🚀 Exciting Project Highlight!
We partnered with TAPSEA and @nmb to create a payment collection platform for TAPSEA’s general annual secretaries' meeting, serving over 4,000 members!
#TAPSEA#PaymentPlatform#TechForGood#Nmb
Kwann Tanzania tusiwe na yetu?
Lets move this together.
Out-Of-Home advertisement from our own Tanzania
@Oohbit_Co
Get your brand on the move
#Google#GoogleIO#GoogleIO2023
Waziri wa Kazi, Ajira na Uhusiano wa Viwanda Nchini Uganda, Charles Okello Engola ameuawa asubuhi hii kwa kupigwa risasi na Mlinzi wake (Bodyguard), Spika wa Bunge la Uganda Anitha Among amethibitisha Bungeni leo.
Tukio hilo limetokea asubuhi hii ambapo imeripotiwa kuwa Waziri Okello alikuwa anatoka nyumbani kwenda kazini ambapo ghafla Mlinzi wake alimpiga risasi kisha akaanza kupiga risasi juu huku akikimbiakimbia Mtaani, Majirani wamesema Mlinzi huyo alisikika akisema hajalipwa mshahara kwa muda mrefu licha ya kufanya kazi na Waziri huyo.
Inaripotiwa kuwa Mlinzi huyo baadaye aliingia Saluni moja iliyopo Jirani na nyumba ya Waziri kisha akawataka waliokuwa ndani kutoka nje na akajifungia na kujipiga risasi na kufariki pia.
#MillardAyoUPDATES
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili. Mmetuheshimisha sana. Hamasa yangu inaendelea, na sasa imeongezeka. Kaifanyeni kazi.
Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 59 ya Muungano. Imekuwa miaka 59 ya Umoja, yenye Amani na Ustawi, kama ilivyokuwa ndoto ya waasisi wetu, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume. Tuendelee kuidumisha tunu hii adhimu na ya kipekee kwa Taifa letu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye alikuwa na shauku kubwa ya kumuona Mhe. Rais Samia. Pichani mtoto huyo akiwa haamini macho yake