Sabitlenmiş Tweet
Njiku Jr🌻🇹🇿!
15.3K posts

Njiku Jr🌻🇹🇿!
@Njiku_Jr17
Laboratory technician🔬(SUA), metrology and standadisation ⚖️ (CBE), Follower of Jesus ✝️, I serve with life ministry (Cru) @simbatanzania @Barcelona @Arsenal⚽️
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2017
1.6K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Njiku Jr🌻🇹🇿! retweetledi
Njiku Jr🌻🇹🇿! retweetledi
Njiku Jr🌻🇹🇿! retweetledi
Njiku Jr🌻🇹🇿! retweetledi

@GilbertPaul095 Nilijua tu jinsi Ahmedy Ally alivyokua anamsifu kama mchezaji wake vile😀
Indonesia

@CrownMediaTZ Kwanini hakupendekeza kipindi amekuja aje afanye hivyo sasa😁 maji yamefika shingoni
Indonesia

“Tumemrejesha Moalin kwenye benchi la ufundi, kutokana na ripoti ya Kocha mwenyewe, kutokana na ripoti ya mwalimu baada ya mechi 16, tumevuna alama 38 tumepoteza point 10”
“Baada ya majadiliano, maeneo yenye changamoto ni mechi za ugenini kutokana na viwanja, katika vitu ambavyo kocha Pedro Goncalves alivyoomba ni kuongezewa mtu mwenye uzoefu na Ligi Kuu Tanzania Bara”
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #tupomwakawambele

Indonesia

@WorldSports14_ Naomba mtu mwenye picha ya engineer akiwa uganda na wonder kid wa Uganda, msisahau ile akiwa na Musa Bala Konte😀
Filipino

@TruthWatchDogTZ Kibabage hana tatizo hajachora logo ya simba ila kachora simba mnyama kama vile hermonize alivyochora tembo mgongoni mwake kwani amekua shabiki wa tembo worries? Hapana!
Filipino



























