The Sniper
8.1K posts

The Sniper
@MfaumeSeif5
if you isolate yourself...you will be isolated
Katılım Şubat 2020
72 Takip Edilen264 Takipçiler

@Mwenyekit_i Kama Taifa limefika hapa basi tuko katika hali mbaya sana
Indonesia

@RevocatusMagum1 Yan chama kupigwa kidogo ndio Walter afungiwe?
Filipino

Meneja wa Klabu ya Yanga Walter Harrison siku mbili hizi ni mbaya kwake na huenda akapewa adhabu na Bodi ya ligi kuu Tanzania Bara.
Siku moja kabla ya Mchezo dhidi ya Simba alimtukana vibaya mchambuzi wa Michezo Jemedari Said aliyemkosoa baada ya kusambaa kwa video akisema Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo haupaswi kutumika kwani una matope.
Leo wakati mechi inaendelea amemsukuma vibaya Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Clatous Chama lakini Mwamuzi hakuona na badala yake kadi ya njano akaoneshwa Kocha mkuu.

Indonesia

@RevocatusMagum1 Kweli nimeamini mashabiki wa Simbwa ni mbumbumbu
Filipino

Samahani ndugu zangu ila hii timu ina mambo ya kishamba sana.
Yaani ukodi nyumba nje ya uwanja ndio utumie kama dressing room? Ujinga huu
Micky Jnr@MickyJnr__
Yanga coming out for the 2nd half from the house they are using for the derby as changing room. #AfricanFootball
Indonesia

@Kicheche_jr Sisi kwetu hakuna kanisa hata moja waalimu au viongozi wa kikristo wanafanya sala zao kwenye madarasa ya shule
Filipino
The Sniper retweetledi

Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour


Indonesia

@EsirEid Nadhani unajitia dole na kunusa..hivi kwa matendo mabaya na ya kishenzi ambayo ccm wanawatendea watanzania kuna mtu mwenye akili timamu haoni haya hadi awafuate watu flani flani!!
Indonesia

#TajiriLaKihaya
WANAHARAKATI UCHWARA….
Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao…
Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA….
Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING!
Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅
NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽
Indonesia

@SwahiliRealTalk Remi alisema Masoud ni mrembo na amependelewa kwakua ili sura yake itishe ni lazima acheke au apanue mdomo lakini yeye Remi ile ni sura yake halisi
Indonesia

Kipindi hiki acha niwape stori. Hapo kwenye picha ni Remmy Ongala(katikati) Masudy sura mbaya(kushoto) na Mzee Jangala(kulia). Kulikuwa na shindano la mtu mwenye sura mbaya kuliko wengine Tanzania na hawa ndio vinara watatu bora ambapo: –
1. Alichukua Masudy Sura Mbaya
2. Akachukua Remmy Ongala
3. Ikakamatwa na Mzee Jangala
Kilichostaajabisha watu zaidi ni pale Remmy Ongala alipolalamika saaaana kuwa ameonewa kwamba alikuwa anastahiri kuibuka mshindi wa kwanza yeye na sio Masudy 😂😂😂. Akasema “jamani Masudy hanishindi kwa ubaya majaji mmembeba 😂😂😂” Anayekumbuka mwaka wa tukio atukumbushe jamani.

Filipino
The Sniper retweetledi

@Sirajitz1 Kusema kweli Simbwa wanaenda kukeketwa tena hiyo tarehe 29 na tarehe 3
Filipino

Mwandishi 🎤 Ali kamwe baada ya kiwango bora walichoomesha leo Simba unazungumziaje dabi yenu ya fainali itakayochez. wa huku amani Tarehe 29/4.
Alikamwe 🎤 Makolo tumewaona leo wanajitutumia ila kiukweli kabisa Simba na Yanga mechi zake hazijawahi kua nyepesi kabisa
🎤 Kuna makocha wasaidizi walikuepo nadhani wameuona mpira na watakuja kuongea na wachezaji mda wa mazoezi na nadhani tutafanya vizuri hatutaidharau mechi
------------------------------
Unadhani nani anaenda kula kichapo kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Simba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Filipino















