Mkoloni
1.3K posts

Mkoloni
@Mkoloni_255
Relatable thoughts • Humor • Real life 😂
Tanzania Katılım Mart 2020
2.4K Takip Edilen1.2K Takipçiler

@unatakakulia Ingekua Ni Pesa Tunapeana ivi Kila Siku Tungeshafika Mbali Mnoo😂
Indonesia

Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema Taifa Stars haikuvalia vazi linalowakilisha taifa wakati ikiwasili Morocco kwenye mashindano ya AFCON kutokana na Tanzania kutokuwa na vazi rasmi la Taifa.
Ndimbo ameongeza kuwa hata vazi la Kimaasai, ambalo wengi wamelitaja, si utambulisho rasmi wa taifa, kwani hata Kenya kuna kabila la Kimaasai.

Indonesia

















