Development Expert - University of Dar es Salaam

14.5K posts

Development Expert - University of Dar es Salaam banner
Development Expert - University of Dar es Salaam

Development Expert - University of Dar es Salaam

@MpunjoSaid

Professionnel en études de développement de l'université de Dar es salaam | Gender | Human Rights | Health| Economics | Monitoring and Evaluation of Development

United Republic of Tanzania Katılım Ağustos 2019
518 Takip Edilen383 Takipçiler
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Cosmas Edward 💫
Cosmas Edward 💫@EdwardCosmas·
Tulivyo kuwa wadogo tuliwaeleza wazazi shida zetu nao walituficha za kwao. Sasa hivi wana tueleza matatizo yao huku sisi tukiwaficha magumu yetu.
Indonesia
5
43
154
2.6K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
WEBSITES TANO ZA SIRI UNAZOWEZA KU DOWNLOAD KITABU CHOCHOTE BURE Wewe unatumia ipi hapa ? Fungua threads 🧵👇🏿
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
14
61
166
25.6K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
tarison
tarison@tarison28·
@Rakeem0101 Kwa lugha rahisi ni kuchukua smart yenye operating system ya android/google tv ,hapo utakua na uwanjaa wa kuongeza app kama kwenye simu ila smart zenye operating system nyingine kma vida kwenye Hisense app utakazokuta ndo izo izo huwez ongeza ,
Indonesia
3
3
22
6.8K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Rais Ruto anasema nchi za Afrika mashariki zinajadili kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta mkoani Tanga Tanzania. Ruto anasema kiwanda hicho kitaondoa utegemezi wa mafuta kutoka Uarabuni. Dangote amesema yeye yupo tayari kujenga kiwanda hicho kitakachotoa mapipa 650,000 kwa siku
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
63
78
1.3K
27.1K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
POINTS 10 ZA IRAN 🇮🇷 KUHUSU VITA KUSIMAMA AMBAZO MAREKANI WAMEZIPOKEA | 1- Makubaliano ya Kimaandishi kuwa Marekani hatoshambulia Iran na Washirika wake Iraq, Lebanon, Syria na Palestina. 2- Iran itaendelea kumiliki Mlango Bahari wa Homuz ikiwemo kulipisha. 3- Iran itaendelea kurutubisha Uranium. 4 & 5- Marekani kuondoa vikwazo vyote kwa Iran sambamba na kurejesha Mali na fedha zake zote walizochukua tangu Utawala wa George Bush. 6- Kutengua maazimio yote ya Baraza la Usalama wa Taifa. 7- Kufuta maazimio yote ya Bodi ya Nuclear na Atomiki. 8- Marekani alipe fidia zote za Iran kutokana na vita. 9- Marekani kuondoa Majeshi na Kambi zake zote Mashariki ya Kati. 10-Kusitisha mapigano pande zote ikiwemo Hezbollah wasiguswe. RAIS TRUMP amekiri kuzipokea na amedai zina mantiki sahihi.
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
7
13
38
2.6K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Iran imeipelekea Marekani mapendekezo 10. Marekani imekiri kupokea mapendekezo hayo na imesema yana mwanzo mzuri wa majadiliano. Iran imesema majadiliano na Marekani yataanza Ijumaa na yatafanyikia Pakistan. Kiuhalisia Vita haijawahi kuwa na manufaa bali inaacha maumivu.
Ayubu Madenge tweet mediaAyubu Madenge tweet media
Indonesia
13
15
178
8.3K
Development Expert - University of Dar es Salaam
Wanaokwenda Harusini Ndio Wanaokwenda Msibani. Kwa maana siku hazifanani 🤔 Mungu wa Manyani Ndio Mungu Wetu Sisi Mungu wa Selemani Ndio Mungu wa Mafisi. Tofauti yetu na Ng'ombe Labda ni Kwato na Pembe. Wote ni viumbe tunavuta hewa.
Indonesia
0
1
1
92
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani utawala wake utakomesha mambo ambayo yamekuwa yakifanywa na Iran hasa uzalishaji mpango wa kuzalisha silaha za nyuklia na mashambulizi ambayo wamekuwa wakifanya kwa karibu miaka 47, kwa kuishambulia Marekani na kuwaua Wamarekani. Amesema Marekani inaangamiza uwezo wa makombora ya Iran na kuhakikisha wanaharibu uwezo wao wa kuzalisha makombora mapya. Pamoja na hayo amesema tayari kwa kushirikiana na Israel Marekani imeangamiza angalau meli 10 ambazo wamezamisha. Akisisitiza kuwa mfadhili mkuu wa kigaidi duniani hatoweza kamwe kupata silaha za nyuklia.
Indonesia
2
12
158
7.5K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kwa wasioelewa ni kwamba, kwenye vita hii nchi hazipigani kwa sababu za DINI. Bali ni vita ya “Power, Survival na National Interests”. Ndiyo maana Iran haitumii kigezo cha DINI kudili na mataifa ya Kiarabu, bali wao wanashambulia nchi zote za Kiarabu zenye ushirika na Marekani.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
49
58
1.1K
26K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Mvutano wa kijeshi katika eneo la Ghuba ya Uajemi umeongezeka kufuatia taarifa za mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani yanayodaiwa kufanywa na Iran dhidi ya Saudi Arabia. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, makombora kadhaa yalirushwa kuelekea maeneo ya kimkakati, yakiwemo mji mkuu wa Riyadh na ukanda wa mashariki wa nchi hiyo. Hata hivyo, mamlaka za Saudi Arabia zimesema mifumo yao ya ulinzi wa anga ilifanikiwa kuyadhibiti na kuyatungua makombora hayo kabla hayajasababisha madhara makubwa. Serikali ya Saudi Arabia imelaani vikali tukio hilo, ikilitaja kama ukiukwaji wa sheria za kimataifa na tishio kwa usalama wa eneo zima la Ghuba. Aidha, imeonya kuwa itachukua hatua stahiki kulinda mipaka na raia wake endapo mashambulizi yataendelea. Mashambulizi hayo yanatajwa kuhusishwa na mvutano mpana wa kisiasa na kijeshi unaoendelea kati ya Iran na mataifa washirika wa Magharibi pamoja na Israel, hali inayoongeza hofu ya kupanuka kwa mzozo katika Mashariki ya Kati. Jumuiya ya kimataifa inaendelea kutoa wito wa kujizuia na kutafuta suluhisho la kidiplomasia ili kuzuia hali hiyo isigeuke kuwa vita vya wazi vinavyoweza kuathiri uchumi na usalama wa dunia.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
1
5
44
3.1K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amepiga marufuku wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kwenda shule na vidumu vya maji, badala yake ameagiza kila shule iwe na kisima cha maji. Aidha, ameagiza vituo vyote vya afya, zahanati na hospitali ziwe na huduma za maji.
37
7
157
15.8K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Serikali ya Tanzania imetangaza hatua kubwa katika sekta ya afya kwa kusajili rasmi dawa ya Lenacapavir, dawa ya kuzuia na kudhibiti Virusi vya UKIMWI (VVU) inayotolewa kwa njia ya sindano mara mbili tu kwa mwaka. Kwa mujibu wa The Citizen, Mfamasia Mkuu wa Serikali, Bw. Daud Msasi, amethibitisha leo, Februari 24, 2026, kuwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeshakamilisha usajili wa dawa hiyo na tayari imeingizwa kwenye Mwongozo wa Taifa wa Matibabu ya VVU. Dawa hii, ambayo si chanjo bali ni aina ya dawa ya muda mrefu ya kupunguza makali ya virusi (long-acting ARV), imekuwa na matokeo ya kustaajabisha. Ilionesha ufanisi wa asilimia 100 katika majaribio ya kliniki yaliyofanyika nchini Uganda mwaka 2025, na inachomwa mara moja kila baada ya miezi sita, ambapo hukaa mwilini na kuzuia virusi kuzaliana. Dawa hii ilishapitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) mwaka 2025 na kutambuliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Bw. Msasi ameeleza kuwa Serikali kwa sasa iko katika mchakato wa kuzungumza na wadau mbalimbali ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa hiyo unakuwa wa uhakika kwa walengwa waliokusudiwa nchi nzima.
Jambo TV tweet media
Indonesia
36
50
377
48.8K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Mwanamke anapokausha kujibu meseji au kupokea simu au akawa anakuringia, anaamini yeye ni bora kuliko wewe. Na siku zote mpaka anakufanyia hivyo ni wewe ndo unampa hiyo jeuri, kosa ni lako.. Kwasababu unajua nini cha kufanya.
Indonesia
12
29
266
12.9K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Cosmas Edward 💫
Cosmas Edward 💫@EdwardCosmas·
Usikimbilie kuonekana mkubwa Jenga thamani ukubwa utakuja wenyewe
Indonesia
10
30
101
1.6K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Nathan Paul Jr
Nathan Paul Jr@Fikra_pevu·
Mtu sahihi kwako hawezi kuwa sahihi kwa kila mtu Usipoteze muda kufanya kila mtu amuone sahihi na usizuie watu kumuongelea mabaya yake:: √√He/she is not an angel #NiHayoTu
Filipino
4
17
89
1.5K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Genious✍️
Genious✍️@chibelube·
Hii Dunia ya sasa kuishi na watu vizuri Ndio Vibaya.
Indonesia
7
41
244
13.8K
Development Expert - University of Dar es Salaam retweetledi
Cosmas Edward 💫
Cosmas Edward 💫@EdwardCosmas·
Si kila mtu alie karibu na wewe ni wa kuamini, na si kila alie mbali ni adui.
Indonesia
5
16
54
1.1K