KanjunjuJohn

634 posts

KanjunjuJohn banner
KanjunjuJohn

KanjunjuJohn

@MigoDidas

Finest Man⚘ Activist💥 Teacher👣 Simba Sports Club and Machester United Fan⚽️

Tanzania Katılım Haziran 2012
2.9K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Wewe ni Dereva na una Drive License ya BONGO ingia Dubai kisha pita madarasa yao week tatu upewe International Driving licence ya hapa uendeshe gari on left hand Usahau umaskini 🎯 Ukiwa hauna leseni ya Bongo kupata leseni hapa ni sawa na milioni 15 ya kibongo
Indonesia
19
55
563
24.2K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Watunwa Samsung wanalalamika Samsung inaenda ku-discontinue Samsung Messages App. Hili swala hata mimi litanikera aisee!!
Indonesia
8
10
266
21.3K
KanjunjuJohn retweetledi
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Tanzania kwenye msimamo wa FIFA tangu mwaka 2000 (Msimamo wa mwisho wa mwaka) 2000 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 140 2001 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 149 2002 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 153 2003 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 159 2004 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 172 2005 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 165 2006 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 110 2007 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 89 2008 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 99 2009 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 106 2010 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 116 2011 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 137 2012 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 130 2013 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 120 2014 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 105 2015 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 132 2016 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 156 2017 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 147 2018 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 138 2019 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 134 2020 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 135 2021 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 131 2022 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 130 2023 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 121 2024 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 106 2025 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 112 Nafasi ya juu zaidi 65 (Feb 20, 1995) Nafasi ya chini zaidi 175 (Oct 15, 2005)
TheProtégéTZ tweet mediaTheProtégéTZ tweet media
Indonesia
8
8
182
38.9K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Kuna mwanetu mmoja anaenda kuoa , binti kwao wazazi wake ni kibaha , ila kiasili wazazi wake ni watu wa Singida , ni wanyaturu,. kutokana na sifa na tabia zilizopo za wanawake wa singida , mchizi amegoma demu asijitambulishe kama ni mnyaturu, so wazazi wake mshkaji wanajua binti ni mkagulu na hata washkaji tunajua wachache sana,. anaapa siri hiyo itabaki hivyo siku zote,.. ni kwamba haya mambo ya makabila kuchafuliwa kumbe ni kwel yana impact jamii🤔🤒.
Indonesia
22
25
95
9.1K
KanjunjuJohn
KanjunjuJohn@MigoDidas·
@fintanjr_ Binafsi hii nimeenda nayo, mke wa mwana mpare ila kakulia Mbeya tumeenda kijijini kwetu Bukoba na code huyu mnyakyusa imepitaaa
Indonesia
0
0
0
37
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨UKATILI USIO NA KIFANI WA POLISI MWANZA‼️ Unprecedented police brutality continues in #Tanzania under @SuluhuSamia cc @OHCHR_ESARO @UNHumanRights @volker_turk @FCDOHumanRights @achpr_cadhp @StateDRL @StateDeptARS Huyu baba alikamatwa tarehe 15 Machi jioni na maaskari wakidai kuwa aliwasiliana na mtu ambaye kafanya tukio la uhalifu, hivyo wakidai awape ushirikiano kumpata Huyu baba aliwaambia hamjui mhusika na namba haijui ila kuna wakati alipokea ujumbe kutoka hiyo namba hapo nyuma kuwa anahitaji huduma ila hakuonana naye tena Walimlaza kituo cha National Mwanza na asubuhi wakamtoa kwenye sello wakamfunga pingu na kuanza kumpiga na mipini ya jembe kwenye unyayo wa miguu Aliachiwa tarehe 21 Machi na walichukua simu zake wakidai wanaendelea na uchunguzi ila wamemwacha na majeraha makubwa namna hii! Huu uonevu wa @tanpol si geni wala si mara ya kwanza ila hatuwezi kuNORMALIZE na lazima tupaze sauti, kuikemea na kuuweka hadharani dunia ijue! Na hakuna uwajibikaji hadi #SamiaMustGo tuanze upya na #KatibaMpya
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
21
127
381
29.4K
KanjunjuJohn retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST 🙏🏽. Urban Chill Music T8 2nd GENERATION TZS 220,000/= Call/Whatsapp 0716006808
M.D (🅨) tweet media
Indonesia
6
285
282
7.7K
MJOMBA NI MAMA 🦘
MJOMBA NI MAMA 🦘@mjomba__nimama·
Kioo cha simu kimepasuka? 😌 Niambie model ya simu yako sasa hivi, nikupatie bei ya offer ya Pasaka leo tu!
MJOMBA NI MAMA 🦘 tweet mediaMJOMBA NI MAMA 🦘 tweet media
Indonesia
241
49
361
31.2K
KanjunjuJohn retweetledi
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Hii code nifungulieni Kwanini Haishauriwi kwenda Kulala Kwa Demu wako?
Filipino
40
20
204
26.7K
KanjunjuJohn retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Ukiona ndoa imetulia basi kiongozi ni Mwanamke📌
Indonesia
16
13
164
9.4K
KanjunjuJohn retweetledi
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Ujinga ni kuamini ukipewa Mbususu unapendwa. 💔
Indonesia
22
36
175
6.3K
KanjunjuJohn retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mtu anakwambia Leo Eid ataenda kula kwa shangaz yake, toka saa 11 jioni mpk saiv simu yake haipatikan. Hii nchi inahitaji Ukombozi kila sehemu 🥲
Indonesia
5
15
164
4.8K
KanjunjuJohn retweetledi
t9
t9@thee_mulela·
Dj afro anafaa aende hio matanga ya Chuck norris..
Indonesia
110
2.3K
10.3K
143.2K
KanjunjuJohn retweetledi
Tell me her name 💫🤍
Tell me her name 💫🤍@Angelelsie8·
Kuna majibu hayatoki kwa kuomba zaidi, yanatoka kwa kubadilisha mwenendo. Maombi yanaweza kukuongoza lakini tabia huamua matokeo. Ukiomba bila kubadilika utazunguka pale pale. Mabadiliko huanza kwenye maamuzi si maneno. Badilisha mwenendo utaona majibu.
Indonesia
1
14
61
1.1K
KanjunjuJohn retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Kama ulimpenda sana mtu ambae sio sahihi kwako imagine mtu sahihi utampenda kiasi gani.
Filipino
3
10
104
3.2K
KanjunjuJohn retweetledi
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Sitosahau siku nimeshushwa na police kwenye Bus kwasababu Nimeisema Vibaya Serikali . Nitakuja na Uzi one day . Ila tuna jeshi la polisi la machawa iyo Iko wazi 🙏
Filipino
2
8
64
3.3K
KanjunjuJohn retweetledi
Balyx
Balyx@Balyx_·
Utopolo wametoa droo tena? Oyaaa mtu ampige Ibenge kwenye utosi. Anatuchelewesha. Ilitakiwa mpaka sasa Azam awe ashatangazwa kama Bingwa wa Ligi
Indonesia
6
8
125
3.2K
KanjunjuJohn retweetledi
Balyx
Balyx@Balyx_·
Huu mkeka ukitick nina uhakika wa kuagiza shehena ya Mafuta kutoka Iran na nikamuuzia US kwa gharama nafuu Kanjibai leo kazini kwake pamevamiwa 🔥
Indonesia
1
1
90
3.3K
KanjunjuJohn retweetledi
Zed🇮🇷🇹🇿
Zed🇮🇷🇹🇿@Zephania_Ndaki·
Dunia Inataka Pesa Wewe Unailetea Mapenzi Lazima Ikunyooshe.
Indonesia
3
11
33
965