MSLegalAidCampaign
1.5K posts

MSLegalAidCampaign
@MsLACampaign
Kampeni ya utoaji huduma ya Msaada wa Kisheria kwa wanyonge iliyopewa jina la Mama Samia legal Aid Campaign.
Tanzania Katılım Şubat 2023
750 Takip Edilen1.3K Takipçiler

WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA ... youtu.be/ir2A7m7V3_w?si… via @YouTube

YouTube
HT

Vyeti sasa kupatikana ndani ya masaa 48 kupitia programu maalumu ilio zinduliwa na wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA).
#sisinitanzania #katibanasheria #nchiyangukwanza #mslac #kazinaututunasongambele
Indonesia

Tanzania inajengwa na sisi wenyewe na nijukumu lakila mtanzania kuhakikisha analinda amani ya nchi yetu.
#sisinitanzania #mslac #ssh #katibanasheria #nchiyangukwanza
Indonesia

Watu zaidi ya laki tatu kwa mkoa wa Morogoro walifikiwa na huduma ya msaada wa kisheria kwa awamu ya kwanza iliyopita.
#sisinitanzania #mslac #ssh #katibanasheria #nchiyangukwanza
Indonesia

HAKUNA MWANANCHI WA MKOA WA MOROGORO ALIE SHIRIKI MAANDAMANO OKTOBA 29-Mhe.Juma Zuberi Homera waziri wa katiba na sheria wakati akizindua kliniki ya msaada wa kisheria.
#sisinitanzania #mslac #ssh #katibanasheria #nchiyangukwanza
Indonesia

Msaada wa kisheria kwa haki,usawa,Amani,na maendeleo.
#WizaraYaKatibaNaSheria #Mslac #SSH #Katibanasheria #Kazinaututunasongambele

Filipino

Hatua moja ya ushauri inaweza kuokoa maisha yako.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #WizaraYaKatibaNaSheria #kazinaututunasongambele #SSH #HakiKwaWote
Wasiliana nasi:
0262160360

Indonesia

Kila mtanzania anastahili msaada wa kisheria.

Heri ya siku ya uhuru,Tuendelee kulinda tunu zetu za Amani,umoja na mshikamano.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #tanzania #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria

Indonesia

KWANINI UHAKIKI WA UMILIKI NI MUHIMU KABLA YA KUFANYA MALIPO YA ARDHI.. ? #katibanasheria #MSLAC #wizarayaardhi #SisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #tanzaniayahakinaamani#Nchiyetufahariyetu #wizarayakatibanasheria @ikulu_mawasiliano @juma_zuberi_homera

Indonesia

JE .! UNAZIJUA NYARAKA ZINAZOHITAJIKA KATIKA MAUZO YA ARDHI..? #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SioNdotoTena #HakiKwaWote #Sisiniwatahimilivu #kazinaututunasongambele #tanzania #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu

हिन्दी

ZIJUE HATUA MUHIMU KABLA YA KUNUNUA ARDHI KUEPUKA MIGOGORO YA ARDHI ISIYO YA LAZIMA.
#katibanasheria #MSLAC #wizarayaardhi #SisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #tanzaniayahaki #WizaraYaKatibaNaSheria

Indonesia