#MWENYEJI

6K posts

#MWENYEJI banner
#MWENYEJI

#MWENYEJI

@MselaSafi16

𝑴𝑺𝑬𝑳𝑨 𝑺𝑨𝑭𝑰😎 Man Utd diehard fan🔴

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2019
1.1K Takip Edilen625 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
#MWENYEJI
#MWENYEJI@MselaSafi16·
Ishi kwakuamini katika juhudi zako kupitia maombi kwa Mungu wako unaemuamini, walotegemea ndugu wengi wao walifeli na wengine waliishi kwa hofu yakutowakwaza walowafanya kuwa walipo, Kuwa dereva wa maisha yako, MselaSafi
Filipino
0
3
9
0
#MWENYEJI
#MWENYEJI@MselaSafi16·
@bonifacejoseph_ Mzigo uko poa kaka, sema unahitaji akili na muda! Kama vyote unavyo utaenjoy dogolasi
0
0
1
174
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Huu mzigo sijawahi ucheki asee, walioangalia upo fresh au nisipoteze muda?
Bony 📚 tweet media
Indonesia
26
1
36
5.6K
LIMDOGO LAKE BRUNO🇵🇸
Kazi ipo kwa Tuchel ukiachana na presha ya Brazil team nyingine ambayo hua na presha sana ni hii ya waandishi wa habari Three lions kazi ipo hapo Ijumaa😂
Indonesia
7
5
31
578
#MWENYEJI
#MWENYEJI@MselaSafi16·
@KINGLUDA18 @JabiryYj Eeeh janja Nasri alikuwa anashangilia vya FA tu na Carring Cup kipindi kileee, sina noma nao wakibeba Arse8
Indonesia
1
0
0
25
#MWENYEJI
#MWENYEJI@MselaSafi16·
@KINGLUDA18 Eeeh kaka nina mwanangu anaitwa Nasri tangu tunakuwa hajawahi kushuhudia chama lake likibeba EPL, kwahiyo nitafurahi msimu huu mshkaji wangu akifurahi
Indonesia
1
0
0
13
AftEr ReVieW
AftEr ReVieW@mzee_mbuzi·
Kuna team ukiingia humu wao wanaongelea usajili wa msimu ujao wakati huu bado haujaisha😀😀😀..Mashabiki wao ndo maspotdairekta
AftEr ReVieW tweet media
Indonesia
33
15
103
2.5K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Aliyekupa hasara ya mali au kitu usimlipize kwa kumpa hasara ya uhai. Kama hasara uliyopata sio hasara ya uhai au kilema basi usifidie kwa kuchukua uhai wa mtu. Yote yaliyopo hapa duniani tunaweza kupata kwa juhudi binafsi hata ikitokea tumedhulumiwa. Lakini uhai hakuna fidia na haufanani na chochote. Nikikukosea USINIUE kama hasara niliyokupa haina thamani ya uhai.
Indonesia
10
14
103
7.9K
#MWENYEJI
#MWENYEJI@MselaSafi16·
@privaldinho Mpira ulipigwa hadharani Mangi hayo mambo ya ushirikina hayakuonekana.
Filipino
0
0
0
207
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Kama kuna siku makolo tumewapa semina elekezi kuwa USHIRIKINA hauna maana yoyote basi ni jana. Baada ya sisi kufanya mazoezi, kilitokea kituko cha mwaka, mwenyeji kwenda kufanya mazoezi baada ya mgeni usiku usiku. Unadhani walikwenda kufanya cha maana basi? La Hasha, ni uzumbukuku wa ushirikina. Wamefanya kila aina ya ulozi lakini wapi. Wamewekeza muda mwingi kwenye ushirikina mwisho wa siku wamedhalilika.
Indonesia
42
6
203
16.5K
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
Video ya bei ghali kwa sasa AFRIKA
Filipino
114
239
1.8K
45.6K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
"Kama tungetanguliwa zile goli mbili na Mtibwa, Mbeya City au Tz Prisons tusingesawazisha. Tulitangaliwa na timu ambayo kila mwanayanga anasema hawa ni wa kwetu, Simba tunawamudu hata wangetutangulia goli tano, zingerudi tu, hawa ni wabovu" 🎙️ Ally Kamwe
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
24
26
740
18.4K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Haijawahi kutokea kwenye historia ya Ligi Kuu Bara Mchezaji kama Clatous Chota Chama, The Greatest ever.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
75
133
2.2K
66.5K
#MWENYEJI
#MWENYEJI@MselaSafi16·
@KINGLUDA18 Tena kitanda cha juu😀 sema mwanetu ni familia
Indonesia
0
0
0
8
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Mwanaume kaza sana, njia zako chache sana, zipiganie sana usichoke no option.
8
37
264
5.3K
FC Bayern
FC Bayern@FCBayernEN·
Champions of Germany for the 35th time! 🏆
English
355
1.8K
25.3K
306.5K