Massanja M.Mpinah

2.3K posts

Massanja M.Mpinah

Massanja M.Mpinah

@MpinahM

massanja🍬

Katılım Mayıs 2021
371 Takip Edilen176 Takipçiler
Massanja M.Mpinah retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Whats’up @rioferdy5 You are most welcome to our beautiful country, Tanzania. A country rich in natural resources, yet its people are wretchedly poor and do not benefit from the resources in their own country. Tanzania is the literal definition of the resource curse. Those who brought you here, will show you our God-given natural wealth, but they won’t show you how poor ordinary Tanzanians are. Those who brought you here can’t tell you the other side of the crimes against humanity they deliberately committed against citizens who decided to protest to oppose the electoral process. Security forces in Tanzania utilized disproportionate, deadly violence to quell post-election unrest, causing deaths and injuries to non-protesting citizens. Completely uninvolved individuals. They are concealing the fact that on October 29, 2025, they intentionally shot and killed several people, among whom were seven youths from the Viral Scout Management football academy. In a poignant post on its verified X handle, the sports consultancy firm based in Dar es Salaam mourned the heartbreaking deaths of seven rising football stars, while firmly issuing a call for justice. Viral Scout Management has confirmed the tragic loss of seven of its young football players, who died during the widespread violent clashes that broke out after Tanzania’s disputed general election. These promising athletes lost their lives to senseless violence within their own homes. It is a profound tragedy to see such bright futures cut short by such brutal acts. It’s unacceptable. Tragically, there have been instances where Manchester United fans were brutally killed, including one documented case where mortuary photographs showed a victim still wearing a vintage SHARP jersey. Even back in your neck of the woods, whether in Camberwell, South London, or up in Manchester, United Kingdom, people don’t get shot and killed just for protesting a fraudulent election. Last week, your hosts brought Didier Drogba and paraded him everywhere. Now it’s your turn. They’ll likely parade you around just as much all in an attempt to launder their global reputation. Log this information, RIO.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
English
95
250
958
45.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, anatarajiwa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya Jumanne, Mei 5, 2026, katika ziara inayotajwa kuwa sehemu ya kuimarisha ushirikiano na Undugu wa kihistoria kati ya Kenya na Tanzania. Tangazo hilo limetolewa leo Jumatano Aprili 29, 2026, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu na kusema kuwa hotuba hiyo itaanza majira ya saa tano asubuhi. Akizungumza wakati akitoa tangazo hilo Naibu Spika amesema, “tukio hili muhimu na la kihistoria ambalo pia litafuatiliwa na Viongozi Wakuu wa Kitaifa linalenga ushirikiano wa Kindugu kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuti ya Kenya” Daniel Sillo. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
10
11
120
9.6K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Jana niliandika ujumbe nikikosoa kitendo cha Mzee MBOWE kumuombea msamaha SABAYA. Nimepata maoni mengi; wengine wakisema sikuwa sawa. Ipo hivi. Kuna mambo katika siasa hayawezi kufutwa na maneno laini na mepesi ya “msamaha,” hususani msamaha usiotoka kwa mtenda dhambi mwenyewe. Utawala wa SABAYA katika wilaya ya Hai haukuwa wa kisiasa tu; ulikuwa ni utawala wa chuma na ukatili uliopitiliza. Hata Mzee MBOWE anafahamu hilo. Makosa ya uhujumu uchumi na unyang’anyi wa kutumia silaha (armed robbery) yaliyomfunga gerezani wakati ule, ni tone dogo sana katika bahari ya unyama wake. Wapo watu walitekwa, kuteswa, na kuachwa na vilema vya kudumu. Kusema mtu huyu anastahili msamaha bila toba ya dhati kwa wahanga, si tu ni kosa, ni dhihaka. Miongoni mwa wahanga wa genge la SABAYA ni ndugu yetu Simon MNYAMPANDA, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Hai. Ndugu yetu aliteswa. Simon Mnyampanda aliteswa kwa umeme. Ameeleza wazi kwamba, alihojiwa kuhusu mahusiano yake na Mzee MBOWE. Mwisho, alipigwa misumari ya miguu. Huyu ni mtu aliyepata mateso hayo akimlinda Mzee MBOWE na CHADEMA. Leo Mzee MBOWE anajigeuza kadinali na kumuombea msamaha mtesaji SABAYA? Genge hilo halikuishia hapo. Genge hilo lilikuwa kama MAHARAMIA. Walivamia nyumbani kwa mgombea udiwani wa kata ya Narumu katika jimbo la Hai. Baada ya kumkosa, walitoa adhabu ya kinyama kwa watu waliokuwepo nyumbami kwa kuwakata masikio na sehemu nyingine. Nyumba nzima ilitapakaa damu. Hawa ni binadamu, si takwimu za kisiasa. Hawa watu waliotendewa mambo hayo wapo. Baadhi ya ushahidi wa masuala hayo nimeambatanisha katika makala hii. Inasikitisha kuona Mzee Mbowe anatumia mateso ya wafuasi wake kama mtaji wa kisiasa (political capital). Binafsi nimejiuliza maswali mengi tangu hiyo jana. Je, wahanga wameombwa msamaha na kufidiwa? Je, mateso yao yamekuwa ngazi ya makubaliano ya kisiasa? Hii si dharau kwa wale walioteswa wakikupigania? Sabaya anapaswa kuomba msamaha kwa waathirika, si kuombewa. Vinginevyo, hii ni michezo ya kumtengenezea mazingira ya kupata uteuzi katika Serikali ya CCM. Watu wa Hai hawajasahau. Damu na machozi ya wahanga bado vinadai haki. Msamaha bila toba ni baraka kwa ukatili mwingine ujao. Haki kwanza, msamaha baadaye. Binafsi, nilimheshimu Mzee Mbowe kiasi cha kumpa mwanangu wa tatu jina la “Freeman”. Leo hii, nahisi usaliti mkubwa moyoni mwangu kwa mambo hayo. Kunyamaza mbele ya usaliti huu si busara, bali ni upumbavu ambao kesho utatunyong’onyesha. Nimeandika ili kulinda hadhi ya jina la mwanangu. Siku mtoto wangu akiniuliza, nitamjibu kwa utimamu kabisa. “Nilitetea maana halisi ya ‘Freeman’ wakati jina hilo lilipotaka kuchafuliwa na siasa za kimaslahi.”
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
174
433
1.6K
70.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Jeshi la Polisi limetoa wito kwa Mwanaharakati Hilda Newton kuwa Ijumaa ya April 24, 2026, kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai iliyopo katika Jengo la Makao Makuu Ndogo ya Polisi iliyopo Mtaa wa Ohio Jijini Dar es Salaam ili kuwasilisha ushahidi wa taarifa aliyoitangaza kwa Umma kupitia mitandao ya kijamii kuwa Serikali imepanga kumuua Tundu Lissu kwa risasi. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Polisi hii leo April 22, 2026 imeeleza "Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026 taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi." "lli kukamilisha uchunguzi, Jeshi la Polisi linamwelekeza Hilda Newton afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai iliyopo katika Jengo la Makao Makuu Ndogo ya Polisi iliyopo Mtaa wa Ohio Jijini Dar es Salaam tarehe 24.4.2026 saa nne (4) asubuhi ili aweze kuwasilisha ushahidi aliyosema na kutangazia umma kuwa anao. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 11 (2) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa yaJinai kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2023." #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
42
16
313
73K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Lissu akiendelea kusalia na huuuuu msimamo kwamba bora abaki gerezani kuliko kufanya maongez ya maridhiano kwa taifa nitaamin kabisa afai kuwa kiongoz mkuu wa nchi maana msimamo kama huo nimsimamo wa wanaharakat sio kiongoz bado pengo la mbowe nitakuwa wazi nakukosa wa kuziba
Filipino
264
4
99
43.7K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Chuma iko Bonyokwa now kwa Mama Chambuso. Kaanza na foundation ya Mo-Energy kwanza
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
141
81
1K
49.2K
Massanja M.Mpinah retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn
Indonesia
37
285
1.1K
20.8K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule, Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta. Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi…. Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote ccm na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha… Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti. Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu. Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
153
20
52
21.8K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Kama wanaanga wanaweza kukaa kwenye chombo ambacho kina experience joto kali la centigrade 2000 kwa Nje wanashindwaje kwenda kuzunguka upande wa mwezi ambao una mwanga wa Jua . Ila NASA
Indonesia
25
13
196
12.2K
I AM
I AM@francismtey·
📍 Hakuna Taasisi ya Kitapeli Tangu Dunia hii ianzishwe kama NASA... Iko siku Tutaujua Ukweli...
Indonesia
47
13
144
7.5K
When did ManUTD last win a league?
NASA ni waongo huu sio mwezi hapa ni Antarctica, Wazito wa dunia wanafanya hivi ili ubaki kwenye Matrix na uwe tayari kwa New World Order.
When did ManUTD last win a league? tweet mediaWhen did ManUTD last win a league? tweet media
Filipino
41
15
107
6.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
😁‼️AIBU KILA KONA‼️👊🏽 Bi Msumi kawekwa ktk Baraza la Uongozi la AU na besti yake Ndayishimiye wa Burundi - nikawaambia hii haina uzito kwa sisi tunaoelewa vyombo hivi vyema! Sasa juzi kajipigisha picha eti anashiriki kikao cha mtandao na libaraza lao likaja na azimio ya kumpendekeza Macky Sali kama mgombea wa AU rasmi kwa kiti cha Ukatibu Mkuu wa UN Ndani ya masaa 24, mataifa 20 ya mataifa 54 wanachama wamekataa pendekezo na liamuzi lao kimekufa kifo cha mende 😁 Yaani ni REJECT ❌ kila kona! Bora hiki kikao angejikausha tungesahau labda kuwa alikuwa sehemu ya maamuzi ya kipuuzi! Huyu Macky Sali ana kesi za ukiukaji wa haki za binadamu na mazagazaga mengine! Hafai ila wanalindana hawa Ila #TutaelewanaTu na #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
27
108
645
76.2K
𝓡𝓲𝔃𝓸𝓽𝓽𝓸
𝓡𝓲𝔃𝓸𝓽𝓽𝓸@Tanzania255_·
@HildaNewton21 Katuga kifungu kinazungumzia "Shahidi" na limeanza hivyo sio unaanza kuleta stori et Ushahidi upo wa aina nne, real, documentary, testimonial na nyingine nimesahau nitaikumbuka.
𝓡𝓲𝔃𝓸𝓽𝓽𝓸 tweet media
Indonesia
10
11
45
4.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 222 Katuga anasema kifungu cha 308 ni mlinzi wa kifungu cha 263 cha CPA ni kumfanya mshitakiwa awe aware na ushahidi wote anaokutana nao Mahakama kuu. Ushahidi upo wa aina nne, real, documentary, testimonial na nyingine nimesahau nitaikumbuka. Kwahiyo kwa maana ya aina ya shahidi nne zinatakiwa zioneshwe kwa mshitakiwa kabla ya kuwa committed kwenda High Court na kwakuwa kuna takwa hili la 263 kukawekwa kifungu cha 308 ambacho ni mlinzi sasa. Kwamba hakutakuwa na ushahidi utakaoingia hadi uwekwe wazi basi prosecution wampe notice kuhusiana na ushahidi huo ni lini prosecution wamegundua huo ushahidi. Je mshitakiwa alikuwa na reasonable time kuupitia. Kif. 308(4) kinazungumzia substance or witness. Kesi ya Remina Omary Abdul vs Jamhuri CA 189/2020 Mahakama ya Rufaa ilisema, INASEMA IF PART OF THE EVIDENCE IS NOT DISCLOSED. Mahakama ili quote with approval maneno kuwa additional evidence is allowed. Sisi tunasema mbali na statement yake kusomwa tunataka kuleta mambo mengine ambayo hayakujumuishwa. Notice hii ina comply na tafsiri ya sheria na sio tafsiri ya mtu. Iko sheria na tunaomba ikubaliwe. Katuga kuna maneno pia yamesemwa kuwa notice hii ikiachwa hizo sio hoja. Unamtisha nani? Naona kama anatutisha ni hoja ambayo itafungua pandora na hiyo pandora ni ipi? Tunaomba mapingamizi yatupiliwe mbali. Anasimama Mh. Lissu kumjibu Kituga. Nimesikiliza majibu yao naomba niseme yafuatayo. 1. Kifungu cha 308 cha CPA kinahusu shahidi mpya. Shahidi mpya kimesema ni yule ambaye maelezo yake au substance ya maelezo yake haikusomwa kwenye committal. Kwahiyo kifungu hicho kinahusu shahidi mpya na sio ushahidi mpya. Suala ni shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambae tayari maelezo yake yapo tayari. 2. Kwenye notice hii suala la kuamua sio reasonable au laa. Ni suala la kinacholetwa ni shahid mpya au laa. 3. Hiyo kesi ya Remina Omary Abdul waliyoleta si mara ya kwanza inazungumzwa kwenye Mahakama hii. Ililetwa kipindi kile cha Committal. Inahusu kifungu cha 263 tu. Ukurasa wa 32 ni kuhusu section 246 ambacho ni 263 ya sasa. Kwahiyo hiyo kesi inahusiana na mambo ya Committal basi kifanyeni kwa mujibu wa kifungu cha 308 cha CPA. Mlango wa Amin Mahamba ulifungwa kwenye committal kama mnataka tafuteni shahidi mwingine sio Amin Mahamba. Hoja ya kwamba hili ni pingamizi limeletwa pre mature nasema liko timely maana yanayohusika na kesi hii yalishakamilika na kuletwa Mahakamani. Effect yake ni kunibadilishia shitaka maana shitaka langu ni la tar. 03/04/2025 haya ya October ni mambo mapya. Mkiyaruhusu kwa kuruhusu notice hiyo na nimesema niko tayari, je wao watayaweza? Kwasababu ya October kuna genocide kuna mass killings, mass murder. Ya October ni magumu sana. Pingamizi langu litalinda integrity ya shauri hili na mashauri haya. I'm only trying to help them wanafikiri kuna deal pale hakuna deal yoyote. Angalieni kifungu cha 308 cha CPA. Hii notice ifutiliwe mbali, naomba hivyo. Majaji wanateta hapa. Tunasubiri uamuzi wao kuhusu pingamizi hili. Jaji Ndunguru amejadiliana na wenzake kwa muda mrefu sana hapa. Anasema ili tuweze kuandika uamuzi na tutarudi kesho saa tatu asubuhi na tutaendelea na mashahidi wengine. Naomba Repost yako.
Indonesia
71
387
1K
51.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 16, 2026 Jana tuliishia Part 177 so leo tunaendelea na-; Part 178. Majaji wanaingia wakati huo sauti ya Courtttt imepigwa kwa sauti kubwa. Kelele za Rais Rais Rais kama ilivyo ada pia zinapigwa zikianzia kule juu. Mh. Lissu amepiga Tshirt yake ya No Reforms, No Election. Majaji wanaandika kidogo. Kama kawaida Mawakili wa Serikali wapo karibia 10 siku zote huwa wanajitahidi kuwa wengi sana. 😂 Mhe. Lissu pia anateta kwa mbali na vijana wake pale wapo Mawakili Ikoti Lissu, Deogratias Mahinyila, Michael Lugina na Sisty Aloyce. Anasimama Renatus Mkude anawatambulisha wenzake na kusema wana mashahidi wawili wanaolindwa na wako tayari. Shahidi amesubiriwa kwa muda mrefu sana. Jaji anauliza mmeenda kumatafutia wapi? Yupo Mheshimiwa anajibiwa. Jaji huyo shahidi ni nani? Renatus mkude: Ni P2 huyu. Jaji: Shahidi una miaka mingapi? Shahidi wa kificho P2: 38 Jaji: Dini yako? Shahidi wa kificho P2: Mkristu. Shahidi wa kificho P2 amefika na anajibu hivyo. Jaji: Haya tuendelee. Muapisheni. Anasimama Renatus Mkude anasema huyu Shahidi ataongozwa na Wakili Ignas Mwinuka. Anasimama Ignas kuendelea. Ignas Wakili wa Serikali: Shahidi nitakuuliza maswali na hutakiwi kutoa utambulisho wako. Unaitwa nani? Shahidi wa kificho P2: Mimi naitwa P2 mkazi wa matalawe, Songea Ruvuma. Wakili: Kazi gani unafanya? Shahidi wa kificho P2: Mimi ni fundi umeme. Wakili: Wewe ni mfuasi wa Chama gani? Shahidi wa kificho P2: mimi ni mfuasi wa Chadema toka 2021. Wakili Ignas: unajishughulishaje ukiwa mfuasi wa Chama hicho? Shahidi wa kificho P2: Huwa najishughulisha na mikutano na kulipa michango. Wakili: tukumbushe tar. 04/04/2025 ulikuwa wapi? Shahidi wa kificho P2: Nilikuwa manispaa ya songea kwenye shughuli zangu, nakumbuka nikiwa napitia mitandao ya kijamii nilikutana na ujumbe wa Antipass Tundu Lissu akiwa katika mkutano na wanahabari. Wakili: Mtandao gani: Shahidi wa kificho P2: Youtube nilikuaa naangalia. Wakili: ukabaini nini? Shahidi wa kificho P2: Nilikutana na ujumbe wa mwenyekiti wa Chama akisema hakutakuwa na uchaguzi, wanaotaka kugombea wasahau mwaka huu. Alisisitiza namna ya kuzuia uchaguzi ni njia ya kuleta mabadiliko na alihamasisha kila mmoja awe jasiri. Wakili: ulifanya nini wewe? Shahidi wa kificho P2: Nilivyopata ujumbe huo nikapata hamasa na kuanza kuwatafuta viongozi walioko songea ili tujue linatekelezeka vipi hilo. Wakili: Kingine kilichoendelea? Shahidi wa kificho P2: Nilimtafuta Essau Said Mwenyekiti wa Vijana Songea kwa ufafanuzi zaidi. Alinielekeza atafanya mawasiliano na viongozi wengine na ilipofika tarehe 07/04/2025 kwahiyo alituambia tutoe michango ya hiari na mimi nilichangia elfu 10 hiyo michango ya hiari inaitwa Tonetone. Wakili: Mwendelezo wa ziara ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa? Shahidi wa kificho P2: Niliendelea na shughuli zangu nikawa nasubiri tarehe 10/04/2025 ambayo itakuwa ndio siku ya Mkutano na tuliambiwa hivyo sisi. Tarehe 09/04 nilipata taarifa kuwa amekamatwa Mwenyekiti Lissu na kwa vile siku na taarifa za kutosha. Wakili: Ikawaje? Shahidi wa kificho P2: Nilijiandaa tar. 10/04 ile asubuhi ili niende kwenye mkutano na kupata ufafanuzi wa nini kimeendelea hadi Mwenyekiti kukamatwa. Nilipofika mjini nikakutana na polisi wengi na wakawa wanatuambia hakuna mkutano siku hiyo. Wakili: Ikawaje? Shahidi wa kificho P2: Nikaona nielekee ofisi za Chama maana tuliambiwa Makamu Mwenyekiti wa Chama atakuwa anazungumza na wanachama pale Ofisini. Wakili: Makamu Mwenyekiti anaitwa nani? Shahidi wa kificho P2: John Heche. Wakili: Nini kiliendelea? Shahidi wa kificho P2: Tukiwa pale Ofisi za Chama wakati tunasubiri Mh. Heche azungumze wakaja polisi na mimi nilikamatwa katika tukio hilo na kupelekwa kituo cha Polisi. Part 178 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
Eesti
53
408
1.2K
36.8K
Massanja M.Mpinah retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Africa ujinga ni mwingi sana, sasa Huyu anang'ang'ania madarakani ili afanye nini?
Indonesia
155
210
1.3K
57.3K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Leo, Lissu atamkaanga vibaya huyo shahidi huko ndani ya kizimba mpaka ataona kwa moto! Karibu kwenye show za TAL
Filipino
33
107
882
13.6K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Uamuzi huu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar kwamba haina 'jurisdiction' kusikiliza mashauri ya Uchaguzi wa Wabunge wa majimbo ya Zanzibar ni moja ya sababu kubwa ya madai ya Katiba Mpya ambayo itaweka mizania ya Muungano wa HAKI, USAWA na KUHESHIMIANA.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
Indonesia
56
16
66
14.4K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu. Mlata ametoa kauli hiyo leo Januari 22, 2026, katika mkutano uliofanyika Wilayani Ikungi, Kata ya Puma, kabla ya kumkaribisha Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, kuhutubia wananchi. “Tangu tumemaliza uchaguzi, moyo wangu umekuwa ukibubujikwa. Kuona mwanamke ananyanyasika. Wanaume mnamnyanyasa Dkt. Samia… tangu amechaguliwa na Watanzania mmekuwa mkimzuia kufanya kazi zake, mmekuwa mkimsononesha,” amesema Mlata. Amesema kuwa wanaume wameongoza kwa miaka mingi kupitia awamu tano zilizopita, hivyo ni wakati wao kumpisha Rais Samia kutekeleza majukumu yake pasipo kelele, au vipingamizi visivyo na tija. “Naomba wanaume mtuache… mlitawala miaka yote, awamu tano. Awamu ya sita mtuache. Wanaume tulieni tuwaongoze. Zamu yenu itakuja. Mwacheni Dkt. Samia afanye kazi yake. Tulieni,” amesisitiza. Amesema Rais Samia amepata ridhaa ya wananchi na “amekubaliwa na Mungu,” hivyo si haki kuona baadhi ya watu wakichochea mazingira yanayoweza kumkwamisha au kumvunja moyo katika kutekeleza majukumu ya kitaifa.
Indonesia
116
8
42
15.5K
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
"Tulishiriki Uchaguzi 2025 ili tuweze kupambana na chama tawala na kuweza kutoa elimu ya mabadiliko kwa wananchi. Kwetu sisi tunaamini kususa ni kuendelea kumpa nguvu mtawala." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy Crown Radio 22 Januari, 2026. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo tweet media
Indonesia
3
7
12
398