Mpale Mpoki

3.6K posts

Mpale Mpoki

Mpale Mpoki

@MpaleMpoki

Kikota, Kiwira, Rungwe, Mbeya Katılım Nisan 2020
1.1K Takip Edilen5.1K Takipçiler
Mpale Mpoki retweetledi
David Coltart
David Coltart@DavidColtart·
David Coltart tweet media
ZXX
13
334
1.1K
13.2K
Mpale Mpoki retweetledi
Dr. Bireete Sarah
Dr. Bireete Sarah@SarahBireete·
📌📌 Arrested for defending the Constitution - Africa is a COUNTRY 😳😳😳 #CryAfrica
Dr. Bireete Sarah tweet media
English
15
120
462
4.9K
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Uamuzi wa mwamuzi ni wa mwisho upi ulikuwa uamuzi wa mwisho? Kisheria kuna neno acquiesce kukubali bila kubisha. Mmerudi uwanjani mmepewa penati ilosababisha mzozo mmepiga hamkufunga. Mchezo umeenda mpaka mwisho na muda wa nyongeza ukaongezwa mkacheza bila kubisha na kufungwa
edgar kibwana@KibwanaEdgar

"Sheria ipo wazi sana .Ukiondoka Uwanjani na kurudi tena tafsiri yake wewe tayari umepoteza mechi.Morocco wametumia sheria iliyopo kudai haki yao na wameipata.Hongera sana kwao kwa kuongeza Kombe lingine la AFCON " George Weah - Mchezaji wa zamani wa timu ya AC MILAN

Indonesia
5
1
26
2.1K
Learn Something
Learn Something@cooltechtipz·
He deserves a raise without question.
English
55
73
3.8K
1.6M
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
To you @TitoMagoti Lejendari HAPPY BIRTHDAY MANY MANY MANY MORE YEARS
Mpale Mpoki tweet media
English
1
0
4
167
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
@EduTalkTz Labda chini ya Katiba, kufunga ni suala la muungano Naomba usome vizuri katiba Mambo ni mengi sana
Filipino
0
0
27
649
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kufunga kwa Muislam kunahusiana vipi na kula kwa mkristo?🤔 Kwa lugha nyepesi, kwa nini imani ya Muislam inilazimishe mimi kuishi kwa taratibu za Kiislam ingali ni Mkristo?🤔 Kwa nini kila mmoja asiishi imani yake bila kumlazimisha mwingine?🤔
Indonesia
145
48
293
28.9K
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Haki jinai badala ya haki jamii
Indonesia
0
0
1
83
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Kila nikisoma mapendekezo mahususi ya Tume ya Jaji Othman kuhusu Haki Jinai na hasa kuhusu Jeshi la polisi naelewakwa nini polisi wanadhani ni halali kutoa Amri kama ya musoma na kuvunja haki ya kikatiba ya kinamama wa BAWACHA kuwazuia kwenda watakako Utawala wa sheria ni nguzo
Mpale Mpoki tweet media
Filipino
5
24
58
1.9K
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Ripoti hii ni ya Julai 2023, serikali imetumia hela kufanikisha kutolewa ripoti ambayo mapendekezo yake yalikubalika na wadau wengi wa haki jamii. Ni kwa nini serikali haitaki kutekeleza mapendekezo haya ? Ni kwa faida ya nani tunakataa kutekeleza. RULE OF LAW MSINGI WA UTAWALA
Indonesia
0
0
2
120
mhd
mhd@mhdhamad·
@TheCitizenTz @MpokiThoms @MpaleMpoki So does that mean the Bank of Tanzania will charge the penalty in US dollars for the offence of using US dollars locally? If transacting in USD is illegal, isn’t it ironic that the fine itself is quoted in USD? 🤔
English
3
0
12
578
The Citizen Tanzania
The Citizen Tanzania@TheCitizenTz·
Bank of Tanzania says transacting in US dollars locally is an offence, as it contravenes the law. The penalty can reach up to $3,000 (around Tsh7.5 million).
English
9
15
60
7.3K
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
@HecheJohn @lifeofmshaba Nadhani ipelekwe Constitutional Case for this. Kwa sehemu kubwa hakuna cha kupata kwenye Mahakama zetu lakini hiyo evidence of inability of the Court to dispense Justice inaweza kutumika sehemu nyingine ambayo hawatapenda
Filipino
3
3
19
442
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua wanaenda Musoma kusherekea Siku ya wanawake Duniani. Magari yaliyobeba viongozi hawa yanakamatwa na wanashikikiwa maeneo mbalimbali ya Nchi bila sababu… Dakawa, Mlandizi, Geita na maeneo mengine. Hili jaribio la kuzia watu kufanya movement ndani ya Nchi na kuzia watu kufanya shughuli zao halali, Wengine wanaweza kufikiri litaishia kwa Chadema.. Tukiruhusu madikteta wachache wao ndio waamue, wapi twende wakati gani, tule au tusile, tulale au tukeshe itakua hatari kubwa mno.. Uhuru uliopiganiwa na wazee wetu hauna maana tena katika mazingira haya.
Indonesia
47
231
761
17.2K
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
@Oleshangay @HecheJohn @lifeofmshaba Watu wa kufungulia kesi za madai ni watatu in their personal capacity and in their names, kwa sababu hawakuajiriwa na polisi kujihusisha na kesi za madai ni outnof scope of their duty RCO Mara aliyetoa tamko la zuio RCO Pwani aliyezuia msafara chalinze RCO Bukoba aliyezuia msafar
Indonesia
1
0
0
18
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Mbona ilishasemwa toka mwaka 1992 na Mahakama ya Rufaa Tanzania kwenye kesi ya Dr Walid Kaburu dhidi ya Premji Serikali haina utashi wa kufanya hivyo ndio maana haiheshimu hata uamuzi wa Mahakama yake ya juu. Itabaki kuwa urembo kwenye karatasi kama ilivyo kesi ya Dr. Kaburu
Ado Shaibu@AdoShaibu

Uamuzi wa Mahakama ya Afrika Juu ya Haki za Watu na Haki za Binadamu hapo jana kwenye kesi ya Ado Shaibu na Wenzake Dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka msingi wa kisheria kuwa matokeo ya urais yanapaswa kuhojiwa mahakamani. Hii ni hatua nzuri ya kuanzia.

Indonesia
1
13
41
1.7K
mhd
mhd@mhdhamad·
You’re absolutely right. Most of the best photos I see in my parents’ albums came from genuine moments nothing staged, nothing forced. Just life unfolding and the camera capturing it at the perfect second. Those natural shots carried soul and a story of their own. That was the true beauty of photography pure spontaneity. 📸
English
1
0
2
47
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Mahakama ni ya wananchi, ambao kwa mujibu wa katiba wamempa Jaji Mkuu kuwa kiongozi wa taasisi hiyo ya kikatiba. Polisi wanapata wapi mamlaka ya kuzuia wenye mahakama kusikiliza kesi ? Mwanachi YOYOTE ana haki ya kusikiliza mashauri yote mahakamani isipokuwa tu yale ya faragha
Chadema Tanzania@ChademaTZ2

#BreakingNews Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Mhe Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama, wamezuiwa na Jeshi la Polisi kuingia mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa wanaoruhusiwa kuingia mahakamani ni wanahusika na shauri hilo ambao Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika, Bodi ya Wadhamani ya Chama na Mhe. @TunduALissu.

Indonesia
5
27
96
2.1K
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora imefanya kazi gani katika kulinda haki za Binadamu katika kipindi cha miaka 10 iliyopit? Je serikali imetekeleza na kukazia hukumu ngapi za ndani na kimataifa zilizoelekeza kubadilishwa kwa sheria zilizo kinyume na katiba @Advocate_Jebra
EastAfricaTV@eastafricatv

#HABARI Serikali imetoa msimamo ikisema Tanzania inayo mifumo ya kulinda haki za binadamu, ambayo ina vigezo vya kimataifa. Msimamo huo ulitolewa leo na Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk. Alli Possi, alipofanya mkutano wake na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao. Balozi Possi ambaye anahudhuria kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kinachofanyika Geneva, Uswisi, alisema mifumo ya haki za binadamu iliyopo leo ni tofauti na mwaka 1961 nchi ilipopata uhuru. Akifafanua zaidi uwepo wa mifumo hiyo, Balozi Possi alisema Katiba ya Uhuru ya Mwaka 1961 haikuwa na kipengele cha haki za binadamu, ulipofika mwaka 1988 Tanzania ilikiweka. Kwa mujibu wa Balozi Possi, tangu hapo Tanzania imekuwa ikipiga hatua katika kulinda haki za binadamu kwa watu kuzidai hadi mahakamani na kuwepo Tume ikiwemo ya Utawala Bora. "Naweza kusema ndiyo, tunayo mifumo ya kulinda haki za binadamu. Kwa mfano, Katiba yetu ya Uhuru ya mwaka 1961 haikuwa na vipengele vya haki za binadamu. Mwaka 1988 tuliviingiza. Tangu wakati huo wananchi wanazidai hadi mahakamani," alifafanua Balozi Possi. Katika kuonyesha Tanzania inazidi kuimarisha mifumo hiyo, Balozi Dk. Possi alisema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliunda Tume ya Haki Jinai, ambayo ni sehemu ya kuboresha zaidi mifumo hiyo. "Ndiyo maana Mheshimiwa Rais aliunda Tume ya Haki Jinai. Hii yote ni kufanya maboresho. Maboresho ni process. Hata hao walioemdelea zaidi hawajafika mwisho huwa wanafanya maboresho. "Leo hapa kwetu hali ni tofauti. Uhuru upo, tunazungumza kwa uwazi, maboresho yanaendelea na hiiyo ni process," amesisitiza Balozi Dk. Possi. #EastAfricaTV

2
9
22
921