Obrieli Aliko

113.5K posts

Obrieli Aliko banner
Obrieli Aliko

Obrieli Aliko

@OAliko15511

Katılım Mayıs 2024
434 Takip Edilen517 Takipçiler
Obrieli Aliko retweetledi
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
Huyu ndiye rafiki yake Buyobe
Hilda Newton@HildaNewton21

‼️HUYU NDO THOBIAS MWESIGA, MUUAJI‼️ Mwesiga kasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya kumaliza Chuo, mwaka 2014 aliajiriwa kama afisa wa TISS kitengo cha Siasa Bungeni. Kama mtakumbuka vizuri mwaka 2019 Mwesiga alimtishia Zitto bastola ndani ya bunge, ni tukio ambalo lilizua mjadala sana kwenye mitandaoni ya kijamii, kila mtu akawa anajiuliza huyu jamaa ni nan, wengi tulimfahamu kupitia tukio hilo. Baada ya kumtishia Zitto bastola, Mwendazake Magufuli alimpandisha cheo, alimtoa Bungeni na kumpeleka Ikulu ambako walimfanya kuwa Mkuu wa Dawati la Siasa. Nduli Idd Amin Mama alivoingia tu madarakani alimteuwa Mwesiga kuwa Mkurungenzi wa TPDC April 20, 2021 baada ya watu kupiga kelele sana, akatengua uteuzi wake, Mwesiga alipotea kwenye mambo ya siasa maana baada ya uteuzi wake wa TPDS kutenguliwa, alipelekwa NEMC ambako alikuwa afisa wa kawaida. September 2024 wakati tunajiandaa kwenda kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa Nduli Idd Amin Mama akamrudisha Ikulu ambako alirudi kuwa Mkuu wa dawati la Siasa na mtu ambae alimpigia chapuo mpaka akarudishwa kwenye hiyo nafasi ni Hussein Bashe maana kipindi hicho Nduli na Bashe walikuwa damdam. Mwesiga aliporudishwa tu kwenye hiyo nafasi kazi yake ya kwanza ambayo alifanya ilikuwa ni kukamata na kutekwa vijana wengi sana na kazi yake ya pili ilikuwa kuharibu Uchaguzi wa Serika za mitaa, votongoji na vijiji ambapo alifyeka majina ya wagombea wote wa Vyama vya upinzani ili maccm yapite bila kupigwa kwenye Uchaguzi wa Novemba 27, 2024. Baada ya kuharibu Uchaguzi wa mitaa aliendelea kuteka na kupoteza watu ambapo alimeka @mdudenyagali Aman Manengelo, Mbeshi Paul, Juma Kaswahili n.k Mwesiga ndo aliyempa maelekezo Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi ili aseme hawatambui Viongozi wetu ambao Mwenyekiti Mhe. Lissu aliwateuwa na Baraza Kuu likawapitisha akiwemo Katibu Mkuu Mnyika, Manaibu na Wajumbe wa Kamati Kuu Mwesiga ndo aliyetumika kumnunua Said Issa na wenzake ili wafungua kesi Mahakamani Kuu ili kuzuia CHADEMA isifanye shughuli za kisiasa Ikumbukwe kwamba Mwesiga na Msajili wa vyama Jaji Mutungi wanatoka Kijiji kimoja ndo maana akiwa kwenye Dawati la Siasa kwa kushirikiana na msajili Mutungi waliweza kuishughulikia Chadema sana Kama mtakumbuka vizuri wakati kampeni ya #NoReformsNoElection ilivoshika kasi kila kona ya nchi, ilipofika September kuelekea Oktoba 29, Kuna vijana zaidi ya 104 kutoka Mikoa mbalimbali nchini akiwemo Mwenyekiti wetu wa Ludewa walitekwa na kupotezwa hadi leo lengo ilikuwa kutisha watu ili wasiandamane Oktoba 29, sasa Mratibu wa matukio hayo ya watu kutekwa na kupotezwa alikuwa ni huyu Mwesiga. Baada ya Oktoba 29, 2025 kupita Mwesiga aliondolewa kwenye Dawati la Siasa kwasababu kuu mbili. 1. Kwenye project ya CHAUMWA aliipiga Serikali haram ya Nduli Idd Amini Mama bilioni 15 ambazo zilikuwa kwa ajili uhamisho wa Mhe. Mbowe kutoka CHADEMA kwenda CHAUMA maana Mwesiga aliwahakikishia kwamba ameshamalizana na Mhe. Mbowe na kwamba Mbowe amekubali kuwa mgombea Urais wa CHAUMA so pesa ilipigwa na Mhe. Mbowe hakwenda CHAUMA Jambo la pili, Mwesiga alikuwa anathumiwa kwamba alikuwa akipanga safu ya Bunge kwa kurecommend kwamba Kamati Kuu ya CCM impitishe fulani kuwa mgombea au imkate. Mwesiga na baadhi ya Viongozi wandaamizi wa Serikali haram walituhumiwa kwamba walipanga safu ndani ya CCM ili waje kupitisha Spika wao, mwisho wa siku waje kumuondoa Nduli Idd Amin Mama kwa Bunge kupiga kura ya kutokuwa na Imani nae na miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa pamoja nae ni pamoja na Job Ndugai, Hussein Bashe, Dotto Biteko, Jenista Muhagama, Tulia Akson, William Lukuvi, Kassim Majaliwa n.k Kwasasa Mwesiga ni afisa wa kawaida ndani ya Mamlaka ya Kudhibiti ya kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) huko kazi yake kubwa ni kuwaomba rushwa watuhumiwa wa kesi kubwa za madawa ya kulevya kwa ahadi ya kwamba atawasaidia kuyajenga na DPP ili awafutie kesi lkn pia anafanya lobbying ili ateuliwe kuwa Mkurungenzi ili aendelee kunufaika na rushwa za wauza madawa.

Türkçe
0
7
14
873
Obrieli Aliko retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Mambo 100 wengi wasiojua kuhusu siasa za Tanzania 1. Wakati Tundu lissu anasoma Shule ya Msingi, walimu wake walimuogopa kwa msimamo wake wa kutetea haki huku akiwa mdogo na wakihisi kawekwa pale na Nyerere kuwachunguza
Tanzania Abroad TV tweet media
Filipino
48
340
3.7K
379.3K
Obrieli Aliko retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kuendelea kumfollow huyu ni usaliti mkubwa sana naona wenzetu bado mmemfollow @DavidHundeyin ?? Kwanini
Tanzania Abroad TV tweet mediaTanzania Abroad TV tweet mediaTanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
4
9
28
1.8K
Obrieli Aliko retweetledi
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
✌️✌️✌️
Vitus Nkuna tweet media
QME
0
16
84
755
Obrieli Aliko retweetledi
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Rais wa Iran Pezeshkian atoa amri ya kufungua tena intaneti baada ya kufungwa kwa siku 87. Hebu fikria kukaa hata mwezi tu bila kuwa na mitandao ya kijamii wala access yoyote ya mtandao Hawa watu wamenapitia wakati mgumu kinoma
Vunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
2
9
10
212
Obrieli Aliko retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ndugu yetu DJUMBE alitekwa na JESHI LA POLISI hilo halina mjadala. Leo MURILO ameitisha press kukamata wachina wanne kuhusika na UTEKAJI-wachina hao kati ya wawili walikuwa na PINGU SAWA na zile alizokutwa nazo ndugu yetu DJUMBE. Tukiuliza nani anatakiwa kumiliki PINGU kihalali ndani ya nchi yetu hatupewi majibu wanatuambia “WANACHUNGUZA”. Hawa wapumbavu kama utaamua kuwaamini wewe waamini ila HAWA NI WATEKAJI namba moja kubali kataa.
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Filipino
10
94
540
21.5K
Obrieli Aliko retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mtu kajiapisha kambi ya jeshi huku maelfu walikuwa wanauwawa na majeruhi kupelekwa mortuary! Huu ndo uhaini! Amewekwa kwa nguvu ya dola - hata kura milioni moja hajapata! Msitutishe! Mchutame! Mtawajibika! Illegitimate president committed electoral coup! #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
6
49
167
5.6K
Obrieli Aliko retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
CHALAMILA anakichwa kibovu sana, ameongea nini sasa? Mafwele ni mtekaji tena aliyekubuu Mafwele mwenyewe amewai piga mkwara watu kwamba atawapoteza na kutoa mifano ya aliopoteza, Kuna audio ya Mafwele akiongea kuhusu utekaji mpaka wanajeshi wamewateka. Vikosi vya utekaji vyote viko chini ya RCO na wanachukua command kwa mafwele na mkuu wa utekaji ni kabazu msitufanye wajinga, aliyemteka Jumbe ni Sumai akiwa ametumwa na Abdul
The Chanzo@TheChanzo

Chalamila Amkingia Kifua Mafwele Kuhusishwa na Utekaji: "Mambo Yote ya Kiuchunguzi Yapo Kwenye Dawati Lake" Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abert Chalamila ameasa jamii kutokuja na majibu masuala magumu yanapotokea kama mauaji, utekaji, badala yake kutoa nafasi kwa vyombo vya uchunguzi kuweza kutoa majibu sahihi. Katika maelezo yake Chalamila ameonesha kusikitishwa na baadhi ya jumbe alizozisoma zikimhusisha RCO Dar es Salaam, Faustine Mafwele na utekaji wa Watanzania. "Jambo linapokuwa limetokea, jamii mkishakuwa na majawabu kuhusiana uharibifu huo maana yake inakuwa ni kikwazo kikubwa sana cha kuharakisha uchunguzi wa jambo hilo."

Indonesia
2
10
32
3.1K
Obrieli Aliko retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️HUYU NDO THOBIAS MWESIGA, MUUAJI‼️ Mwesiga kasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya kumaliza Chuo, mwaka 2014 aliajiriwa kama afisa wa TISS kitengo cha Siasa Bungeni. Kama mtakumbuka vizuri mwaka 2019 Mwesiga alimtishia Zitto bastola ndani ya bunge, ni tukio ambalo lilizua mjadala sana kwenye mitandaoni ya kijamii, kila mtu akawa anajiuliza huyu jamaa ni nan, wengi tulimfahamu kupitia tukio hilo. Baada ya kumtishia Zitto bastola, Mwendazake Magufuli alimpandisha cheo, alimtoa Bungeni na kumpeleka Ikulu ambako walimfanya kuwa Mkuu wa Dawati la Siasa. Nduli Idd Amin Mama alivoingia tu madarakani alimteuwa Mwesiga kuwa Mkurungenzi wa TPDC April 20, 2021 baada ya watu kupiga kelele sana, akatengua uteuzi wake, Mwesiga alipotea kwenye mambo ya siasa maana baada ya uteuzi wake wa TPDS kutenguliwa, alipelekwa NEMC ambako alikuwa afisa wa kawaida. September 2024 wakati tunajiandaa kwenda kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa Nduli Idd Amin Mama akamrudisha Ikulu ambako alirudi kuwa Mkuu wa dawati la Siasa na mtu ambae alimpigia chapuo mpaka akarudishwa kwenye hiyo nafasi ni Hussein Bashe maana kipindi hicho Nduli na Bashe walikuwa damdam. Mwesiga aliporudishwa tu kwenye hiyo nafasi kazi yake ya kwanza ambayo alifanya ilikuwa ni kukamata na kutekwa vijana wengi sana na kazi yake ya pili ilikuwa kuharibu Uchaguzi wa Serika za mitaa, votongoji na vijiji ambapo alifyeka majina ya wagombea wote wa Vyama vya upinzani ili maccm yapite bila kupigwa kwenye Uchaguzi wa Novemba 27, 2024. Baada ya kuharibu Uchaguzi wa mitaa aliendelea kuteka na kupoteza watu ambapo alimeka @mdudenyagali Aman Manengelo, Mbeshi Paul, Juma Kaswahili n.k Mwesiga ndo aliyempa maelekezo Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi ili aseme hawatambui Viongozi wetu ambao Mwenyekiti Mhe. Lissu aliwateuwa na Baraza Kuu likawapitisha akiwemo Katibu Mkuu Mnyika, Manaibu na Wajumbe wa Kamati Kuu Mwesiga ndo aliyetumika kumnunua Said Issa na wenzake ili wafungua kesi Mahakamani Kuu ili kuzuia CHADEMA isifanye shughuli za kisiasa Ikumbukwe kwamba Mwesiga na Msajili wa vyama Jaji Mutungi wanatoka Kijiji kimoja ndo maana akiwa kwenye Dawati la Siasa kwa kushirikiana na msajili Mutungi waliweza kuishughulikia Chadema sana Kama mtakumbuka vizuri wakati kampeni ya #NoReformsNoElection ilivoshika kasi kila kona ya nchi, ilipofika September kuelekea Oktoba 29, Kuna vijana zaidi ya 104 kutoka Mikoa mbalimbali nchini akiwemo Mwenyekiti wetu wa Ludewa walitekwa na kupotezwa hadi leo lengo ilikuwa kutisha watu ili wasiandamane Oktoba 29, sasa Mratibu wa matukio hayo ya watu kutekwa na kupotezwa alikuwa ni huyu Mwesiga. Baada ya Oktoba 29, 2025 kupita Mwesiga aliondolewa kwenye Dawati la Siasa kwasababu kuu mbili. 1. Kwenye project ya CHAUMWA aliipiga Serikali haram ya Nduli Idd Amini Mama bilioni 15 ambazo zilikuwa kwa ajili uhamisho wa Mhe. Mbowe kutoka CHADEMA kwenda CHAUMA maana Mwesiga aliwahakikishia kwamba ameshamalizana na Mhe. Mbowe na kwamba Mbowe amekubali kuwa mgombea Urais wa CHAUMA so pesa ilipigwa na Mhe. Mbowe hakwenda CHAUMA Jambo la pili, Mwesiga alikuwa anathumiwa kwamba alikuwa akipanga safu ya Bunge kwa kurecommend kwamba Kamati Kuu ya CCM impitishe fulani kuwa mgombea au imkate. Mwesiga na baadhi ya Viongozi wandaamizi wa Serikali haram walituhumiwa kwamba walipanga safu ndani ya CCM ili waje kupitisha Spika wao, mwisho wa siku waje kumuondoa Nduli Idd Amin Mama kwa Bunge kupiga kura ya kutokuwa na Imani nae na miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa pamoja nae ni pamoja na Job Ndugai, Hussein Bashe, Dotto Biteko, Jenista Muhagama, Tulia Akson, William Lukuvi, Kassim Majaliwa n.k Kwasasa Mwesiga ni afisa wa kawaida ndani ya Mamlaka ya Kudhibiti ya kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) huko kazi yake kubwa ni kuwaomba rushwa watuhumiwa wa kesi kubwa za madawa ya kulevya kwa ahadi ya kwamba atawasaidia kuyajenga na DPP ili awafutie kesi lkn pia anafanya lobbying ili ateuliwe kuwa Mkurungenzi ili aendelee kunufaika na rushwa za wauza madawa.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
28
117
419
22.7K
Obrieli Aliko retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama akiwa na blogger wa Nigeria @DavidHundeyin ambae wamempa kazi ya kutengeneza Documentary ya kumsafisha Idd Amin Mama baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29, 2025.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
8
36
179
5.4K
Obrieli Aliko retweetledi
Wakili.tv
Wakili.tv@WakiliTv·
Wananchi mkoani Arusha wameitaka serikali kuwajibika kwa kusema ukweli na kufanyia kazi ahadi zinazotolewa na viongozi, huku wakisisitiza kubadilishwa kwa baadhi ya vipengele vya katiba iliyopo kwani vinaipa serikali madaraka yanayowaumiza wananchi. #KatibaKitaa
Indonesia
1
16
79
2.4K
Obrieli Aliko retweetledi
Pdizaina
Pdizaina@Pdizaina05·
Free TUNDU Lissu
Pdizaina tweet media
Eesti
0
19
54
705
Obrieli Aliko retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Jana Muliro alikuwa mahakamani akizuia watu wasiingie kwenye kesi ya Lissu. Muliro amefikia umri wa kustaafu. Ila haoni sababu ya kuishi na watu vizuri. Aliwatishia hadi Mawakili kuwa wawe kimya ili waishi. Amejipa mamlaka ya kuamua nani aishi nani afe. Haina shida!
Indonesia
13
92
448
8.6K
Obrieli Aliko retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ndiomaana mimi nawatukana hawa mnasema nitumie BUSARA. Huyu MADELU anatukana hovyo hovyo na kujibu maswala ya kitaifa HOVYO HOVYO kama na wakata majani wake. Tunahoji juu ya maisha ya watanzania yanayopotea kwa UTEKAJI-huyu mpumbavu anatoa majibu mepesi kama anaongea na misukule ya UVISISIEMU. Tukiwajibu mnasema "tumia busara kidogo" . Mimi ndiomaana sitaki kupangiwa LUGHA ya kudili na hawa MALAYA nitaruka nao ninavyotaka na wananielewa kwa lugha yangu ujumbe unafika. Wewe kama unatukanwa MPUMBAVU afu unaendelea na busara zako za KISENGE endelea. MADELU huyu ni KIBAKA TUU haatahili heshima yoyote mbwa huyu. Hii mijitu ndio ishindwe kututeka kweli hii? Hii mijitu ndio ishindwe kuuwa watanzania ELFU KUMI kubaki madarakani? Nitoleeni BUSARA ZENU za kipimbi hapa.
Indonesia
2
33
148
6K
Obrieli Aliko retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Tanzanians will start chasing all Nigerians who live in Tanzania due to one stupid yahoo boy @DavidHundeyin , now I got the point why Nigerians are not needed everywhere in the world 1. Scammers 2. Drug dealers 3. Human Trafficking 4. Prostitution 5. Funding terrorists 6. HIV spreading tools Big up South Africa
English
9
19
84
2.4K
Obrieli Aliko retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
So apparently the photo of the Naija filmmaker is fake 😁 We have been scammed!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
15
29
193
12.8K
Obrieli Aliko retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Walianza kumleta DROGBA. Wakafuata wakamleta RIO FREDNAND. Sasa anafuata SCAMMER WA KINAIJERIA wazee wa hizi kazi. Jomba limejipigia mabilioni kwa MAMBUMBUMBU. Chaajabu kabla DOCUMENTARY haijatoka tayari watanzania washaonyesha uhalisia kuwa hiyo sio documentary ni MRADI WA KUSAFISHA DOLA na kuchezea vifo vya ndugu zetu zaidi ya ELFU KUMI. Poppye utakapomuona huyu MALAYA wa kinaijeria PELEKA MOTO MWINGI kama umeona MACHAWA wa mama yao.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
18
40
289
14.1K
Obrieli Aliko retweetledi
George Tibaijuka
George Tibaijuka@GeorgeTibaijuka·
Libarikiwe tumbo lililokizaa, Ubarikiwe uzao wako!
Polski
1
20
88
1.2K