Watch Mnyama

7.3K posts

Watch Mnyama

Watch Mnyama

@MnyamaWatch

Mahusiano Na Siasa

Katılım Nisan 2021
1.6K Takip Edilen750 Takipçiler
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Wanachi wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kumpokea nguli wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand. Akiwa nchini, Rio anatarajiwa kutembelea Bunge la Tanzania pamoja na vivutio vya utalii.
Indonesia
71
13
294
17.5K
Watch Mnyama
Watch Mnyama@MnyamaWatch·
@mshambuliaji Thubutuuuuu dogo kajihakikishia nafasi yakee kitambooo leo unataka kuleta kubania nafasi
Indonesia
0
0
0
20
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Spika wa Bunge la Uganda Anita Among ametangaza rasmi kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Uspika wa Bunge kwa muhula wa 2026–2031. Katika taarifa yake, Among alisema amefikia uamuzi huo baada ya kufanya mashauriano ya kina na viongozi wa chama pamoja na wadau mbalimbali wa kisiasa. Amesema hatua hiyo inalenga kuweka mbele umoja wa chama na maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi ya kisiasa. Among, alieleza kuwa ataendelea kulitumikia taifa katika nafasi nyingine atakayopewa na chama chake pamoja na serikali. Aidha, aliwashukuru Wabunge, Viongozi na Wananchi waliomuunga mkono katika kipindi chake cha Uongozi. Tangazo hilo limezua mjadala mkubwa katika duru za kisiasa nchini Uganda, huku wachambuzi wakisema huenda likaathiri mwelekeo wa uchaguzi wa Viongozi wa Bunge katika muhula ujao wa 2026–2031. Wanasiasa mbalimbali wameendelea kutoa maoni tofauti kuhusu uamuzi huo na athari zake kwa siasa za ndani ya chama tawala pamoja na Bunge kwa ujumla. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
3
3
92
7.1K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Mwanamke Umefiwa na Mume Unakuja kuolewa Unamleta Huyo Mume Wako Mpya Kwenye Nyumba ya Mume wako Marehemu ni kitu kibaya sana.
Filipino
14
27
139
5K
Watch Mnyama retweetledi
kira 👾
kira 👾@kirawontmiss·
😭😭😭😭
kira 👾 tweet media
QME
306
3.5K
88.2K
835.6K
Watch Mnyama retweetledi
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Content huisha waulize hawa jamaa 😁😁
Narrowbeefly tweet media
Indonesia
41
37
600
53.4K
Watch Mnyama retweetledi
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Kwahiyo huwa tunapuliza sumu na dawa za kuuwa wadudu kwenye mazao ili baadae tuje kula sisi 🥲😁🙌🏾
Filipino
38
75
321
9.6K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
SITOPOST Ajira zilizopo📍Dubai kuanzia sasa ni kosa kisheria nimejulishwa DM Vijana mnaojitafuta apologies your on your own kuanzia sasa🙏 nilikuwa nafanya kwa mapenzi wengine wapate lakini imekuwa tofauti AGENTS walio bongo kila kukicha wananipomoreshea vitisho & matusi DM
Filipino
91
82
731
36.1K
Watch Mnyama retweetledi
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Ukienda mahakamani kusikiliza kesi za ndoa asilimia zote wanawake wanaomba mgawanyo wa mali na talaka na sio kutengeneza ndoa tena.
Indonesia
26
72
382
12.1K
Watch Mnyama retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Mbu leo zinashangaa mbona hazinipati. 😅
kasesco☆ tweet media
Indonesia
48
59
287
8.2K
Watch Mnyama retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kama umemkosea Girlfriend wako ukamuomba msamaha yakaisha alafu baadae akayaanzisha tena. Ujue alienda kuwasimulia marafiki zake alafu Board ya wakurugenzi hawakukubaliana na hilo swala.
Indonesia
37
73
400
7.8K
Watch Mnyama retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Marehemu Hanspope alikufa 2021, familia wanasema kuna mtu alienda Bank 2024 akakopa pesa shilingi Bilion 7 na Milion 400 akaweka dhamana mali za Marehemu. Very interesting, hii ngoma iende mahakamani watu watoe Documents ndo muone siri za matajiri wa bongo Kasheshe
Indonesia
48
116
1.4K
53.7K
Watch Mnyama retweetledi
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Kuna mtaa nimepita hapa ushuani watoto wanatumia kizungu changu cha interview kucheza kibaba baba 🥲🥲😁
Filipino
37
82
357
7.5K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Nina 1M-10M niende mgodini nitafanya nini. Mimi kama mwenyeji wa mdogini nitakwambia ufanye hivi. 🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵
HT
11
12
60
21.7K
Watch Mnyama retweetledi
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Ujinga mwengine nikuamini ukiandika neno “mungu” kwa herufi ndogo unamkosea mungu na nilazima millenials walileta haya mambo😂💔
Indonesia
64
54
428
23.2K
Watch Mnyama retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kuna Watu Wanashangaza Sana. Unamwambia mtu usiku sina pesa alafu anakutext asubuhi Ulipata..? Kwani mimi ni mwizi..?😅
Filipino
27
47
174
3.8K
Watch Mnyama retweetledi
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Kosa kubwa ambalo hutowahi ku heal/kurecover ni kumzalisha mwanamke asiye sahihi.
Filipino
63
90
492
13.2K
Watch Mnyama retweetledi
Tajiri wa Upendo 🕯️
Tajiri wa Upendo 🕯️@Luvandalugano47·
Kwanini mdudu akikuingia jichoni unakua humuoni tena wakati ndo yupo jichoni?
Tajiri wa Upendo 🕯️ tweet media
Indonesia
31
43
218
7.3K
Watch Mnyama retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Sijui kwanini, mchepuko anaweza akadondosha hereni kitandani, mkatafuta weeeeee msiione..! Ila siku akija Girlfriend wako anaiona kirahisi tu hapo chini ya mto🥺
Indonesia
27
43
239
6.3K
Watch Mnyama retweetledi
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Sema ukishazoea nyeto unasahau hata namna ya kuiomba 😁😁🙌🏾
Indonesia
24
56
284
9.2K