Mercy Amiani
2.1K posts


@Radio47_Kenya @magangabeaty Hapo hakuna kitu coz tax itamaliza yote.
Filipino

TOA MAONI: Je, unadhani nyongeza ya asilimia 12 ya mshahara ya wafanyakazi itaimarisha maisha yao?
@magangabeaty atasoma maoni yako mwishoni mwa Habari za Kina za Radio 47 saa moja asubuhi.
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
#HabariZaRadio47 #HapaNdipo

Indonesia

Kumekucha! Siku ya kubarikiwa! Karibu tubarikiwe sote ndani ya #TarumbetaYaAshe na @Jonathan_Tinga Papaa Jt . Unasikiliza ukiwa wapi? Unamkaribisha nani mpangoni?
Call:0712000014 Sms/Whatsapp:0712040010 Twitter/IG:@radio_ashe

Indonesia

Jambo Jambo, karibu kwenye #JamboKenyaChangamka. Wiki yako imekuwaje? Leo tunapiga story na 'Oburu' & Rahisi (MC Kibe). Tegea 6am - 10am uburudishwe na ufahamishwe. #RadioNumberOne


Indonesia

Good morning mwanaligi! Leo tunateka anga na kuomba kila kitu na tutatimiziwa ndani ya Declaration Tuesday na @EvahMwalili
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
#NuruNaEvahMwalili #HapaNdipo

Filipino

Uwepo wa Bwana uwe nawe Team Pambazuka siku ya leo 🙌🙏.
Karibu ndani ya #TestimonyTuesday hapa #Pambazuka na @Sally_Mbeyu
#RadioNumberOne

Indonesia

Are you tuned in? Join us for the praise that breaks chains.
Call -0719038963
WhatsApp - 0758400053
#PraiseBreakOnNationFM @KoinangeBarbra

English

Siku moja pekee imesalia Mwaka 2025 kukamilika. Je, 2025 ilikuaje?
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
#Tahariri #HapaNdipo
Eesti

@RadioJamboKenya Ilipata a very weak team wacha wafike mbele haitakua rahisi.
Indonesia

Timu ya Morocco ilinyakua ushindi dhidi ya Chipolopolo ya Zambia na kuwa timu ya kwanza kufuzu robo fainali katika kipute cha AFCON kinachoendelea nchini humo.
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya



Indonesia

Je, unadhani ufisadi utaisha humu nchini?
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
#HapaNdipo #MwashumbeNaMwakideu
Eesti

Wasaa wa Kikao ndani ya @Milele_FM Breakfast
Acha tuangazie utendakazi wa gatuzi la Nairobi #LuchivyaNaWilbrodaMilele

Indonesia

Maisha Asubuhi na Main Man Rio na @shugaboyke1. 6am -10am
Watch us live at radiomaisha.co.ke
IG: instagram.com/radiomaisha.ke/
X: x.com/radiomaisha
FB: facebook.com/radiomaisha
#RioNaShugaboy #RadioZaidiYaRadio

Filipino


@NationFmKE @KoinangeBarbra Amen. Turbo tunamsifu Yesu Christu.
Lietuvių

Happy Tuesday!
@KoinangeBarbra invites you to a morning of praise and worship.
Where are you listening from?
#PraiseBreakOnNationFM || @KoinangeBarbra

English

Amawaziri gakuvitiza ukuvikwaho kwirivikiru rieserekali ryimiradi ji izinzira, amazi nistima nindi irivikiru rindi ryu mufuko huru gwa 5T ziukujagiza ologendo rwukugirung'anyia ikivara kinu ukuva chuvuchumi vwikivara chukutanga. #VuukaNews #merrychristmas

Nairobi, Kenya 🇰🇪

Tamka kwa kinywa chako na yatatendeka mwanaligi. Karibu ndani ya Declaration Tuesday tutamkiwe baraka kwa imani na @EvahMwalili
Follow us on:
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
#NuruNaEvahMwalili #HapaNdipo

Filipino

@NationFmKE @KoinangeBarbra Amen. From Turbo getting you live.
English

