Sabitlenmiş Tweet

Kwanini Umri wa Kustaafu kwa Watumishi wa Umma usipungue kutoka Miaka 60 hadi 45???
Kwa mtazamo wangu hasa Katika hali ya sasa ambapo vijana wengi wanahitimu vyuo vikuu lakini wanakosa ajira rasmi kwa muda mrefu, ni wakati wa kuangalia upya mifumo yetu ya ajira na hasa sera ya umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma. Pendekezo langu ni kwamba umri wa kustaafu upunguzwe kutoka miaka 60 hadi miaka 45.
Indonesia




























