Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu

3.1K posts

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu banner
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu

@OWM_SBU

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Sera.Bunge na Uratibu S.L.P 980 DODOMA, Tanzania [email protected]

Dodoma, Tanzania Katılım Mart 2022
43 Takip Edilen2K Takipçiler
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
Jijini Dar es Salaam yenye Kauli Mbiu isemayo “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa sabasaba, Fahari ya Tanzania” leo tarehe 01 Julai, 2025.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
0
0
1
73
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
BANDA OFISI YA WAZIRI MKUU KIVUTIO KWA WANANCHI SABASABA Wananchi mbalimbali wametembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake ili kupata elimu kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa SABASABA yanayoendelea...
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
1
1
1
128
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Peter Lawrence Makenga Msoffe kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Athumani Juma Kilundumya kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo (Umwagiliaji na Zana za Kilimo) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
213
57
91
4.2K
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.
ikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
222
58
149
6.1K
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa ya jirani, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwasili katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, mkoani Kilimanjaro, kushiriki ibada maalumu ya mazishi...
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
1
1
1
137
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma, ukiwa na lengo la kujadili mikakati ya kukabiliana na maafa katika mikoa ya Kusini mwa Afrika.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
0
0
0
41
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
Mkutano wa dharura wa Makatibu Wakuu wanaohusika na Usimamizi wa Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), umefanyika leo tarehe 12 Mei, 2025 kwa njia ya mtandao.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
1
0
1
83
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
MATUKIO KATIKA PICHA MSIBANI KWA HAYATI CLEOPA MSUYA DAR ES SAALAAM Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (SBU) Dkt. @yonazijim akitoa pole kwa wafiwa msibani kwa Hayati Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu nyumbani kwake Upanga Jijini Dar es Salaam.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
0
0
1
109
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu
DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO MAANDALIZI YA MAZISHI YA HAYATI CLEOPA MSUYA Matukio katka picha kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Mazishi y Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet mediaOfisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu tweet media
Indonesia
0
0
0
83