Oruba Jr.

13.3K posts

Oruba Jr. banner
Oruba Jr.

Oruba Jr.

@OrubaJ

Self Esteem Is A Superpower 🔥

Universe Katılım Eylül 2018
772 Takip Edilen1.4K Takipçiler
Oruba Jr. retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
4
247
621
18.2K
Oruba Jr. retweetledi
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Free him now.
MfinaWiiiseeee tweet media
English
0
244
389
5.2K
Oruba Jr. retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tunajali haki na maslahi ya Ninja kwakuwa ukamataji wake ni wa kiholela. Na tunalitaka jeshi la polisi kumuachia mara moja. Free Ninja Now!!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
12
428
1.1K
18K
Oruba Jr. retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo itaachaliwa Documentary ya wananchi kuanzia saa 9:00 Jioni, hakikisha unasubscribe @MO29TV YOUTUBE.
Filipino
14
226
1.3K
24.9K
Oruba Jr. retweetledi
Mzalendo wa Taifa
Mzalendo wa Taifa@mzalendo_taifa·
Leo tarehe 29.tunawakumbuka mashujaa wetu waliouwawa tarehe 29.10.2025
Indonesia
4
111
460
4.8K
Oruba Jr.
Oruba Jr.@OrubaJ·
@YcuL___ hata leo watu wako wakutosha hapo nje ukipita
Indonesia
0
0
2
1.2K
FUNDI JUMA 🇿🇦
Juzi nilikuwa napita mwenge nikaona hili duka watu wanasubiri nje coz ya foleni hawaenei ndani😂 sikuweza ata kuingia coz I was in a rush.
FUNDI JUMA 🇿🇦 tweet media
Indonesia
17
24
417
47.4K
Oruba Jr. retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Miezi 6 baada ya kuuwa maelfu ya Watanzania, hakuna aliyekamatwa, kuhojiwa au kushitakiwa kwa mauwaji, au kujiuzulu. Mnaunda Tume baada ya tume kuvuta muda. Mtaficha nyeti zenu hadi lini kwa kipupwe hiki? RIP Mashujaa wetu. Haki yenu yaja. #MO29
Indonesia
0
121
498
4.8K
Oruba Jr. retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
To our fallen heroes, tutawakumbuka daima. Haitafutika katika historia ya Taifa letu kuwa mliuwawa kikatili kwa risasi za moto mkipigania uhuru na utu wetu. M/Mungu azijalie faraja na nafuu familia zenu, na atusaidie kupaya haki sote kama Taifa. #MO29 #MO29
Tito Magoti tweet media
Indonesia
12
208
707
6.1K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Unajua nilienda mnada mmoja Misungwi kuelekea Pasaka nikakuta wanauza Mapanki 🙌🏼
Indonesia
28
19
392
16.1K
Oruba Jr.
Oruba Jr.@OrubaJ·
@mfinanga_rm huo ukweli ndio hawawezi sema maana kila mtu wanakijua ila wameona wataumbuka wao.
Filipino
0
0
1
114
Oruba Jr. retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
285
1.9K
28.2K
Oruba Jr. retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hawa Wazee Wastaafu wanataka kutuharibia nchi yetu kwasababu kwa umri wao, walichobakiza sasa ni kusubiri kutwaliwa, namba zao hizi hapa tuwasalmie, 1. Jaji Ibrahim Juma +255784433154 2. Jaji Chande +255 777 511 290 +255784499448 3. Profesa Kabudi +255754695099 4. Mzee Wasira +255753101000 +255754447064
Indonesia
43
265
1.3K
61.5K
Oruba Jr. retweetledi
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Idadi ya watu 500 si namba ndogo, ni familia, ndoto, na nguvu kazi ya taifa iliyopotea. Kukosekana kwa hatua madhubuti baada ya ripoti hii ni dharau kwa utu wa hawa watu. Taifa linahitaji majibu ya kuridhisha.
Indonesia
4
38
149
4.7K
Oruba Jr. retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Chande/Kabudi. Huu ni ushahidi vijana wakitengeneza mabomu, wakiwa na bunduki na wakifanya mazoezi ya kupindua nchi. Hatutaacha kusema wala kufukua makaburi baada ya kugundua dhamira yenu sio amani bali kuwafunga midomo wanaopigania "amani na uhuru" wa kweli wa nchi yetu.
Indonesia
12
135
513
14K
Oruba Jr. retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨SERIKALI IMEKUBALI VIFO 500 NDANI YA SIKU 3 - SI HABA‼️ Mauaji yaliyofanyika Kenya mwaka 2007 watu 1,300 waliuwawa ndani ya siku 30 na ikawa ishu kubwa hadi ICC Sasa kusema waliokufa 2025 Tanzania kwenye uchaguzi ni 500 tu na wameuwawa ndani ya siku 3 ni mbaya sana! Ndo maana tunasema ni mauaji halaiki! Pili kuja na msamiati wa kujitungia eti hayakuwa maandamano bali ghasia ni UONGO! Sheria ya kimataifa inatambua maandamano kupangwa na hata kufadhiliwa! Haiondoi uhalali wa maandamano! Na hata kama kuna wahalifu waliotenda kosa bado maandamano yanatambuluwa! In fact kuwa na maandamano ya kumkataa kiongozi SIYO kosa au eti kutaka kupindua nchi! Ni haki yetu wananchi maana mamlaka yote inatoka kwetu! Msilete upumbavu kutaka kutisha watu! Nyie Abdul na Samia mlimwona Kabudi bingwa? Sasa ameturahisishia maana hii hotuba imekiri mauaji halaiki na mmekiri mmeua waandanamaji mkidhani mtajitetea walikuwa wanafanya fujo! Njia nyeupe ICC 👊🏽🔥 Kabudi amewazamisha ZAIDI na mngekuwa ninyi mna akili mngemtimua mtafute mtu smart! Ila naona hamsikii! Stop digging a bigger hole! Badala ya kuogopa ICC, ogopeni hasira za wananchi! Nchi imevimba! #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Indonesia
12
125
521
17.2K
Oruba Jr. retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
TAARIFA KWA UMMA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Kati kinatoa taarifa kwa Umma ya kukamatwa kwa Afisa wa Kanda Shujaa Evarist, Katibu wa Mkoa wa Dodoma Confransisco Lawrence, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha) Rukia Said na Katibu Baraza la Vijana (Bavicha) Mohammed Yasin. Kwa taarifa tulizozipata kutoka kwa wananchi walioshuhudia kukamatwa kwao na Jeshi la Polisi ilikuwa muda wa mchana. Taarifa hizo zimenifikia muda huu usiku kuwa wamekamatwa. Baada ya kufatilia hawapo kituo cha Polisi Central. Tunalitaka Jeshi la Polisi liseme limewapeleka wapi viongozi wetu? hadi muda huu hakuna taarifa kwa ndugu wala chama wanaojua walipo. Ashura Masoud Katibu wa Kanda ya Kati 27.04.2026
Indonesia
31
220
805
23.8K
Oruba Jr. retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kwa wale wanaotaka kujua mipango ya Kabudi na serikali yao dhalimu sikilizeni hii clip.. Kabudi anapeleka Nchi barabara mbaya kabisa.
Waihiga Mwaura@WaihigaMwaura

A Tanzanian government-appointed commission announced that 518 people died in the widespread protests that followed last year's general election. Prof. Paramagamba Kabudi, Tanzania's State Minister in the PM's Office for Policy, Coordination and Parliamentary Affairs spoke to us on #FocusOnAfrica. I first asked him who was responsible for all those deaths?

Indonesia
32
95
455
24.9K
Oruba Jr. retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Huyu mzee mkiona tunajipigia mtuvumilie tu. Hana heshma yoyote. Hana utu. Ni takataka iliyoamua kutumika kumsafisha muuwaji Samia. Kwamba, CHADEMA, Kanisa, Asasi za Kiraia na Wanaharakati ndiyo waliuwa Watanzania? Is he okay upstairs?🚮
Waihiga Mwaura@WaihigaMwaura

A Tanzanian government-appointed commission announced that 518 people died in the widespread protests that followed last year's general election. Prof. Paramagamba Kabudi, Tanzania's State Minister in the PM's Office for Policy, Coordination and Parliamentary Affairs spoke to us on #FocusOnAfrica. I first asked him who was responsible for all those deaths?

Filipino
21
74
326
12.9K
Oruba Jr. retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️WAMETEKA KILA KITU RIPOTI HALISI KUFICHWA‼️ Yaani Mama Abdul na genge lake ndo wahalifu namba moja! Wajumbe wa Tume kumbe mmetishwa eti ripoti yenu halisi isinifikie? 🙄 Alafu nilishawaonya kuwa mnapochapa macho yanayoona ni mengi kuliko mnavyodhani! Alafu kumbe Kizigha anatuhumiwa kuwa mwuaji mzoefu? This is new to me! Ni hivi hiyo ripoti mmeshindwa kuiweka mtandaoni so hata mje mtoe baadaye tunajua ni Kabudi version Ila mjue binadamu hupanga, Mungu hupangua! This is the end! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo According to one of my reliable sources Chande and members of the Commission have been terrorized not to leak the report and Suluhu & her murderous cabal are busy destroying all collected evidence and report copies! The original report implicates the police and security forces and talks about high rate of civilians killed at home and not on the streets! That is why we cautioned that Chande’s commission was not independent but Samia Suluhu’s whitewash commission and Chande et al misread it - now they are in hot soup! Ah well! Never make a deal with the devil!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
25
121
410
32.3K
Oruba Jr. retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Asanteni. Tuendelee kuchangia.
Chadema Tanzania tweet media
Indonesia
17
186
774
9.5K