matano ngasa retweetledi
matano ngasa
9.1K posts

matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi

Tundu A.M Lissu akiwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini, leo ametimiza siku 262 tangu kukamatwa, kushtakiwa na kutupwa gerezani. Akiwa katika kuta za gereza la Ukonga na korido za Mahakama amechaguliwa kuwa Executive Vice Chairman of the (IDU) International Democracy Union – a global alliance of center-right political parties na leo jina lake limependekezwa katika orodha ya Tuzo ya Amani ya Nobel (Nobel Peace Prize), the most prestigious prize in the world kwa mwaka 2026. Tuzo ambayo imekuwa ikitolewa tangu mwaka 1901 (miaka 124 iliyopita). Lakini walioshiriki kumtunza gerezani, hawaongozi kwa amani na utulivu hata baada ya kujimegea ushindi wa kishindo wa 98% na kura milioni 32. Wamechukua title, wametuachia respect. ✊🏾


Filipino
matano ngasa retweetledi

She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.
Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her abroad instead of appearing herself, fearing to meet the same fate she imposed on Tanzanian youth.
Justice is coming, and when it does, everyone who chose to remain silent during our suffering should remain silent then as well. Hatutaki unafki…….

English
matano ngasa retweetledi

Mpaka sasa bado hatujui Mafwele na Msaidizi wake George Bagyemu wamekupeleka wapi ila tunamuomba Mungu wa Haki aendelee kukulinda huko uliko.
REPOST 200
#FreeNicodemusLoyore
#FreeNicodemusLoyore
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia
matano ngasa retweetledi

MKAKATI WA IDD AMIN MAMA KUITUMIA TUME YA JAJI OTHMAN CHANDE KUIFUTIA USAJILI CHADEMA.
Tumepewa taarifa kwamba Nduli Idd Amin Mama anataka kuitumia Tume ya Jaji Othman Chande kuifutia usajili CHADEMA.
Iko hivi kama mmemskia Mwigulu Nchemba hivi karibu amekuwa akisema kwamba kuna Chama kitafutwa, haikuwa kauli ya bahati mbaya, huo ndo mkakati wao maana wanajua CHADEMA ni tishio kwao so wanaiogopa CHADEMA kama ukoma ndo maana kila siku wanahangaika nayo.
Sasa baada ya Maandamano ya Oktoba 29 na Serikali haram ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi. Nduli Idd Amin Mama alimuagiza msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi aifutie usajili CHADEMA kwasababu anadai ndo iliyoratibu Maandamano, Jaji Mutungi alikataa na kusema italeta shida zaidi maana nchi bado haijapoa.
Baada ya Jaji Mutungi kukataa sasa Idd Amin Mama ameiagiza Tume ya Jaji Othuman Chande kwamba ifanye kila linalowezekana kwenye report yake iseme kwamba CHADEMA ndo chanzo cha Maandamano ya Oktoba 29 na akili yake ilivo ndogo ameiambia Tume lawama zote za mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu kumi zielekezwe kwa CHADEMA.
Ndio maana sasa hivi kuna Viongozi wengi wa CHADEMA wanakamatwa na kubambikwa kesi za Uhaini na Ugaidi na wengine wamepigwa sana na kulazimishwa wakubali makosa ambayo hawajatenda.
Mfano ukienda Bunda walimkamata aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa Yohana Kaunya walimtesa sana kumvunja miguu yote miwili wakimlazimisha asema kwamba yeye ni Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa cheo ambacho hana lakin pia wakat wanamtesa walimlazimisha akubali kwamba yeye ndo aliteuliwa na Kamati Kuu ya CHADEMA kuratibu Maandamano ya Oktoba 29, Nchi mzima na kwamba yeye ndo alileta watu kutoka nchi jirani, wakamlazimisha aweke sahihi kwenye maelezo ya uwongo kwasasa Kaunya yupo Gerezani Bunda kapewa kesi ya Uhaini lakin hawezi kutembea na hakuna mtu yoyote ambae anaruhusiwa kumuona.
Ukiachana na Kaunya kuna Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kigoma Mzee Rajab Bujoro na Mwenyekiti wa CHADEMA Kasulu wamepewa kesi ya Ugaidi hawa nao waliteswa sana wakilazimishwa wakubali kwamba walipanga njama za kuingiza silaha kutoka nchi jirani.
Hao ni baadhi tu lakin kuna Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kutoka kila kona ya nchi ambao wameteswa na kuumizwa sana wakilazimishwa kukubali makosa ambayo hawajatenda.
Sasa kwenye kikao chao haram wamekubaliana kwamba Tume ya Othman Chande itapita kwa maRPC wote nchini na watapewa nakala za maelezo ya mchongo ambazo zinaonyesha baadhi ya Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wamekiri kuhusika na Maandamano ya Oktoba 29 ili wapate justification ya kuiangushia lawama zote CHADEMA then Tume itapendekeza CHADEMA ifutwe kwasababu inahatarisha Amani ya nchi.
Halafu kwasababu tayari Mutungi ameomba kikombe hiki kimuepuka, Nduli Idd Amin Mama amepanga kuteua Msajili Mpya wa Vyama vya Siasa na huyo mtu ambae atamteua kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuifutia usajili CHADEMA.
Waliopo nyumba ya Mkakati huu ukimtoa Nduli Idd Amin Mama wengine Mzee Kikwete, Mwigulu Nchemba, Abdul mtoto wa Idd Amin Mama pamoja na baadhi ya Maofisa kutoka Vyombo vya ulinzi na usalama.

Indonesia
matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi

WANANCHI WAKIWA WAMEZUNGUKA SOKO LA DHAHABU CHUNYA WAKITAKA KUWAGEUZA POLISI WEZI KITOWEO
Tukio la kutaka kutapeli lilitokea tarehe 19 mchana kata ya Matundasi wilaya chunya
Matapeli Walisema wao ni Task force mmoja ametoka office ya RPC na mmoja katoka ofisi ya OCD
Alietoka ofisi ya RPC anaitwa afande Bwile na alietoka ofisi ya ocd anaitwa afande Abuu
Na huyo bwile alikua na kesi ya kuvusha wahamiaji haramu wasomali kituo chake cha kazi ni Uyole Ila kwa Sasa yuko mkoani kikazi Chunya alikuja kutapeli kwakua alishafanya kazi hapo miaka ya nyuma.
Baada ya wauza dhahabu kuwashtukia waliwapigia kelele za wezi na kuwaweka chini ya ulinzi mkali wauza dhahabu wanye silaha walipiga chuma juu ishara ya Kwamba mkikimbia tunawatoa ubongo, wananchi waliposikia kuna polisi wanataka kutapeli waliitana haraka ndani ya dakika 5 watu walijaa na kulizunguja soko hilo wakitaka kuwageuza Polisi hao kitoweo.
Baada ya hali hiyo polisi wenzao waliposikia kuna wenzao wanataka kushambuliwa haraka walifika eneo la Soko na silaha na kuwataka wananchi wasiingie ndani kupiga wezi hao.
Haikuwa kazi rahisi ilibidi askari watoke mkoani kwenda kutoa msaada, walioenda kutoa msaada na kuwachukua hao polisi matapeli ni mkuu wa upelelezi anaitwa Ngonyani na Mwinyine ni mpelelezi anaitwa Samweli.
Bwana KUZAGA RPC wa Mbeya tunataka kujua wale Polisi matapeli walioenda kutapeli soko la dhahabu Matundasi Chunya mmewapeleka wapi? Tunataka wapelekwe mahakamani haraka iwezekanavyo, haiwezekani mkawa mnakamata wezi wa kuku na kuua waandamaji Ila majambazi ndani ya jeshi la polisi mkawalinda, IGP toka ofisini nenda Chunya ukashuhudie uhuni wa Polisi wako.
HEBU WATAGG JESHI LA POLISI HAPO CHINI.
Indonesia
matano ngasa retweetledi

POLISI HAMSEMI CHOCHOTE MNATAKA TUSAHAU!?
Tangu Jeshi la Polisi limemkamata Nicodemus Julius Loyore tarehe 19 akiwa ofisini kwake, maeneo ya Mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR, mpaka leo ndugu zake wanamtafuta ndugu yao vituoni bila mafanikio.
Polisi ni vyema mkajua MTU mwenye makosa anatakiwa kupelekwa mahakamani na ndugu zao wana haki ya kujua ili wampe mahitaji muhimu, pia kukosoa Serikali sio kosa mpelekeni Loyore mahakamani.
Nchi hii Report ya CAG kila mwaka inasema viongozi wa Serikali wanaiba mabillion ya fedha Ila hawakamatwi nyie mpo busy kuangaika na wananchi.

Indonesia
matano ngasa retweetledi

✊🏽🇹🇿 #D25 is the date. Peaceful protest to demand accountability, justice and #SamiaMustGo
🇹🇿 Gen-Z, tukutane December 25th. #MD25 #RudiTanganyika
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre

English
matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi
matano ngasa retweetledi

Wale waruka MAKACHU wa Zanzibar waliruka hadi MAKACHU ya kumkaribisha SPEED AFRICA wakiamini atakuja na Tanzania.
List ya mataifa atakayotembelea SPEED kwa siku 28 imetoka na TANZANIA HAIPO.
VIJANA WA MAKACHU PUNGUZENI SHOBO—NDUGU YENU KAUWA WATANGANYIKA ZAIDI YA ELFU KUMI AFU ANATAKA WATALII WE ULIONA WAPI?
Indonesia
matano ngasa retweetledi

"Samia watu wamekufa, watu wametekwa wala hushughuliki kwakuwa watoto wako wapo salama" Huyu BIBI Mungu amsamehe DHAMBI zake zote #MsiogopeTutashinda #D25
Filipino
matano ngasa retweetledi

UTEKEKAJI ndio umelifikisha hapa taifa.
Na kiongozi wa genge la watekaji MAFWELE yupo ofisini anaogopwa hadi na boss wake. Mimi ni muhanga wa UTEKAJI unaofanywa na MAFWELE bahati nzuri kwangu MBAYA KWA MAFWELE nilipona uovu wake.
Familia kwa MAELFU zinalia zimekosa miili ya wapendwa wao kwaajili ya kuzika baada ya MAUWAJI ya watanzania mliyofanya nyie WAKOLONI WEUSI nchi ikiwa gizani. Aliechafua nchi hapo ni nani kama sio nyie wauwaji?
Hili taifa limefikishwa hapa kwa kauli mbovu za viongozi kila siku majukwaani. Mnaamini nyie ni miungu watu na hakuna kitu mnaweza kufanywa chini ya jua.
Watanzania wa leo sio wale, na huu ni mwanzo tuu wa kuiona chuki iliyopo vifuani mwetu.
TUTAKUWEPO🫵😎

Indonesia
matano ngasa retweetledi

Mwl Nyerere alipata kusema:
Hauwezi kutatua matatizo ya Nchi kwa kujidanganya kama hayapo.
Mmeua watu, mmetesa, kubaka, kuteka na kupoteza..
Mmeiba uchaguzi na kufanya dhuluma kubwa kwa Watanzania..
Kujidanganya kwamba haya mnaweza kuyaondoa kwa vitisho, kupaaza sauti, kuongea kwa ukali na kuwambia wanaodai haki ya kura kuheshimika, wanaotaka kukomeshwa kwa utekaji, kukomesha ufisadi. Kwamba wanatumiwa na Mabeberu au wanalipwa kudai haya.
Kuendelea kukamata watu, kutisha watu, kuumiza watu bila kufuata sheria… mnawafundisha wananchi kutokufuata sheria pia, mnawafundisha na kuwaondoa hofu ya kutii watu waovu…
Mda sio mrefu mtatafuta sehemu ya kukimbilia, Watanzania hawa wa sasa sio wajinga.. wanatumia internet kuona dunia nyingine watu wanavyoishi.. wanajua mnavyoishi kwa anasa kwa jasho lao…
Mnachochea moto wenyewe.
Indonesia
matano ngasa retweetledi

Ndio hivyo Mkurugenzi! Jamaa mpuuzi sana
Wa Kiume huwa tunasitiriana kimya kimya, ila huyu anatangaza kumsaidia Sugu wakati Gari yake ya kwanza kumbe alipewa na Sugu!
Haya alipe wafanyakazi wake Salary basi, Aache nyege za kuku 😎
SATIVA@Sativa255
"Unaowagongoza ni mademu zetu wengine ni DADA ZETU" 🫡 #MISUMARIYAUTOSIYAWAKAZI
Indonesia



