Ndege

78.3K posts

Ndege banner
Ndege

Ndege

@NdegeJr_

default 😎

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2020
3.5K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Ndege retweetledi
Tanzania Railways Corporation
RATIBA MPYA YA TRENI ZA SGR DAR ES SALAAM - MOROGORO, KUANZIA APRILI 18, 2026
Tanzania Railways Corporation tweet media
Indonesia
14
22
176
24.2K
Ndege retweetledi
Listen My Son
Listen My Son@ListenMy_Son·
Man to man
Listen My Son tweet media
English
9
206
1.6K
50.8K
Ndege retweetledi
Watu Mikeka
Watu Mikeka@Watu_Mikeka·
Saturday only | Over 0.5 & 1UP Booking Code: 6H6TNV Sportybet 🇳🇬🇹🇿 🍿
Watu Mikeka tweet media
English
2
16
33
6.4K
Ndege retweetledi
Boss
Boss@Boss_941·
Ila wanafunzi wa chuo 😂😂🙌🏽 Huyu nae kamchangamsha mlinzi👇🏽 Mlinzi: bila kitamburisho hiwezi kuingia getini Student: Hivyo ndivyo ulivyo izui elimu isiingie kichwani kwako. Mlinzi: 😢😢😢
Indonesia
38
88
987
38.8K
Ndege retweetledi
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Kuna umri ukifika utagundua Baba yako alikuwa sahihi karibia kwenye kila kitu na mengi uliyoambiwa kuhusu yeye ama kuhisi kuhusu Yeye hayakuwa sahihi, kuna umri ukifika unamwelewa Baba yako na unatamani umwombe radhi, Wanaume tunaelewa.
Filipino
41
138
1.1K
28.3K
Ndege retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa 2. TAL atatoka soon!! 3. Then watakaa mezani 4. Tume ya J.Chande itakabidhi report. 5. Report itakuwa iko balanced, Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali) 6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!! Lengo kuu ni 👇🏻 Let’s buy time till 2030!! Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!! Sasa unajua mchawi ni nani? Mchawi ni ile namba 3 pale juu 👆 Pale kwenye kukaa mezani pale ndio panaenda either kusupport au kuvuruga hii plan!!
Indonesia
111
312
2.2K
176.1K
Ndege retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Machalii wetu kibao waliuliwa Hii siku sitokaa nisahau R I P Awadhi & Antony 🙏🏻
SafariMlevi tweet media
Indonesia
43
241
1.4K
28.1K
Ndege retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Jana usiku wa manane, simu yangu iliita Simu ilitoka kwa mdada ambaye hatukuwa tumewasiliana toka 2018 Sikuwa najisikia kupokea hasa kwa kuzingatia usingizi mzito uliokuwa unanizonga. Lakini pale pale nikapokea ujumbe wa WhatsApp kutoka kwake nikalazimika kuufungua
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
23
36
485
65.5K
Ndege retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@_zolendronic·
Nimehesabu msafara wa mwenge, chuma 117 kmmq na hapo wanaenda kuzindua barabara ya km 1.78... Hii nchi kila mtu anakula kutokea upande wake
Indonesia
1
6
38
700
Ndege retweetledi
Vince™
Vince™@Blue_Footy·
Arsène Wenger with Strasbourg president Marc Keller watching the game last night. Wenger was born in Strasbourg and also played for Strasbourg in the late 70s.
Vince™ tweet media
English
15
252
5.4K
46.1K
Ndege retweetledi
Fitness Dad
Fitness Dad@Fitdaddyhq·
Before Workout
Fitness Dad tweet media
English
0
34
304
8.1K
Ndege retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kuna michongo ipo ila ina wenyewe, mtu mpya utawekewa vikwazo utatamani kulia
Mchambuzi@Baraza_Kuu

Katika kile kinachoonekana kama ushindi wa diplomasia ya kiuchumi na ubora wa bidhaa za Tanzania, nchi ya Qatar imetangaza rasmi kufungua soko la nyama ya mbuzi na kondoo kutoka Tanzania. Hatua hiyo iliyopokelewa kwa shangwe na wadau wa mifugo, imekuja baada ya nchi hiyo kujiridhisha na hatua madhubuti zilizochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kudhibiti magonjwa ya mifugo na kuimarisha viwango vya usalama wa chakula vinavyokubalika kimataifa. Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Benezeth Lutege, amethibitisha kuwa Qatar imetoa ruhusa hiyo Machi 17, 2026, baada ya kuridhishwa na ujenzi wa karantini za kisasa pamoja na kampeni kabambe ya chanjo ya mifugo nchini. Awali, soko hilo lilifungwa tangu Agosti 25 mwaka jana kutokana na hofu ya ugonjwa wa midomo na miguu, lakini jitihada za serikali kueleza ukweli wa kitaalamu na kuimarisha maabara za TVLA zimesaidia kurejesha imani ya soko hilo muhimu duniani. Kurejea kwa soko la Qatar kuna maana kubwa kiuchumi kwani nchi hiyo imekuwa ikipokea wastani wa tani 3,000 za nyama kutoka Tanzania. Kwa kuzingatia kuwa nyama ya mbuzi pekee inachangia asilimia 64.69 ya mauzo yote ya nyama nje ya nchi, kufunguliwa huku ni kichocheo kikubwa cha kuongeza mapato ya fedha za kigeni. Takwimu zinaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili mwaka jana, Tanzania ilikuwa imevuna dola za Marekani milioni 44.07 kutokana na mauzo ya nyama nje, na sasa kurejea kwa Qatar kutaongeza kasi ya kufikia malengo makubwa zaidi ya kibiashara. Kijamii na kiajira, hatua hii ni neema ya moja kwa moja kwa mfugaji wa vijijini. Kuongezeka kwa mahitaji ya nyama ya mbuzi na kondoo katika nchi 11 ambazo Tanzania inauza sasa, ikiwemo Saudi Arabia, UAE, na Vietnam, kunamaanisha kuwa bei ya mifugo itaimarika na soko litakuwa la uhakika. Hii inatoa motisha kwa vijana kuwekeza katika ufugaji wa kisasa na machinjio kufuata vigezo vya kimataifa, jambo ambalo linaendana na dira ya serikali ya kubadili sekta ya mifugo kuwa biashara yenye tija badala ya sifa pekee. Aidha, sharti la Qatar la kutaka kila mzigo uthibitishwe na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) ni fursa ya kuonyesha ulimwengu kuwa bidhaa za Tanzania ni salama na zenye ubora. Kwa kufanya hivi, serikali haitafuti tu masoko, bali inajenga chapa (brand) ya nyama ya Tanzania inayoweza kushindana na mataifa mengine makubwa. Ni wazi kuwa sasa mpira upo kwa wafugaji na wasindikaji wa nyama kuhakikisha wanatunza sifa hii ili kutanua wigo wa soko letu kote ulimwenguni.

Indonesia
21
8
246
18.9K
Ndege retweetledi
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Mwaka 2024 niliacha Kazi bila kuwa na Direction yoyote ya kupata kazi nyingine. Ukiona hapo ulipo sio sehemu sahihi kwako, ACHA. MUNGU ni wa Watu WOTE.
Filipino
5
19
221
5.1K
Ndege retweetledi
Have faith🗯
Have faith🗯@JuanHeart2016·
Can these records be broken?¿ 🤔
Have faith🗯 tweet media
English
29
175
1.7K
17.3K
Ndege retweetledi
SIR CHUCHO 🎖️
SIR CHUCHO 🎖️@SirChucho·
Cant believe Liverpool was paying Luis Diaz £55k per week 😭 Bayern bought him and gave him £290k per week
SIR CHUCHO 🎖️ tweet media
English
191
2.1K
39.6K
757.1K
Ndege retweetledi
OB
OB@CFC_OBED·
Lampard is back in the premier league with Coventry. One thing is for sure , he will make use of the fringe players at Chelsea 😂
OB tweet media
English
57
252
5K
34K
Ndege retweetledi
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Hivi Watanzania wanajua kwamba Ni nchi moja tu, inatenganisha kati ya Tanzania 🇹🇿 na South Africa 🇿🇦 Ambayo ni Mozambique 🇲🇿. Hivi Watanzania wanajua kwamba ni nchi nne hutenganisha Tanzania 🇹🇿 na Nigeria 🇳🇬 ambazo ni Congo DRC 🇨🇩, congo Brazaville🇨🇬, Gabon 🇬🇦 na Cameroon 🇨🇲.
Indonesia
10
21
399
19.8K
Ndege retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨 Harry Kane: “I'd say Michael Olise is currently the best winger in the world”.
Fabrizio Romano tweet mediaFabrizio Romano tweet media
English
1.8K
6.3K
137.5K
2.2M