Engkabora

6.6K posts

Engkabora banner
Engkabora

Engkabora

@Engkabora

#LAPTOP_SUPPLIER Link https://t.co/dqZ79gjCBw Location:Kariakoo mitaa ya Agrey/msimbaziiii Degree holder #DATASCIENCE #WEBDESIGNER #MrTech

Dar es salaam Tanzania Katılım Haziran 2026
497 Takip Edilen469 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Biashara ni asubuhiiii guys njoo ujipatie offer Link wa.me/c/255785003692 Location:kariakoo mitaa ya Agrey/msimbaziiii Contact: 0785003692 Usisahau ku follow @Engkabora NAOMBA #REPOST YAKO TU
Engkabora tweet mediaEngkabora tweet media
Indonesia
15
48
76
13.1K
Engkabora retweetledi
Ms Bee🌹
Ms Bee🌹@asiliasali·
Asali zetu ni pure kabisaa 0752872612 Nyuki wakubwa na wadogo zote zinapatika
Ms Bee🌹 tweet mediaMs Bee🌹 tweet media
Indonesia
1
11
15
271
Engkabora retweetledi
ATIENO
ATIENO@atienomyname·
I love him,and he loves me but one thing about him,ni mume wa mwenyewe,namuacha abaki na ndoa yake takatifu💔😂😢. Uncle wake ananiambia nisije kumuumiza mpwa wake sijui itakuwaje.
Indonesia
2
8
11
110
Engkabora retweetledi
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 🔥JEZI MPYA ZA SIMBA 2026/2027🛍️ 👉Bei 45,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
6
64
108
1.2K
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Huu mwaka nao uishe tu nioe na mimi
Indonesia
0
1
1
24
Engkabora retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kama kuna option kati ya amani na vita nitachagua amani kwasababu vita haina hatma nzuri! Lakini wewe ukichagua vita sitasita kupigana
Indonesia
14
39
74
1K
Engkabora retweetledi
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
📢 WAKUU NAOMBA RETWEETS 🙏🏾🙏🏾 OFA OFA! 🚀 Badala ya 110,000/= sasa lipa 100,000/= tu upate router 📶 25Mbps – 70,000/= (siku 30) ⚡ 40Mbps – 100,000/= (siku 30) Internet ya uhakika, kasi ya uhakika Usikose! 🔥 📞 0693947007 💬 wa.me/255693947007 📩 DM: @amosrichar14147
Ambele Young tweet media
Indonesia
11
53
48
579
Engkabora retweetledi
starmeza
starmeza@mosesstarmeza·
Wakati naanzisha biashara yangu,Nakumbuka maneno ya Mzee Starmeza alisema.. 99% ya Biashara una-IBIWA,Ni 1% unayo kuhakikisha mtaji unaweza kujiendesha na kujikuza.🤔 -Alimaanisha nini mtaalamu?
Indonesia
0
0
8
96
Engkabora retweetledi
LIBRO STIMA ⚡
LIBRO STIMA ⚡@JosmanStima·
😂😂😂😂😂😂😂😂wagonjwa wa Gono habari zenu!?
LIBRO STIMA ⚡ tweet media
Indonesia
15
18
33
571
Engkabora retweetledi
Beno🌴
Beno🌴@BMushison·
Usigombane na mtu bila sababu ikiwa hajakutendea jambo lolote lenye ubaya Good morning familia 🙏
Indonesia
16
23
29
225
Engkabora retweetledi
Lucky Msuya Kingker
Lucky Msuya Kingker@LKingker·
Wakati Ni Kama Mto.Huwezi Kugusa Maji Yaleyale Mara Mbili,Kwa Sababu Mtiririko Uliopita Hautapita Tena.Furahia Kila Wakati Wa Maisha Yako. #ElimikaWikiendi
Filipino
0
2
4
81
Engkabora retweetledi
Zed
Zed@zed_ogtz·
i)Wajuu ataona namba 6 wachini ataona 9 pembeni ataona herufi G ii)Hasheem Thabit humwona Joti mwala, Anka nzala humwona Joti Giant iii)Wabush huona Dar ni Ulaya, Wa Dar akienda mbele huona BBM Ruksa kutafsiri Dunia unavyotaka, ishu ni umesimama kwenye angle gani.
Indonesia
1
13
25
730
Engkabora retweetledi
CHOKA MBAYA 👑
CHOKA MBAYA 👑@KISWASWADUMKUU·
Wakati mwingine hatujitengi na watu kwa sababu hatupendi watu hapana ila isipokua tunafukuza hizo roho ovu za kishetani walizobeba watu ndani yao 😎 .
Indonesia
1
14
30
234
Engkabora retweetledi
NGOJWIKE SnR
NGOJWIKE SnR@NashiruMusa18·
Nimekuta sehemu wanasema AZUMA haitibu UTI, wataalamu msaada tafadhali AZUMA inatibu Nini hasa? Na nini dawa ya UTI.
Indonesia
7
4
15
760
Engkabora retweetledi
MAN IN 30's
MAN IN 30's@TANZANIABRO·
Kiwanda kinachotegemea jasho la wafanyakazi kuliko maarifa ya kisasa hupunguza kasi ya maendeleo yake yenyewe 🤔 .
Indonesia
0
16
40
239
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Imagine Kuna KENGE amelala muda huu tena nyumba ya kupanga 💔🙌
Indonesia
1
1
4
80
Engkabora retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Usidhani kua kwenda na Wakati ni kugeuka kuwa Usivyopaswa kua 📌
Indonesia
2
8
37
573
Engkabora retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Jitahidi sana Utabasam kwasababu tabasam lako linawafurahisha Wakupendao na lina waangamiza wakuchukiao📌
Filipino
6
19
71
789
Engkabora retweetledi
RasoulHK🍁
RasoulHK🍁@rasoulHK·
FIKA MAASAI HERBAL CLINIC LEO 📍 Huu ndio muda sahihi wa kubadilisha maisha yako. ➠ Usisubiri: Nguvu ziishe kabisa Kujiamini kupotee Mahusiano kuharibika 🌿 Maasai Herbal Clinic: ✔ Dawa za asili ✔ Matokeo ya uhakika ✔ Huduma bora Karibu sana upate msaada. 📞 +255 788 177 071 📍 Dodoma Mjini Follow: @KimaniDawa
RasoulHK🍁 tweet mediaRasoulHK🍁 tweet mediaRasoulHK🍁 tweet mediaRasoulHK🍁 tweet media
Indonesia
6
11
13
270