_Mshery🇹🇿

181 posts

_Mshery🇹🇿 banner
_Mshery🇹🇿

_Mshery🇹🇿

@Mshery28

Professional Footballer •, CLUB : Young Africans ( @YoungAfricansSC) C Nationality : Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Katılım Nisan 2022
25 Takip Edilen32.1K Takipçiler
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Moyo ukikupa nafasi ya kupenda penda mwanamke wa daraja ya maisha yako hakuna alie faulu mtihan wa kuyatumikia mapenzi🤍
_Mshery🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
20
474
9.8K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Unaweza kudhalilisha sifa ya mtu Na kupunguza heshima yake. Lakini hauwezi kamwe kumpokonya Neema zake.
_Mshery🇹🇿 tweet media
Indonesia
9
22
576
8.7K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Self care is not selfish It's necessary.
_Mshery🇹🇿 tweet media_Mshery🇹🇿 tweet media
English
3
8
526
10K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Muda unasogea⏰ Hisia zinabadilika💔 Kumbukumbu zinapotea!💭 Watu wanaondoka🕯️🕊️😔
Indonesia
2
32
346
9K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
kwa namna yoyote ile jitaidi sana maisha yako yawe ni yenye kutawaliwa na usiri kwenye kila unalofanya,...dunia ya sasa binaadam tunachekeana tu usoni ila moyoni chuki ni kubwa mno..😔
Filipino
11
26
288
7.8K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Jifunze kuheshimiana na kila unayekutana nae maana maisha ni kiza na hujui nani kesho atakumulikia🧠🤍
Indonesia
1
4
113
2.9K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Takribani miez 9 bila mechi yoyote ya ushindani na haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo sasa. Alhdulilah sasa hivi nipo fiti na nipo Tayari kuipambania bendera ya nchi yangu na nembo ya timu yangu @Yanga1935
_Mshery🇹🇿 tweet media
Indonesia
51
123
2.5K
39.9K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Watu wanaokuchukia wanaweza kuwashawishi hata watu wengine wakuchukie, but the Good News is... Hawawezi kumshawishi Mungu aache kukubariki...Ijumaa Qareem🤍
हिन्दी
1
11
204
3.7K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Mwanaume mpambanaji asiyekata tamaa siku zote akitoboa kimafanikio kipaumbele chake cha kwanza ni familia yake na sio kuwavutia watu wengine.🔰
_Mshery🇹🇿 tweet media
Indonesia
9
36
771
11.4K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
KIFO HAKISUBIRI WEWE UWE KATIKA NJIA ILIYONYOOKA, NYOOKA WEWE KISHA SUBIRI KIFO!.🤍🕊️
Indonesia
3
12
160
3.7K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
MSITUONE TUNA FURAHA, TUNAYO PITIA NI SIRI ZETU MIOYONI!
_Mshery🇹🇿 tweet media
Suomi
12
12
451
7.5K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Ukitambua thamani ya subra,Utafaulu mitihani mingi🤍
Indonesia
4
7
122
2.5K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Kama tukishukuru kwa tulicho nacho basi mioyo yetu itapataa utulivu (amani)🤍🕊️
Indonesia
1
5
121
2.4K
_Mshery🇹🇿
_Mshery🇹🇿@Mshery28·
Thamani ya kuomba kwako haipo kwenye kupanga vizuri maombi yako. Thamani ya kuomba kwako ipo katika imani ambayo umeibeba wakati unaomba.M/mungu akatujaalie kher katika msimu huu mpya wa 23/24
_Mshery🇹🇿 tweet media
Filipino
7
29
501
5.7K