Sabitlenmiş Tweet
Mndewa11
12.4K posts

Mndewa11
@Mndewa11
Chelsea🏟//Cr7⃣ fan//Hala Madrid⚪//Sempre Milan🔴⚫//Yanga🟢🟡
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2020
3.4K Takip Edilen7.1K Takipçiler

@BillyTronix1 Imeondoa presha ya goal difference ni mwenda wa kimoko unawekwa ukuta
Indonesia
Mndewa11 retweetledi


@SportsarenatzTz Tunataka waamuzi wasiokuwa na upande
Waamuzi ambao wakikosea tujue ni kweli makosa ya kibinadamu sio mapenzi yao binafsi
Tunapoelekea pia tutataka na wachambuzi wa mpira wetu watoke nje maana hao watachambua mpira bila kuweka mapenzi yao kwa timu husika.
Indonesia

@mee_nicodemus Hata walizoshinda kule Zanzibar hazihesabiki kwenye mechi walizoshinda sio mashindano rasmi
हिन्दी

Kumezuka tabia ya mashabiki wa timu pinzani kuvaa jezi za mahasimu wao na kujifanya mashabiki wa timu hiyo.
CLARA🖤@ClaraFundi
Nimeacha kila kitu nimfuatilie huyu baba wa kolo😹😹😹😹😹
Indonesia

Handle kama Rasta yule demu
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr
Kama Goat mwitu tu ana followers 500M+ MJ angefikisha 2B😁😁
Indonesia

@rollymsouth Haibadilishi kuwa kwenye Mauaji ya MO29 ulishiriki na ulicheza sehemu kubwa tu.
Haramu ni haramu hata kama Dunia nzima wanafanya
Indonesia

Sina huo muda..na mambo mengi binafsi ya kufanya na familia...am sorry✌️..next time labda
Big@Zephania_Ndaki
Kaka Angu @rollymsouth Njoo Kwa Speed Tutakulinda Kwa Wivu Mkubwa Mnoo!! Bora Wewe Ni Tetesi Za Maneno. Wao Tumewashudia Wanaenda Kwenye Event Zao, Tumewashudia Wameingia Studio Na Wasanii Hao Hao, Tumewashudia Wanafanya Promo Kwenye Medea. Alafu Wanasema Wanatafuta Ugali😁
Indonesia

@Jizzlewantandu Kwani hawa wanaopush madili ya kina Marioo humu wakahukumiwa kama wasaliti uliwahi kuwaona kwenye vikao vya CCM?
Indonesia

@LifeofSteph_1 Wewe ulikuwa tu huna mazoezi hata kama huchomi kwenye kukimbizwa kwa muda mrefu lazima usikie hiyo hali😂
Indonesia

@GuzmnChapo1 Wigan alichukua gongo 8 hii game ya mwisho ya Msimu Ashley Cole alifunga goli la mwisho
Indonesia

@Mndewa11 😂😂waafrika hatujui fairplay, mtu katoka Ufilipino, hadi tz kajiandaa, kashinda mnampora ushindi hadi ukumbi mzima umegoma,..
Indonesia

@fintanjr_ Maana sio kama wenzie😂 anawaheshimisha sana Simba sijui mkataba wake aliopewa 🙌
Filipino

















