Emmanuel DollaDolla Minde Eddm

5.3K posts

Emmanuel DollaDolla Minde Eddm banner
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm

Emmanuel DollaDolla Minde Eddm

@MindeEddm

Zab 23:1

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2021
921 Takip Edilen325 Takipçiler
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Ukifikiri vizuri utangundua uliishi kwa furaha kabla hujampata huyo pasua kichwa unayemngangania abaki
Indonesia
7
19
55
698
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Moyo ukiwa na hamu ya Ushindi, Vikwazo hugeuka Mafunzo. Ikawe siku njema
4
19
41
434
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Hakuna huruma kwenye dunia hii hata kama Uko kwenye Shida Watu watakucheka Usiishi kwa kutegemea huruma ya Mtu 📌
Indonesia
6
10
14
263
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Kitu ambacho hupaswi kujielezea sana ni kuhusu wema wako tenda wema nenda zako 📌
Indonesia
0
12
19
372
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Mlango haukufungwa ili kukuadhibu. Ulifungwa ili kulinda kile kinachofuata.✍️🏿
0
9
28
292
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Katika shida zako kuna uwezekano mkubwa ukapata suluhisho kwa haraka kwa kukaa kimya kuliko kuzungumza..!! Yes or Not?
Filipino
21
44
397
9.3K
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Ukiwa dhaifu, watu watakusukuma. Simama imara na ulinde mipaka yako.✍️🏿
Filipino
2
11
27
367
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Ahmed Rashid🇹🇿
Ahmed Rashid🇹🇿@ahmerd_costa19·
Hakutakuwa na wakati wa kutosha kusema mambo yote ambayo moyo wako ulikusudia kusema. Tunapompoteza mtu ghafla na bila kutarajia, inatukumbusha kwamba wakati wetu duniani ni mdogo. Kwa hivyo wengi huweka kinyongo, kisha hujuta wakati umechelewa.
Indonesia
5
14
38
406
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Waonyeshe kuwa wewe sio tegemezi wakaja kujiona bila wao wewe huwezi kitu📌
Indonesia
0
8
20
355
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Wakati mwingine jifunze kuyavalisha nguo matatizo yako, sio kila mtu unamwambia, Ni wachache tu wanaojali wengine wanataka kuyapandisha bendera matatizo yako kila mtu ayaone Good morning hustlers 👊🏾
Filipino
31
40
87
1K
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Maisha_Halisi
Maisha_Halisi@hassanially1996·
⚠️Hakuna huruma kwenye dunia hii hata kama Uko kwenye Shida Watu watakucheka Usiishi kwa kutegemea huruma ya Mtu 📌
Indonesia
2
11
40
817
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Vyovyote itakavyo kua hakikisha Usioneshe Udhaifu mbele yao Mwanangu watachukua nafasi yakutaka kila kitu kukuongoza 📌
Indonesia
2
6
32
442
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Watu wenye furaha zaidi si wale walio na kila kitu. Wao ndio walioridhika zaidi.
Indonesia
0
7
32
384
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Neema Paul
Neema Paul@Bless_paula26·
Ishi na watu vizuri. Usije ukapewa pole kwenye matatizo yanayohitaji msaada.
Indonesia
7
32
120
1.4K
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Usipoteze Muda kujitetea kwa Watu ambao washa amua kukukataa 📌
Indonesia
1
11
38
504
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Eng Msaki
Eng Msaki@Aloycemsaki·
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. (Mithali 4:23 )
Filipino
4
24
108
989
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
Holy
Holy@yose_hoza·
Hata ukikosa kila kitu kwenye mipango yako. Jitahidi upate utulivu wa akili na amani ya moyo.
Filipino
2
14
27
361
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Mshukuru Mungu kwa kukuamsha Salama na hakikisha furaha yako haitegemei Moyo wa Mtu📌
Indonesia
5
16
58
635
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Wakati wa anguko lako, weka rekodi sahihi ya tabia za watu ili utakapoinuka tena, usichanganye wanyama na wanadamu.✍️🏿
Indonesia
1
6
19
200
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Ukijiunga nao kusengenya kuhusu wengine. Wakati uleule utakapoondoka utakuwa mada inayofuata.
Indonesia
1
6
22
190