Flower Ezekiel Msuya

140 posts

Flower Ezekiel Msuya

Flower Ezekiel Msuya

@MsuyaFlower

Devoted researcher, loves seaweeds

Katılım Nisan 2012
256 Takip Edilen349 Takipçiler
Flower Ezekiel Msuya
Flower Ezekiel Msuya@MsuyaFlower·
@KingPablotz Hiyo picha ya 2023 mbona inamwonyesha kama mchungaji? Hapo si ndiyo ina maana maisha yake yalibadilika?
Filipino
0
0
0
44
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
Safari ya Kuigiza Yesu Mchujo wa kumpata mwigizaji wa Yesu ulikuwa mgumu—waigizaji zaidi ya 1,000 walihitajika, lakini Brian ndiye aliyefanikiwa! Ilikuwa safari ngumu, lakini alikubaliana na changamoto za jukumu hilo. Filamu hiyo ilirekodiwa kwa miezi saba, huku wakianza kazi tangu saa 10 alfajiri kila siku. Brian alishuhudia mambo mengi ya ajabu, akiwemo mwanamke aliyekuwa na mapepo, ambaye alisaidia kuponya kupitia maombi. Baada ya filamu, alitambua athari kubwa aliyokuwa nayo kwa maisha ya watu wengi, akipokea maelfu ya barua za shukrani. Mpaka leo, filamu hii inasalia moja ya filamu za kidini zilizoangaliwa zaidi duniani!
Cinema 4 You tweet media
Indonesia
8
3
62
33.5K
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
Sehemu ya Pili Maisha ya Brian Deacon Baada ya Filamu ya "Jesus" (1979) Je, wajua maisha ya Brian Deacon baada ya kuigiza kama Yesu? Mfahamu zaidi Brian Deacon, mwigizaji maarufu duniani aliyempa Yesu sura katika filamu ya JESUS (1979). Alianza maisha kama kijana wa kawaida, akaingia kwenye uigizaji wa majukwaani, na hatimaye akachaguliwa kati ya waigizaji zaidi ya 1,000 kuigiza jukumu hilo takatifu. Baada ya filamu hiyo, maisha yake yalibadilika kabisa! 🧵 Uzi
Cinema 4 You tweet media
Indonesia
43
100
1.3K
360.4K
Global Seaweed Coalition
Global Seaweed Coalition@Safe_Seaweed·
We share your grief at this difficult time on the loss of an irreplaceable human being. His contributions to advancing the understanding of seaweed science, including through his active participation on our Scientific Council, are too numerous to enumerate. RIP, Prof Chopin🌙
English
2
0
3
113
Global Seaweed Coalition
Global Seaweed Coalition@Safe_Seaweed·
The seaweed community has lost one its key members with the passing of Dr. Thierry Chopin. On behalf of the GSC, we extend our heartfelt condolences to his family and to the extraordinary community he created, through his enthusiasm and deep love of seaweed science.
Global Seaweed Coalition tweet media
English
2
10
42
3.3K
Flower Ezekiel Msuya retweetledi
UN Ocean Decade
UN Ocean Decade@UNOceanDecade·
The #OceanDecade ecosystem is growing! Led by @Ocean_Visions, the GEOS Programme hosts 7⃣ new actions on ocean-climate solutions. From climate hubs in Africa and Patagonia to sustainable aquaculture and arctic ice restoration, discover the new projects: ow.ly/vbcp50Rx4SS
UN Ocean Decade tweet mediaUN Ocean Decade tweet media
English
0
11
26
2.7K
Flower Ezekiel Msuya retweetledi
Manuel Barange
Manuel Barange@Manu_FAO·
Last week I met #Barbados’ Minister of Youth, Sport and Community empowerment, H.E. CharlesGriffith and Minister of Agriculture, H.E. Indar A. Weir, to discuss @FAO’s work in the country, with @fao’s representative @JuanCheaz and @fao’s Yvette Diei Ouadi
Manuel Barange tweet mediaManuel Barange tweet mediaManuel Barange tweet mediaManuel Barange tweet media
English
0
4
5
248
Janka
Janka@JankaSharifu·
@ummymwalimu @godbless_lema Asante sana ukiacha punguzeni gharam za kufungua file pia gharama za kumuona daktari ziko juu sana kuliko hata vipimo vyenyewe.
1
0
0
68
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nakiri kwa dhati kwamba sijui sana sheria na uratibu wa maduka ya kuuza madawa(Phamarcy).Lakini nafahamu kwamba ninaweza kununua dawa yoyote ktk duka lolote hata bila cheti cha daktari hata zile dawa za hali ya juu kabisa.Ninafikiri hii ni hatari sana.Ninafanya hivyo na nimefanya hivyo mara nyingi. Matumizi ya dawa bila vipimo na ushauri wa daktari yana chochea sana kukuza magonjwa chronic ambayo baada ya muda yana gharimu sana familia na serikali.Kama gharama za ushauri na uchunguzi zikiwa chini na ikafanyika kampeni ya uchunguzi kabla ya matumizi ya dawa,bila shaka tutaokoa watu wengi pamoja na gharama kubwa zaidi kuliko ambavyo tunaweza kufikiri. Ktk maduka ya madawa Nchini unaweza kujadili kununua dawa yoyote na unayemkuta dukani bila hata yeye kuona vipimo hata kwa zile dalili za magonjwa hatari yanayo weza kufichwa kwa aina za dawa ambazo zina pambana na maumivu kwa muda tu huku zikiendelea kukuza tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ninashauri uratibu zaidi uimarishwe huku gharama za vipimo na kumwona daktri viwe rafiki na rahisi.Watu wengi wanakuja kugundua baadae wanaumwa serious baada ya kuwa wamekuwa waki supress pain kwa kushauriana tu na dada mmoja ktk phamarcy kwa matumizi ya dawa hata kabla ya vipimo.Haka katabia tunako wengi sana.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
166
157
1.6K
214.4K
Flower Ezekiel Msuya
Flower Ezekiel Msuya@MsuyaFlower·
Zanzibar Seaweed Cluster Initiative (ZaSCI) Seaweed Day will be celebrated on 23rd July 2023 in Zanzibar. We expect participants from all over the world. Come join us on the day. #seaweedcluster #SeaweedDay2023 #www.seaweedday.co.tz
English
0
2
3
149
Flower Ezekiel Msuya
Flower Ezekiel Msuya@MsuyaFlower·
Zanzibar Seaweed Cluster Initiative (ZaSCI) in collaboration with SeaPower conducted training in seaweed value addition in Muungoni village, South Zanzibar. More than 8 products were made thanks to funding from Global Seaweed Coalition. #Seaweecluster #SeaPoWer
Flower Ezekiel Msuya tweet media
English
2
10
31
1.9K