
Yataamka wakikutana na 6imba tena
Botafogo👑@IWillLive_X
Pamba Jiji tangu wapate Sare dhidi ya Simba, Mambo Yao yamekuwa magumu mnoo 😃😃😃
Indonesia
Mdevi Tz
124.7K posts


Pamba Jiji tangu wapate Sare dhidi ya Simba, Mambo Yao yamekuwa magumu mnoo 😃😃😃






Yanga kacheza mpira mkubwa sanaaa,, kacheza kibingwa na ivi ndo timu inayotaka ubingwa inatakiwa icheze 🔥

🗣️"Tumedhamiria kuwa Bora zaidi ya Simba SC kwenye mchezo wa kesho, Tumejiandaa vyema kimbinu na kiakili Tutakuwa na mabadiliko nadhani ni muda wa kuwaanzisha waliokosa mechi iliyopita" -Pedro Concalves Kocha mkuu Yanga SC
