
Kefa Mkombola
4.6K posts

Kefa Mkombola
@MkoKeNya
Owner - Founder - Micshariki Africa @micshariki | Writer | Hip Hop | Poet






🇹🇿 Rap Playlist - 19.05.2026 1.Chaba 009 Ft. Kisu - *Jointi Mbili* 2.Chaba 009 Ft Kelvin Tibanga – *Hasira* 3.Medy Botion – *Chanika* 4.Panga Bars – *Sauti Za Busara* 5.KRS (Kamusi, Rama Wise, Sela Ninja) – *Kaa Chonjo* micshariki.africa/twenzetu-tanza…














@TheAbojani I've been with @ZimeleAM since 2008, way before these MMF's became popular and I can attest they are reliable, do a good job and consistent in the same. This for me is Tried & Tested.




Nilipata mda wa kuchambua classic album ya The MC255 crew iitwayo "Refraction" Isome hapa micshariki.africa/the-mc-mukimal…


Kama unataka kuipa akili yako material halisi ya Hip Hop, katiza kwenye hiki kiunga cha hawa Vichwa. Mukimala & Catalyst, The MC255! Moja ya vichwa bora sana kuwahi kuuhudumia Utamaduni wa Hip Hop na mziki wake (Rao) @themc255?si=BTb4Qb7xJqP_GGRN" target="_blank" rel="nofollow noopener">youtube.com/@themc255?si=B…

Yaani niache kula madini kama haya kisa tu hawa Vichwa namba zao za digital platforms hazifikii za hawa wachanaji wenu wazushi. Hakuna definition ya Hip Hop nyingine zaidi ya hii. Sema hizi mpaka uzielewe uwe umekula madini na volumes za kutosha za vitabu shazi. Real Hip Hop!



