
Nicolas J. Clinton Gabone
1.5K posts

Nicolas J. Clinton Gabone
@Nicolasgabone
Former National Youth Leader, NCCR-Mageuzi | Political Strategist | Public Figure | Governance, Infrastructure & Geopolitics Analyst.




Wamemaliza kusoma ripoti yao, raia waachiwe wateme nyongo na kupeana miongozo maana Tanganyika ni yetu. Ni umoja wetu kwenye kupambana na hawa wauaji ndio unaowatisha. Utaratibu ni ule ule, NAOMBA pita kwenye post zote za wapambanaji weka ♥️♥️♥️ mwaga ♥️♥️♥️ waendelee kuumia✌🏿





Kongole Bandari ya Dar es Salaam Serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu inastahili pongezi, huku Watanzania wakipaswa kujifunza jambo kutokana na wale waliokuwa wakipinga ushirikishwaji wa sekta binafsi katika kuendesha bandari nchini.

Kongole Bandari ya Dar es Salaam Serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu inastahili pongezi, huku Watanzania wakipaswa kujifunza jambo kutokana na wale waliokuwa wakipinga ushirikishwaji wa sekta binafsi katika kuendesha bandari nchini.





Nchi yenye barabara kilomita 181,000 inapiga kelele na kurukaruka kwa kuweka “lami” kilomita 16,000, sawa na asilimia 8% ya mtandao wote wa barabara tena kwa miaka 64 ya uhuru. Pumbavu kabisa!! Watu wanarusha vyombo anga za mbali sisi tunashangilia upumbavu wa bare minimum.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya vijana Nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27, akieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuweka msingi imara wa taasisi maalum ya kifedha itakayowawezesha Vijana kupata mitaji kwa urahisi. “Dhamira ya Serikali ni kuweka msingi wa mfumo wa kifedha unaoendana na mazingira na uwezo wa vijana wengi, hususan wale wanaoanza shughuli za kiuchumi, ili kuondoa vikwazo vilivyopo katika upatikanaji wa mitaji. Benki ya Vijana, itakayoanzishwa, itakuwa chombo muhimu cha kimkakati kitakachowezesha upatikanaji wa huduma za kifedha zilizo rafiki kwa vijana, kuchochea ubunifu wa bidhaa za kifedha zinazolingana na mahitaji yao, kupanua wigo wa uwekezaji wa vijana, na hatimaye kuongeza ajira na mchango wa vijana katika kukuza uchumi shindani na jumuishi wa Taifa,” Mhe. Nanauka - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana. #MillardAyoUPDATES







