maulid10
Board Member at KUKEKE GANG

Do you have any regrets in life?



Hivi kuna mtanzania aliewahi zunguka mikoa ya Tanzania yote?

Ukifungua kanisa kisha mali zote ulizonazo kama bank, viwanda, majumba nk ukaviweka chini ya kanisa vitatozwa kodi?

Kuna mada kama huna uelewa nazo bora uvunge tu


@hamzaalbhanj Oil inachangia Swali la msingi gari zilikuwa zero km ama used Kama used from Japana wanashauri Angalau ununue km 100,000 plus ama iwe chini ya 50,000 km Kama gari Mpya rudisha kwa supplier warranty inakuwa miezi 24. Swali la Pili aina ya gari na walimwaga oil baada ya kununua


Kuna Jamaa Mkewake Kajifungua Mapacha Alivyo Pima DNA, Mtoto Mmoja Ndio Wake Na Mwingine Sio Wake Hii Imekaaje Kitaalamu? Mpk Nimeogopa Mungu Fundi Sana.

Watanzania wenye asili ya kiarabu hawana tatizo na kupokea malipo ya bidhaa kwenye acc zao za bank au simu, shida ipo kwa watanzania wenye asili ya kihindi wao ni cash au wakupe namba za wakala, wanautaka sana utanzania ila hawataki kuchangia mapato kwenye serikali.

