Emmanuel Cosmas Msoka
676 posts

Emmanuel Cosmas Msoka
@MsokaEmmanuel
Building @kazzziapp || Youth Advisor in UNICEF 🩵 || Economics, Business & Global Studies 🎓 || 10 Yrs+ driving youth engagement & Sustainable Development 🌍












Wadau wa X naomba retweet zenu kila mtu aone hili tangazo Muhimu 🔥 Nakusogezea App inaitwa Kazzzi Kwenye App hii unaweza kuweka tangazo la Kazi zako zote kama 1. Kazi za ndani za kufua, kudeki, Kuosha vyombo, kupika, kuangalia mtoto Kusafisha nyumba nzima madirisha makochi , kwenda sokoni 2. Kazi za kiofisi kazi za kupanga ofisi, graphic designer, sales manager, cashier wa duka au supermarkets, models, mtu wa phamarcy, Haina haja ya Kuteseka kuumiza kichwa ishi kama mfalme 👑. Weka kazi zako kwenye app ya Kazzzi Unachotakiwa kufanya ni kuPakua App yako na weka kazi zako Kupitia Link Hii 👇 apps.kazzzi.com Usalama ni mkubwa, binafsi kazi zangu za ndani zote huwa naweka kwa Hii app. Kila kitu kimerahisishwa kiganjani 🙌




Harakati za Maisha zinaleta uchovu mwingi sana sasa mkombozi amefika, Kuna App inaitwa Kazzzi, Huku unaweza kuweka Kazi zako zote za kufua, kudeki, Kuosha vyombo, kupika, kuangalia mtoto, kazi za kupanga ofisi, graphic designer, kwenda sokoni. App hii itakusaidia kupata mfanyakazi tena kwa gharama nafuu na uaminifu mkubwa Pakua sasa App yako na weka kazi zako Kupitia Link Hii apps.kazzzi.com chap unapata mtu wa kukusaidia kazi








Siku hizi si lazima ujuane na mtu ili upate kazi unachohitaji ni Kazzzi App App hii imeundwa kuunganisha vijana na watoa huduma na wale wanaohitaji msaada wa kazi za muda mfupi kama kufua, kupika, kusafisha nyumba, graphic design, hata kwenda sokoni kuleta vitu. Ni mfumo wa kijamii unaolenga kupunguza ukosefu wa ajira na kukuza kipato kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Fungua milango ya fursa zako leo kazi au huduma, zote zinapatikana kwa urahisi ndani ya Kazzzi App. Bofya link Pakua sasa ni rahisi kutumia apps.kazzzi.com






