



MZUVENGA 🐐
8.2K posts






Nikiwaambiaga vijana msikimbilie kuoa huwa hamunielewi. Kaka yangu @Salym kala zake bata la kutosha mamtoni,kajipanga sana kisha ndiyo anachukua jike likatulize mtima wake akiwa yupo sawa. Haya geto likuwa na TV 32" na subwoofer unataka kuoa aisee🤔🤔🤔



Unaweza usiamini, ila amini kwamba Kigoma ni kuzuri ni eneo namba 1 kwa uzuri hapa Tanzania.
