The Goe’l

25K posts

The Goe’l banner
The Goe’l

The Goe’l

@MonyoSr

Retweets doesn’t only mean endorsement. This account Strictly speaks for my own personal opinion and not the office i serve

Katılım Eylül 2018
7.5K Takip Edilen3.7K Takipçiler
The Goe’l retweetledi
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Hata Farao alikuwa Katili na mwenye kiburi kuliko wewe. Siku utawala wake ulipoangua hata Mbwa wa nyumbani mwake hawakuamini. Endelea kuvimba kichwa na kupandisha Mabega, hizi damu zimekutangulia na zitaongozana na wewe mpaka kaburini. IKO SIKU!.
Rose Mayemba tweet media
Indonesia
4
39
111
1.3K
The Goe’l retweetledi
Joseph Mrungu
Joseph Mrungu@mrunguj9·
Mh, @TunduALissu,* Fimbo ya mnyonge haina sauti, lakini haki ina muda wake. Ukuta wa gereza hauwezi kuzuia sauti ya ukweli. Tanzania inakusikia. Historia inakukumbuka. Vuta subira - siku za haki hazikosi kufika. Taifa liko pamoja nawe. *"Haki haitafungwa, ukweli hautafichwa.
Joseph Mrungu tweet media
Indonesia
0
14
42
1.2K
The Goe’l retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake. Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua. Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali. Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji. Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao. Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume yasiyo na makazi sehemu yoyote. Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe. Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa. Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje? Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi? Tuangalie Uzi wote 🥲👇🏾
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
7
29
218
21.9K
The Goe’l
The Goe’l@MonyoSr·
🚮🚮🚮
BarakaWambura@barakawamb

Ndugu @godbless_lema Kabla ya kuhukumu kwanza wewe ndio unapaswa atubu kwa yale yote uliyoyafanya okt 29 kuhamasisha na kushawishi vijana kwa vijisenti kuingia barabarani na kushiriki maandamano yaliyoleta vurugu, majeruhi na vifo na uharibifu wa mali za umma na binafsi. Demokrasia ya kweli hujengwa kwa hoja na mazungumzo si kwa vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi yako. Damu zilizomwagika okt 29 zitaendelea kuwatafuna mpaka utubu hadharani,huwezi kumnyooshea kidole Rais Dkt Samia kwa vitendo ambavyo vilisababishwa na nyinyi wanaharakati ambao mnalipwa fedha Toba na uwajibikaji unapaswa kuwa juu yenu wote mlishiriki na kuchangia madhara yaliyotokea pindi na baada ya uchaguzi.

ART
0
0
0
15
The Goe’l retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Bwana Msajili Shikamoo. Huyu Chalii katuita wahuni, mwandikie barua pls.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
27
107
664
15.9K
The Goe’l
The Goe’l@MonyoSr·
The Goe’l tweet media
One Sister@Rahma_Simba

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN: MWANGA WA MAENDELEO NA UONGOZI WA KIMAANZA KWA TAIFA Tanzania imeingia katika sura mpya ya maendeleo na matumaini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kila hatua yake inaonesha dhahiri kuwa kiongozi huyu ni chimbuko la hekima, uwajibikaji, na upendo kwa wananchi wake. Rais Samia amepanga sera thabiti zinazolenga kuinua uchumi wa ndani, kutoa nafasi kwa wajasiriamali, na kuimarisha viwanda vya ndani. Hii imesaidia kupunguza utegemezi wa bidhaa za nje, kuunda ajira, na kuendeleza kipato cha wananchi. Hatua hizi zinathibitisha kuwa Rais Samia anafikiria mustakabali wa kizazi kijacho. Sekta ya afya nayo imefanikiwa chini ya uongozi wake, ambapo upatikanaji wa dawa, vifaa vya matibabu, na huduma za afya umboreshwa kwa wananchi wote. Ushirikiano na wadau wa kimataifa unaendelea kuboresha huduma hizi, kuonyesha wazi kuwa Rais Samia ana mtazamo wa muda mrefu wa kuhakikisha maisha bora kwa kila M-Tanzania. Zaidi ya hayo, Rais Samia amejikita katika kuimarisha mahusiano ya kimataifa, ikiwemo ushirikiano wa kiuchumi, usalama, na maendeleo ya miundombinu. Ushirikiano huu unaipa Tanzania heshima kubwa na nafasi thabiti ya kisiasa na kiuchumi duniani. Rais Samia ni kiongozi wa mfano, anayesimamia sheria, kuheshimu raia wake, na kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika kila hatua ya uongozi. Uongozi wake ni taa inayoangaza njia ya taifa kuelekea maendeleo endelevu, mshikamano, na ustawi wa kila mwananchi. Hakika, Rais Samia Suluhu Hassan amethibitisha kuwa Tanzania inaweza kufanikisha malengo makubwa bila woga, na taifa linaendelea kusonga mbele kwa nguvu, matumaini, na mshikamano wa kweli.

ZXX
0
0
0
3