Bana nakumbuka in my high school days bana saa hii ulikuwa unafika home ukijua on Sunday mkirudi ukona week ya mbili safi za sus after umepatwa embu tao na home clothes 😅😅😅
Campus nako kukaa na roommate ilikuwa ngumu, siku anajua ukona classes mbili au tatu jamaa anategea uende class apike ugali mayai aoshe masufuria afu jioni akuambie yeye hana pesa😥😂