CHILDREN can become anything. They can become something or nothing.
They can achieve way above what you ever imagined or fall way below what you never expected, regardless of your contribution.
When you look at your young son, you see an engineer?
Correct, He will be an engineer, but again, he may become your local market bangi peddler.
That's the truth.
Whoever said your parent is the only person who honestly wishes you succeed and surpass the levels they attained was right.
The other ninjas want you to fail successfully, only that they don't say.
Every parent is so concerned about becomes of thier children and most invest their everything towards this goal.
We are of a diverse background and a heterogeneous convictions and beliefs.
And as much you think cigarettes smoking is the weirdest evil a human being can engage in, someone else thinks otherwise.
What’s good for you must not be good for him.
Obama smoked bangi in his teenage and again he was a chain smoker. He became the president of the USA.
Mandela was a smoker is a revered icon of freedom.
You do not smoke anything, and you are so good but you can't match these two gentlemen in their achievements.
Can you?
Obama's daughter may as well then out to be something bigger than your daughter who doesn't smoke anything.
Will a photo of your daughter smoking please you?
Of course it won't, but again that's her. What's good for you isn't what's good for her!
Her life, her choice.
Maybe you expected so much from her, but she doesn't share a dream with you.
She isn't struggling to be her father.
Learn to live with the reality that your expectations are just that, EXPECTATIONS!
Good Evening my fellow Hoof-Eaters
@HKigwangalla Unaonaje Tukikuandalia Mdahalo Hapa Space Kati Yako Na Lissu
Mada Iwe Huu Mgogoro Wa Loliondo
Alafu Sisi Wasikilizaji Tutaamua Nani Wa Kumpuuza
Maana Kusema Tumpuuze Lissu Wewe Ndo Unajua Sana Mambo Ya loliondo Bila Kuwasikiliza Wote Utakua Hujatenda Haki
Unaonaje? Uko Tayari
Suala la Loliondo na lile la Ngorongoro ni mambo magumu kwenye Taifa letu, yanahitaji akili kubwa sana, uelewa mpana, utulivu, unyenyekevu, ubunifu na uvumilivu kabla ya kuyazungumzia achilia mbali kuyatatua.
Niliwahi kuandika makala miaka ya nyuma hapo, nimeiweka hapa Twitter, ukipenda kuelewa zaidi unaweza kuisoma. Mhe. Tundu Lissu haujui vizuri mgogoro wa Loliondo na hatosaidia chochote kutoa suluhu. Wana Loliondo mpuuzeni tu! #HK#Fighter#NjeYaBox#MzeeWaField#PoriKwaPori
Mtoto wa Askari aliyezaliwa Tanga akakulia Dar, akasoma Swila Sec na Lutheran Junior Seminary. Chuo akataka kwenda Harvard ila akaishia SUA. Akasoma Vitabu vingi na biblia akaokoka na akawa Mchungaji. Kwa sasa Pastor Tony Kapola anasikilizwa sana na watu na leo ni birthday yake.
@OleMtetezi Katika Mauzo yoooote hayo Wanaweza kutoa Faida kwa Wananchi ilo Tujue?
Wananchi Kuizwa tayari kwa Kuambiwa Ni Haki za Binaadamu kuhusu Us3ng3.
Awamu Ya 2 Waliuza Mbuga Za Wanyama
Awamu Ya 3 Waliuza Madini
Awamu Ya 4 Wakauza Gesi
Awamu Ya Sasa Wanauza Bandari
Kuna Awamu Itafika Watakosa Cha Kuuza, Hivyo Tutauzwa Wananchi!
Sikuhizi watu wazuri wale waaminifu hawatakiwi kila sehemu, makanisani mtaani hata maofisini wakiona umenyoka hupitishi madili yao umekua kikwazo kwao, wanakupangia mikakati ya kukutoa hapo watakusingizia maneno hata kutoa roho yako ili mradi uwapishe tu☹️
@IAMartin_@mhabukat@Nnauye_Nape Nchi Hii 90% ya Watu wanaokufanyia wana Uchungu na Uzalendo kwa Wananchi wao ni Waongo.
Nje huoneka wenzetu lkn ndani ya mioyo na akili zao Ni 💀.
Ni vigumu Sana kumwamini Kiongozi kwasasa.
. @Nnauye_Nape Machi 23, 2017 unatoa mlio. Umejisahau haraka sana miaka 6 baadae. Ulisema vijana wa nchi hii hatupaswi kuogopa wahuni wanaolipwa mishahara kwa fedha za kodi zetu. Leo umepata wapi haki ya kututishia sisi ambao hatumkubali Rais? Umepata wapi hiyo haki? NYAMAZA
Kwaiyo Nilipe Kodi Ya Nyumba, Nilipe Ada Ya Watoto, Ninunue Chakula, Nilipie Umeme, Maji Na Vingamuzi, Niache Kodi Ya Meza Kila Siku, Nimlipe Dada Wa Kazi, Nikupe Hela Ya Kusuka, Nikununulie Nguo Na Bado Unataka Nikulipe Mshahara? Wanawake MMELOGWA?
@Balyx_@Kanenamagufa Kabisa. Watu wanaotumia Akili ilo Kujaza Matumbo Ni Tofauti na Watu wanaotumia Tumbo Kujaza Akili.
Akili Inatakiwa kuwa Na Njaa na Kiu Ya Kutafuta Solution. Akili za Hawa wa TZ Hazina Kiu Wala Njaa ya Kumaliza Changamoto Bali Zina Njaa ya Kujaza Utumbo Mpana Zaidi.
Ney wa Mitego anasema
"Ukishika viongozi hawa wa Tanzania ukawapeleka Marekani na wale ukawaleta Tanzania, baada ya miaka 5 Marekani itaomba msaada Tanzania"
@TanzaniaLeaks Mara nyingi Sana watu huvaa Nguo ili (Uchi), Maungo Yao yasionekane. Lkn Mara zote Mioyo na Akili zao Zipo Uchi. Utawatambua Aidha kwa Maneno Yao au ht kwa Kukaa kwao Kimya.
Zitto Kabwe, jana umethibitisha ile kasumba ya kwamba wewe ni mamluki, mbaguzi na mdini. Umejipambanua bila aibu kwamba ni mchumia tumbo na mamluki ndani ya Upinzani. Jitokeze tukusikie. Wana CCM wengi sana tunapinga hili la DP World. Inakuwaje wewe ACT unaungana na DP world?
@mshambuliaji Yaani huwezi kuificha Spirits lolote
Unavyokazana kushuoaza shingoNdivyo unavyo jionyesha umetumwa na upo Kikazi Kulipia Gharama za vile ulivyolipwa na Wakoloni.
Shame
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndugu MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) akizungumza na waandishi wa habari kuonesha msimamo wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM kuwa unaunga mkono hoja ya Uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Mkutano huo umefanyika kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam.
#KitengeUpdates
@makayeharuni@berryk_outfits We Unajua viti gani vya maana zaidi ya kukatazwa na Mkoloni usioe wake ambao Utaweza kuwatosheleza badala Yake uwe Unapiga punyeto? Akili mbovu. Nenda kapangiwe na Mkoloni wachana na Mimi wewe mtumwa.
Sijui kuandika km WW Ila Nina akili kuliko wewe mtumwa. Kwendaa 😡😡
@Nkasafari@berryk_outfits Huwezi jua vitu vya maana kama kuandika tu kunakushinda, ni ishara hata kusoma hujui, sasa utawezaje kufahamu vitu?, Binadamu mwenye akili anawezaje tamka eti 'Mbona Ng'ombe'?, Sasa huyo si Ng'ombe ndiyo maana anajifananisha nao!
@makayeharuni@berryk_outfits Ww ni mpumbavu. Kuna mahala nimejifananisha na Ng'ombe au Ng'ombe amekuzidi wewe Akili kwa Kufuata Asili kuliko wewe coppy & paste toka kwa bwana wako?
Ww nenda kale Mwili na damu ya bwana wako km vampire. Mwanaume kujiita Bibi Harusi wa bwana ndio Upungufu wako wa akili. Bye
@makayeharuni@berryk_outfits Watu Kama wewe waliyokaririsjwa Uzungu na Imani za Kigeni kubishana nao Ni sawa na mimi Kunitukana mwenyewe. Sina muda mchafu wa watu Wenye Akili vhafu za Kitumwa.
@Nkasafari@berryk_outfits Sina Baba amewahi oa Wanawake wanne au zaidi ya mmoja sina kwenye ukoo wangu, kuoa Mke zaidi ya mmoja ni laana, halafu jifunze kuandika vizuri, Mungu hajawahi ruhusu wake wengi, ni Kazi ya shetani
@makayeharuni@berryk_outfits Na anaeoa wake Wanne Hana akili? Na Babu yako au wale Ancestors wako waliyokuwa na Wake 6 hawana akili au WW ambae unapanguwa watt wa kuzaa na same wa kulala nao ndio huna akiki6?
Pole kwa Utumwa 😝😝
@Nkasafari@berryk_outfits Ng'ombe hana akili, Binadamu amepewa maarifa kuliko viumbe wote, kuwa na Mwanamke zaidi ya mmoja ni laana, Mungu alipoona Adam amekosea sababu ya Mwanamke angempa mwingine kama siyo tatizo, ila ni laana, Inatosha kuwa na Mke mmoja na Inawezekana kama hauna laana
@makayeharuni@berryk_outfits Uoikuwepo wakati wako anatoa maagizo tofauti na Yule Mungu wa wake Wanne? Umekaririshwa sinaida na mtumwa wa kukariri vya Wakoloni. Bye