meille'ure

563 posts

meille'ure banner
meille'ure

meille'ure

@Meilleure79

Richness is the best pleasure..

Tanzania Katılım Kasım 2022
874 Takip Edilen120 Takipçiler
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@kasesco_tz Nyehunge,katarama na NDUGU Yao ally's star bus ni overrated
Indonesia
0
0
0
164
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kampuni gani za mabasi hapa Tanzania ni overrated..?
kasesco☆ tweet mediakasesco☆ tweet media
Indonesia
17
18
132
9.4K
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@sisuyasuke Hapo umenena akili zimelala too much na watanzania tunauwelewa mdogo sana juu ya dunia inavyoenda..
Indonesia
1
1
1
12
ZEDD-Enigma
ZEDD-Enigma@sisuyasuke·
Kwanini unauza nguo ambazo ni "already made?" Yet unaweza ukabuni za kwako na ukauza ubunifu wako! Kijana! Open yo eyes, look at the future 🔭
Filipino
1
1
11
104
ZEDD-Enigma
ZEDD-Enigma@sisuyasuke·
Future ya uwekezaji kwa asaivi ni; 1. Tech 2. Pharmaceuticals 3. Kilimo na ufugaji Unabisha?
Filipino
22
59
578
17.7K
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@EsirEid Haijalishi umepambana kiasi gani,kufeli ni kufeli tu😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌daah
हिन्दी
0
0
0
102
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@RamarJemedal @swahilitimes Ruto yupo sahihii nchi zetu ukitoa kenya tunaagiza sana bidhaa kutoka NJE na zingine tunazalisha sisi wenyewe lakini bado tunaagiza za nje,vitu Simple Kama biscuits,Pipi na vinginevyo unaagiza nje alafu unataka ushindane na kenya,Sisi tunasafari ndefu sana,ruto is bright 🧠🧠
Indonesia
2
0
0
42
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
“Najua watu wengi nchini Kenya wanaendelea kuuliza kwanini wakati mwingine bei ya mafuta nchini Kenya inatofautiana na ile ya majirani zetu. Kenya ni nchi ya kipato cha kati. Majirani zetu ni nchi zilizo kwenye kundi la nchi zilizoendelea kwa kiwango cha chini. Kuna tofauti kubwa. Kama unataka kulinganisha Kenya kwa haki na nchi nyingine, linganisha Kenya na nchi nyingine za kipato cha kati." - William Ruto, Rais wa Kenya
Swahili Times tweet media
Indonesia
68
54
845
53K
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@RamarJemedal @swahilitimes Kenya katuzidi uchumi nchi zote za east Africa kwasababu wao wanaviwanda vingi na wanafanya exportation kuliko nchi yoyote kweny bidhaa Kamili na malighafi kwahyo nchi yao wana gain pesa nying especially fedha za kigeni,Huwezi linganisha na nchi Kama Tanzanzia yenye kuagiza zaidi
Indonesia
2
0
0
45
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@Positivenga1 Umemaliza kila KITU 🧠🧠🧠 watu wanatakiwa wsfikirie kweliii kweliii
Polski
0
0
0
108
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Ukweli ambao vijana wengi tunachelewa kuuelewa na wengine hatutakuja kuuelewa kabisa. 1. Kwa kiasi kikubwa, Serikali haitakiwi kutoa mitaji kwa watu, serikali kazi yake ni kuweka mazingira wezeshi ya watu kupata mitaji kwenye taasisi binafsi. Ukiitegemea serikali ikupe mtaji utachelewa sana. Serikali huwa inatoa mitaji kwenye maeneo machache sana kimkakati like matching funds ili kuchochea mkakati fulani. 2.Serikali haitakiwi kuwa muajiri mkubwa, ajira nyingi zinatengenezwa na taasisi binafsi. Sehemu yoyoye ile ukiona watu wengi wanategemea ajira za serikali, kuna kitu hakiko sawa kiuchumi au kimindset. Ni changamoto hata hapa kwetu mtu aliyetoka chuo focus yake kubwa ni ajira ya serikalini ambapo ziko chache na sio private kwenye big pool. 3. Benki haitakiwi kutoa mitaji kwa watu wenye mawazo ya biashara, zile pesa unazoomba benki wakukope afu wakupe uwekeze kwenye idea yako sio ela za benki: ni ela za watu masikini wengi ambao wameweka ela zao pale. wewe na idea yako ambayo haipo proven(haina uhakika wa kutoboa) ikifeli ni masikini wengi wanapoteza pesa, sio benki inapoteza pesa. Benki wanakopesha biashara zenye collateral ambazo ziko hatua ya ukuaji. Zikianguka wanashika amana zao wanauza ela za masikini zinarudi zote au kwa kiasi kikubwa. Mara nyingi Kama unawazo la biashara katafute mtaji kwa ndugu, investor au taasisi za kutoa ruzuku(grants) na sio benki wala serikali. Wazo lako likishakuwa biashara iliyosimama ndipo nenda benki. Ukielewa haya utaanza kutazama vitu kwa utofauti, hautapoteza muda baadhi ya sehemu na hautaishi kwa matumaini fake.
Indonesia
7
28
117
5.2K
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@sisuyasuke Sisi tuko nyuma ya USA almost miaka 200 na uingereza tuko nyuma Yako hata zaidi ya miaka 500 biashara yoyote waliyowahi kuifanya wenzetu na mapinduzi yote waliyopitia Sisi Bado kwahyo bongo kuna fursa nyingi Sanaa, INABIDI U COPY AND PASTE kutoka KWAO Alf leta huku
Indonesia
2
2
19
888
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@FaradayMtz01 Ili UFANIKIWE haraka ni łazima ufanye international trade kama TAJIRI yetu namba 1 anachokifanya tuna raw materials nyingi ambazo kwa wenzetu ni mali mfano Pumba za mahindi,za mchele pia na mazao lukuki yana demand ukienda soko kama la Congo linahitaji uvumilivu tu ila ni big yes
1
0
1
29
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Asilimia 90% ya Startups zinazoanzishwa Tanzania 🇹🇿 zinafeli kwa sababu. Hakuna masoko ya uhakika. Kutokuwa na cash za kurun Startups. Kutegeana/migogoro ya founders. Competition kuwa kubwa. Kutokufanya leverage. Kutokuwa na elimu ya startups.
Indonesia
6
6
53
1.6K
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@FaradayMtz01 Mzunguko wa PESA hapa nchini ni mdogo watu wengi wanapata FAIDA na cash nyingii kweny biashara kupitia wateja wa nje ya nchi,Kenya,Uganda, Zambia,Malawi,congo,south Sudan na zinginezo huwezii ukakuwa kweny uchumi ambao watu Hawana PESA mkononi na wakiwa nacho ni kidogo
Indonesia
0
0
0
32
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Dubai polisi wengi wanajua lugha ya kiswahili wanasikia na kuongea fluent ukichunguza kiundani utagundua Babu zao walikuwa wabongo waliokuja Uarabuni miaka ya 80 na kuna eneo linaitwa Al Rashidiya ukifika utajihisi kama uko BONGO hapo kuna michongo yote unayoijua ya Duniani
Indonesia
11
44
648
25.1K
meille'ure
meille'ure@Meilleure79·
@Adventure_36 Hii kauli unapendaa sana,kuirudia na Una uhakika nayo Sanaa,tupe ushuhuda tujifunze kitu 🔥
Filipino
1
0
1
40
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Usimkatie tamaa binadamu ambaye bado ana pumua. Muda wowote maisha yanaweza kubadilika
Indonesia
11
51
200
2.3K
hamza Lule
hamza Lule@hamzaalbhanj·
Logistics Business inahitaji Roho ngumu
Indonesia
9
2
34
3.1K