Men.Men.Men - The Podcast

3.3K posts

Men.Men.Men - The Podcast banner
Men.Men.Men - The Podcast

Men.Men.Men - The Podcast

@MenThePodcast

A Bi Weekly Podcast about Unlocking & Unpacking Mental Health for Men. Hosted by Michael Baruti & Nadia Ahmed

Tanzania Katılım Kasım 2019
163 Takip Edilen3.3K Takipçiler
Men.Men.Men - The Podcast
Men.Men.Men - The Podcast@MenThePodcast·
Dkt. Frank Kiwango (Mtaalamu wa Afya ya Akili – KCMC) anaeleza kuwa ukeketaji unaweza kusababisha hofu, sonona (depression) na changamoto za afya ya akili zinazoweza kujitokeza hata mtu anapokuwa mtu mzima. Kwa kushirikiana na @euintanzania @maendeleoyajamii @UN_Women
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
3
4
392
Men.Men.Men - The Podcast
Men.Men.Men - The Podcast@MenThePodcast·
Kombola Tayai alikabiliwa na shinikizo la kukeketwa baada ya Form 4. Alitoroka, akatafuta msaada na leo anaendelea na masomo ya sheria chuoni. Kwa kushirikiana na @euintanzania @maendeleoyajamii @unwomen tunaendelea kuhamasisha jamii kutokomeza ukeketaji.
Filipino
0
2
1
206
Men.Men.Men - The Podcast
Men.Men.Men - The Podcast@MenThePodcast·
Haikuchukua tukio kubwa kubadilisha maisha yangu. Rafiki yangu alikuja tu kuchukua chupa ya pombe niliyokuwa nimechukua kwake usiku uliopita. Alipoondoka, nilijiuliza — “hadi nimefikia hapa?” Tarehe 8 Juni niliandika: “Siinywi tena pombe.” Na maisha yalianza upya.
Indonesia
0
0
0
70
Men.Men.Men - The Podcast
Men.Men.Men - The Podcast@MenThePodcast·
Heri ya kumbukizi ya Baba wa Taifa — Mwalimu Julius K. Nyerere.
Men.Men.Men - The Podcast tweet media
Indonesia
0
1
5
105