✍️ JUST IN ~ Mwandishi: Umejipangaje kuelekea mchezo wa Azam FC.
-
✍️ JULIO: Wee ulitaka nijipangaje zaidi ya mazoezi tuliyofanya, basi nitakuja na mapanga na marungu.
✍️ JUST IN ~ Yanga kubwa sana Afrika. Sidhani kwa ukubwa wao kama walishindwa kusaka watu wa graphics.
-
✍️ Wameenda kui-command CHARTGPT, mwisho uhalisia umepotea. GPT huwa haipatii kila kitu. Kibendera kimekaaje hapo?.
✍️JUST IN ~ Kuna mdau ame-comment kwenye post yangu anauliza mbona Yanga SC hawajamtangaza mkandarasi wa ujenzi wa uwanja.
-
✍️ Pia gharama za ujenzi hazijatajwa. Nimeshindwa cha kumjibu. Mjibuni.
✍️ JUST IN ~ Simba SC wanapanga kukamilisha uhamisho wa kiungo Neo Maema kutoka Mamelodi Sundowns kwa mkataba wa kudumu wa miaka miwili.
-
✍️ Simba SC wamevutiwa na mwendelezo wa Maema. Vita kubwa ipo Afrika Kusini, Orlando Pirates na vilabu kadhaa vinamhitaji Maema.
✍️ JUST IN ~ Kwa mwenendo huu, Huyu naye ahesabu siku tu, anaweza asimalize msimu kabisa.
-
✍️ Tupo hapa. Moalim ajiandae tu, akija kutoa sare au kufungwa mechi yoyote baada ya leo dhidi ya Dodoma safari itamhusu.
✍️ JUST IN ~ Watu wanaohusika kufukuza hawa makocha 'actually' sio makocha 'by proffesional' wala hawana taaluma ya kufundisha.
-
✍️ Mimi mmoja niliyemtetea sana Folz na nilipinga kufukuzwa. Ajabu et kocha anakupa matokeo unamfukuza mpira hauvutii.
✍️ JUST IN ~ Timu ya watu. Timu ya wananchi. Ndani ya saa 1 tu ishachangwa milioni 7, imagine.
-
✍️ Tukienda kwa wastani huo maana yake mpaka saa 12:30 itakuwa ishapatikana Mil 30/-.
✍️ JUST IN~ Mkataba wa mauziano ya Eberech Eze, Crystal Palace watapewa bonus ya Paundi milioni 10 endapo Arsenal watashinda EPL.
-
✍️ Game ijayo Man City anacheza na Palace. Arsenal anamaliza na Palace.
✍️ JUST IN ~ Yanga wamepigwa faini ya Sh milioni 30 kwa kosa la kutumia chumba kisicho rasmi katika mchezo dhidi ya Simba SC uwanja wa Isamuyo.
-
✍️ Meneja wake, Walter Harrison amepigwa faini Sh milioni 1 na kufungiwa mechi 3 kosa la kumsukuma Clatous Chama.
✍️ JUST IN ~ Kama lengo ni kuisaidia 'Taifa Stars' basi tumechelewa sana. Chama anaitafuta 35 sasa. Haina haja.
-
✍️ Uamuzi wa kumpa uraia ulipaswa kufanyia miaka 6 nyuma. Ila kama kuna mengine tofauti na 'football' apewe tu.
✍️ JUST IN ~ Baadhi ya wachezaji wakiwemo wakigeni Pamba Jiji FC, mikataba yao inaisha mwezi Juni.
-
✍️ Kwa mujibu wa chanzo changu, Pamba Jiji kuna ukata na huenda wachezaji hao wasionekane tena. Kigogo mmoja amewaahidi mazuri ila hadi sasa hakuna dalili mikataba mipya.
✍️ JUST IN ~ Zamani ilikuwa ikipigwa 'Dabi' baadhi ya shughuli za serikali, watu binafsi zinasimama saa tatu kabla ya mechi. Kila mtu hataki kupitwa na tukio lolote.
-
✍️ Tumefikiwa wakati ambao hata mchezaji mwenyewe hashtuki. Anakuliza mwandishi kwani mechi saa ngapi?😁.
✍️ JUST IN ~ #BREAKING: Yanga SC huenda wakaachana na Edmund John mwishoni mwa msimu huu. Mchakato utaanza punde baada ya msimu kutamatika.
-
✍️ Chanzo changu kinaeleza, Asante Kotoko ya Ghana inamhitaji Edmund John kama mbadala wa Amidu Aquah.
JUST IN ~ Picha Mpya. Mpira unadunda vizuri, hakuna maji wala tope. Jua la wastani, Isamuyo imetakata.
-
✍️ Hakuna kukimbiana. Kila mtu afike uwanjani leo. Hali ya hewa safi sana.
✍️ JUST IN ~ Al-Ahly anakuja kwa Mkapa anacheza kama Bonyokwa FC kumbe wahuni washafukia vitu vyao.
-
✍️ Mamiyake😁hii nchi weka mbali na watoto. Haya mahirizi yamekutwa nchi ya pitch uwanja wa Mkapa, yapo mengi, hadi mabichwa ya Ngombe yamefukiwa.