Mvumbuzi📝

54.6K posts

Mvumbuzi📝 banner
Mvumbuzi📝

Mvumbuzi📝

@Mvumbuzi_Creat

Transforming ideas into compelling stories, eye-catching designs and inspiring talks.

Tanzania Katılım Şubat 2024
2.8K Takip Edilen6.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Samehe watu katika maisha yako, hata wale ambao hawajutii matendo yao. Kushikilia hasira kunakuumiza wewe zaidi kuliko wao.
Indonesia
0
1
1
105
Mvumbuzi📝 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Aina hii ya Cargo pants ina wakaa na kuwapendeza vizuri sana watu wenye miili na wafupi 🙌
The mandevu tweet media
Filipino
3
10
46
1.6K
Mvumbuzi📝 retweetledi
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Mnamo Oktoba 13, 1972, Ndege ya Jeshi la Anga la Uruguay nambari 571, iliyokuwa imebeba abiria 45 wakiwemo wachezaji wa timu ya rugby ya Old Christians Club, ilianguka katika milima ya Andes iliyofunikwa na theluji. Uzi🧵
Mvumbuzi📝 tweet media
Indonesia
41
80
930
213.9K
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Utakutana na watu wengi katika safari yako ya maisha, lakini kuna kusudi na ukomo wa muda kwa kila mtu utakayekutana naye. Wengine Utakuwa nao kwa wiki chache tu, wengine kwa Miezi na wengine kwa miaka. Jua wakati sahihi wa kuwaachilia watu.
Filipino
0
1
6
140
Mvumbuzi📝 retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Consistency inakufanya uonekane kama huendi popote kwa muda mrefu. Wengine wanaonekana wanaruka-ruka, wanajaribu vitu vipya, wanaonekana busy. Wewe uko pale pale. Lakini baada ya muda, mstari unabadilika. Wale waliokuwa wanaruka wanachoka, wewe unaanza kuona matokeo.
IAmHaule tweet media
Indonesia
4
14
49
905
Mvumbuzi📝 retweetledi
Maisha_Halisi
Maisha_Halisi@hassanially1996·
⚠️Rafiki angu Eehh..Kila Wakati Mgumu Tulioupitia Hatukuwa Peke Etu MUNGU Alikuwa Nasi.
Indonesia
0
12
57
1.3K
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Kwa sababu kile unachoacha ndicho kitakachokuwezesha kupanda juu.
Indonesia
0
0
0
37
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Wakati wa kuweka malengo,wengi wetu tunazingatia vitu tunavyotaka kuwa navyo, bila kujali tunavyokuwa. Mwaka huu zingatia ni nani unataka kuwa mwishoni mwa mwaka. Utakavyokuwa ndiko kutakachoamua utakavyopata. Ili uwe mtu huyo,utahitaji kuachana na baadhi ya mambo.
Indonesia
1
0
0
70
Mvumbuzi📝 retweetledi
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Usidharau nguvu ya social media Mwanangu Icho ndo kitu nitakuhakikishia kitakulipa Onesha uwezo wako humu kwa hizi socials Jua jinsi gani ya kupost, kuBattle, kufanya watu wakufate au hata kuCold DM mwenyewe Haijulikani lini ila kuna siku itakuREWARD.
Indonesia
10
29
170
5.2K
Mvumbuzi📝 retweetledi
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Mgawanyiko wa Korea: Chanzo na athari zake kwa ujumla Mgawanyiko wa nchi ya Korea kuwa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini umebaki kuwa mojawapo ya athari kubwa zaidi za Vita Baridi. Zaidi ya miaka 70 baada ya mgawanyiko huo wa awali, Korea inabaki kugawanyika, huku mataifa haya mawili yakiwa na mifumo tofauti sana ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Mgawanyiko huu, ulioanza kama suluhisho la muda baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, umeleta hali ya mkwamo wa kisiasa wa muda mrefu, ukiathiri mamilioni ya Wakorea na kuathiri siasa za dunia. Uzi🧵
Mvumbuzi📝 tweet media
Indonesia
37
88
840
183.7K
Mvumbuzi📝 retweetledi
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Natuma mizigo mikoa yote kwa uaminifu mkubwa mnoo Uaminifu ni mkubwa na ndani ya muda Karibuni wapenzi😘🔥
OG OUTFITS❤️💃 tweet media
Indonesia
2
20
32
5.3K
Mvumbuzi📝 retweetledi
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Kuna wakati nilikuwa nadhani kwamba matajiri wengi walikuwa wachoyo sana, mpaka nilipojifunza ukweli. Uzi🧵
Mvumbuzi📝 tweet media
Filipino
57
82
737
139.5K
Mvumbuzi📝 retweetledi
LUSAJO
LUSAJO@sajo_mwaihabi·
Check hii clip uone moja ya Tabia za WANAFIKI katika maisha yetu Watanzania. Tuishi kwa Umakini mkubwa. Sio Kila Msaada utakaopewa ni una heri. Kuna misaada imebeba majuto mazito sana. PAMBANA, REGARDLESS THE SITUATION YOU'RE PASSING THROUGH, MWENYE MSAADA NI MUNGU PEKEE!
Filipino
3
6
10
1.4K
Mvumbuzi📝 retweetledi
Zagy G ✨
Zagy G ✨@ZagyGirl·
Hello leo saa 21:30 ntakuwa na space ambayo italenga jambo moja tu JINSI YA KUPATA FAIDA KUPITIA BETTING Welcome Ladies and Gentlemen. Together we can 🙋‍♀️
Indonesia
19
20
101
12.5K
Mvumbuzi📝 retweetledi
Kaji 🎬
Kaji 🎬@kaji_sijo·
Ukifika pale Italia kwenye milima ya Apennine kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa San Marino. Hapa kuna Ma Rais wa nchi wawili ambao huchaguliwa kila baada ya miezi sita. Nchi hii unayo iona hapo kwenye picha wana pesa yao inaitwa Sammarinese lira na Jeshi lao. Mfumo wa kuwa na ma Raisi wawili kila baada ya miezi sita ulianzishwa mwaka 1243 na unalenga kuzuia mkusanyiko wa madaraka mikononi mwa mtu mmoja kwa muda mrefu. Endelea Na Uzi ⤵️ 🧵🧵
Kaji 🎬 tweet media
Filipino
24
71
423
83.8K