Nsc_bmt

488 posts

Nsc_bmt

Nsc_bmt

@Nsc_bmt

Official Twitter page of National Sports Council of Tanzania (NSC).

MKAPA STADIUM - DAR-ES-SALAAM Katılım Ağustos 2023
93 Takip Edilen24 Takipçiler
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
Katibu Mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha akieleza jambo kuhusu tuzo za Baraza 2024 leo Mei 20, 2025 katika mkutano na Waandishi wa habari kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo Prof. Mkumbukwa M.Mtambo, tukio lililofanyika katika hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam.
Nsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
52
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
#Matokeo ya Uchaguzi wa viongozi wa chama cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu (TAFF).
Nsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
78
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
#Uchaguzi wa Viongozi wa TAFF Wagombea wa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa watu wenye Ulemavu wakijinadi kwa wapiga kura katika uchaguzi wa TAFF unaofanyika leo Mei 18, 2025 katika ukumbi wa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.
Nsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
23
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
Matokeo ya usaili wa wagombea uongozi wa chama cha mpira wa miguu kwa Watu wenye Ulemavu Tanzania (TAFF)
Nsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
11
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
#Usaili wa wagombea nafasi za uongozi chama cha mchezo wa mpira wa miguu kwa Watu wenye Ulemavu (TAFF) umemalizika leo tarehe 17 Mei, 2025 katika wa uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, uchaguzi wa chama hicho unatarajiwa kufanyika tarehe 18 Mei, 2025 uwanja wa Mkapa.
Nsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
17
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
#Usaili wa wagombea wa nafasi za uongozi wa chama cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu (TAFF) unaendelea uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2025
Nsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
18
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
#Andiko Utafiti kuhusu ushiriki wa watanzania katika michezo na mazoezi ya viungo
Nsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
15
Nsc_bmt
Nsc_bmt@Nsc_bmt·
Katibu mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha amepokea taarifa ya kukamilika kwa utafiti juu ya ushiriki wa michezo na mazoezi ya viungo nchini Tanzania kutoka kwa Tomoya Shiraishi Mtaalam mshauri wa Michezo kutoka nchini Japani ambaye anafanya kazi BMT, Mei 15, 2025.
Nsc_bmt tweet mediaNsc_bmt tweet media
Indonesia
0
0
0
21