Jercan

2.8K posts

Jercan banner
Jercan

Jercan

@NelsonJumbe

Things come, Change & Pass.Believe yourself, you have special thing the world wait to see from you

Katılım Ekim 2014
580 Takip Edilen280 Takipçiler
Iam Salum Ally
Iam Salum Ally@iamsalumally·
Natamani Saiv ligi ziishe Angalau nitakuwa na Furaha ya moyo
Iam Salum Ally tweet media
Filipino
8
3
38
2.1K
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@Roma_Mkatoliki Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama ww ile wasiniteke hahahaha
Filipino
0
0
0
145
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
I,m At A Point In Life, If You Understand Me Or Not ME I’M OK 🥂
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
English
48
29
1.2K
46.4K
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@McinikaWaLamar Mdada mmoja wanamwita Rub nadhani alitokaga pale THT daahhhhhh aloo
Eesti
0
0
1
151
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Alikiba kwenye kupiga Live band performance yupo vizuri sana, Msaani gani mwingine unamkubali akiimba nyimbo zake kwa Live band?
Filipino
94
33
585
70.6K
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@masoudkipanya Bila hivyo CAG atakosa kazi acha mkaguzi fanye kazi yake
HT
0
0
0
85
Jercan retweetledi
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Ukitaka kumjua mtu anayestahiki kuishi ndani ya moyo wako, basi angalia ni nani anayekufanya uyaone maisha kuwa ni mazuri, licha ya ugumu wake." ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Indonesia
21
178
693
22.9K
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@CloudsMediaLive Uchawi kweli upo hahahaha Simba Benchika ndyo hii ya Mgunda hapana hahahaha
Filipino
0
0
0
222
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Simba Sac chini ya Juma Mgunda wamecheza mechi nne amekusanya alama 10 bila kupoteza mechi FT AZAM 0-3 SIMBA ⚽️ Sadio ⚽️ Ngoma ⚽️ Duchu Mashabiki mnasemaje , Mgunda apewe timu______?
Clouds Media tweet media
Indonesia
70
21
1.1K
52.2K
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@eastafricatv Walijua Simba bila KIBU DE ni mseleleko hahahahahaha
Filipino
0
0
0
139
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
Single Mama; Hawanaga time ya kupoteza wako busy na familia kwanza then maokoto, kuhusu mapenzi badayeee, ukitaka upendwe unavyotaka na single mama usiwe na haraka utakuja kunishukuru.#SiyokwaUbaya✍️
Jercan tweet media
Indonesia
0
0
0
40
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
POMBE;⛔ hufika kwenye ubongo ndani ya dk 3 na huanza kuathiri ubongo ndani ya dk 10. Baada ya dk 20 Ini huanza kusindika pombe, ini linaweza kubadilisha aunsi 1 ya pombe kila saa. Kiwango cha pombe ktk damu cha kawaida 0.08, pombe hukaa kwnenye mkojo saa 80. 🔞
Jercan tweet media
Indonesia
0
0
0
41
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
Jumapili ya Mei 11, 1980, Tanzania ilipompoteza waziri wake, Hussein Shekilango, katika ajali ya ndege iliyotokea Arusha. miaka 44 imepita tangu Shekilango afariki ambaye jina lake la barabara maarufu ya Shekilango iliyopo Sinza, Dar es Salaam, lilitajwa kwa heshima yake.
Jercan tweet mediaJercan tweet media
Indonesia
0
0
0
47
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
Kenya ; Madaktari wa hospitali za umma nchini Kenya Jumatano walitia saini makubaliano ya kurejea kazini na serikali yaliyonuiwa kusitisha mgomo ulioanza katikati ya mwezi Machi, maafisa wa muungano na serikali walisema.
Jercan tweet media
Indonesia
0
0
0
38
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@iamsalumally Mwanaume huwa halii kirahisi ukibahatika kuina chozi la mwanaume katika mazingira yoyote, jipge kifua maana siku zote shujaa huwanza kubeba thamani ya wengine kabla ya thamani yake.
Indonesia
0
0
0
6
Iam Salum Ally
Iam Salum Ally@iamsalumally·
Naomba Retweet 50 hapo kwenye pinned post yangu Retweet yako ya dhahabu ✊🏾
Iam Salum Ally tweet media
Filipino
2
6
16
703
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@HKigwangalla Kaka WA mbugani mbona unajihami sana daahh nimecheka sana ila kaka Hamis bana hahahaha
Filipino
0
0
0
69
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Umetumia akili kubwa sana kutonitaja maana ningekufungulia kesi ili huu uwongo na mzaha wa kulihusisha jina langu na mambo ya zinaa ukome! Uzuri, bungeni huwa kuna hansards, na zipo online, tafuteni kumbukumbu rasmi muone.
Filipino
383
42
906
220.1K
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
Ukraine imewakamata maafisa wawili katika shirika linalohusika na kuwalinda viongozi wakuu wa serikali na kuwashutumu kwa kuendeleza njama ya kumuua Rais Volodymyr Zelensky na maafisa wengine wakuu wa Ukraine.
Jercan tweet media
Indonesia
0
0
0
38
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
Vita ziko za aina nyingi ukiacha vita ya mstuni na navita zingine. Wakati unapambana na vita ya kujikwamua kiuchumi kuna mtu anapigana vita kumpenda mtoto wa mtu ambaye pia alishamwambia hampendi lakin Bado anamfatilia, Endelea na vita yako.#SiyoKwaUbaya✍️
Jercan tweet media
Indonesia
0
0
1
33
Jercan
Jercan@NelsonJumbe·
@George_Ambangil Piga kelele weweeee lakin tunajua EPL na timu lako chali Sasa umekuwa semaji la timu za majirn zako hahahaha gadiola George kipara
Filipino
0
0
0
7
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Natoa angalizo tangu jana usiku mpaka leo asubuhi nimetagiwa sehemu kibao za spana na utani .... wote mashahidi ( sijatukana , sijaita mtu jina la ovyo wala sijajibu kwa dhaharau ) . So ikija zamu yenu naomba behave , msitokwe damu wala kujaa upepo . Same energy au sio 😀😀😀
Indonesia
338
123
2.2K
89.5K