
Second Master of Laws (Human Rights and Democratisation in Africa) degree from the University of Pretoria secured. Thanks God🎓🎓🎓!
YULE BOY
8.9K posts

@OMsodoki
father, farmer, carbontanzania, simba &chelsea

Second Master of Laws (Human Rights and Democratisation in Africa) degree from the University of Pretoria secured. Thanks God🎓🎓🎓!

Milio kila kona. 😂

Kaka! Mimi nakuelewa sana na wala point yangu haijakaa namna mnavyoitafsiri.. Kwanza kabisa ni ajabu mnafananisha Betting na Ushoga ambao ni laana tena laana ya kuogopwa. Mimi ninavyojua suala la Kamari ni mfumo ambao umetengenezwa kumuangamiza asie nacho kwa kumbebesha matumaini. Kamari kwa uhalisia ni mchezo ambao Maskini anatakiwa akae nao mbali sana sababu uhalisia ni kuwa yeye ndio mtaji. Mtu ambae ana uwezo kama wewe kamari haitakuharibia kitu sababu kwanza unaifanya kama kazi lakini umeinvest. Maskini wengi tunacheza either tupate ya kula au tupate tulichopoteza jambo ambalo probability ni ndogo sana kwake kuwin. Jambo lingine ni kuwa kwenye kamari kikubwa anachopoteza mtu sio pesa bali uwezo wake wa kufikiri pamoja na muda mwingi ambao kimsingi ukienda umeenda. Imagine mtu anaelala na mawazo ya kuwa Millionaire kwa sababu tu amewekeza 1,000 au 10,000. Hivi ni kweli maisha ni rahisi kiasi hicho? HAPANA. Kamari yenyewe imeshakwambia cheza na tumia kiasi ambacho upo tayari kukipoteza lakini wengi wanacheza wanaachwa na maumivu makali. Mwisho mtu anaingia kwenye addiction ya kucheza kwa kila cent yake anayoipata akiamini tu kuna siku atapata. Je! Atapata lini? Kwa uhakika kiasi gani? Tuache tu kujiangalia sisi lakini pia tuangalie vizazi vyetu. Leo hii imagine watoto wako wanakua huku wakiamini watapata mafanikio kupitia kamari, Maana yake hawatajituma wala kuumiza kichwa kwa ajili ya maisha yao sababu tayari wameshaona kuna sehemu ya kupata kwa wepesi jambo ambalo sio kweli. Mimi simzuii mtu kubet na wala sisemi kwa ubaya ila naona kabisa kwa sababu ya mindset za wengi baadae itasumbua sana. Tutakuwa na wezi na matapeli kila kona na wataumiza yoyote.

Content za kamari zinazidi kuongezeka kwenye mitandao siingilii kazi za watu lakini hili ni zaidi ya bomu linatengenezwa kwenye jamii.. TIME WILL TELL

Malipo ni hapa hapa duniani huyu demu alijikuta mzuri sana hapa Tanzania na mimi namwambia huruma sio malezi🙌🙌


