No|one
2.7K posts

No|one
@No_one_tz
Being strong doesn't always require physical strength;—💉🔬





Sijui aliumbwa muda gani?? Ila ni mzuri Maashaallah ❤️



Ulikuwa kwenye mahusiano na binti wa chuo. Baada ya kuhitimu akarudi kwao mkoani lakini baadaye akapata kazi akarudi mjini. Wazazi wake wakampa pesa ya kupanga nyumba na kununua mahitaji ya kuanzia maisha Alipofika mjini wewe ukamshawishi aishi kwako ili zile pesa azitumie kwa mambo mengine. Mkaishi pamoja kwa muda hata wa miaka miwili hivi wakawa wanamtumia na Kodi etc lakini akaumwa sivyo bahati akafariki Sasa wazazi na ndugu zake wakaja kuchukua mwili na vitu vya mtoto wao, Wewe unawaambia alikuwa anaishi kwako na vitu vya ndani ni vyako lakini wao wanakataa wanasema vitu alinunua kwa pesa walizompa wao Swali langu ni: katika Hali kama hiyo wewe utafanya maamzi Gani?















