
Dan Osinya
61 posts

Dan Osinya
@OsinyaDan
pianist,busines,farmer,mentor,father
Nairobi, Kenya Katılım Temmuz 2019
60 Takip Edilen10 Takipçiler

@vincentateya @RadioCitizenFM Nko locked nkiwa Dc kibra fally ippupa kitanifaa Dan Osinya hapa
Indonesia


Rhumba raha nko ndaaani hadi mwisho ni Dan Osinya nkiwa Dc kibra
SWAHILI NATION@Swahilination_
#RhumbaRaha Unawakilisha wapi? Wapi request yako? @RadioCitizenFM
Indonesia

Kamau Mayenje primary school ilitutesa tukisoma Bwamani primary sch sana Dan osinya nikiwa DC kibra
Radio Citizen@RadioCitizenFM
Ni shule gani ya primary ambayo ilikuwa inawabwaga kimasomo nyakati zenu?....#GoodEveningKenya
Indonesia
Dan Osinya retweetledi

Ni shule gani ya primary ambayo ilikuwa inawabwaga kimasomo nyakati zenu?....#GoodEveningKenya
Indonesia
Dan Osinya retweetledi

WE’VE GOT HIM! @citizentvkenya has traced this talented secondary school student. Asanteni nyote.
English

Tina na Munai kilichonitamausha ni mhe Babu Owino akijibu Dp Ruto waaaaah. ni Dan Osinya nkiwa kibra
Tina Ogal@OgalTina
Bila shaka ndani ya #JamboKenyaChangamka @OgalTina @MunaiGenerali @RadioCitizenFM Amka kumekucha
Indonesia

Kamau acha tu Mimi nliomba hadi slippers zile za red salimia mama Namulanda na br wakiwa Mabale junction ni Dan Osinya wa Namulanda Dc kibra
Radio Citizen@RadioCitizenFM
Siku hizi wapenzi wakiachana wanarudishiania nini, wakati wetu ikiwa ni picha na barua?....#GoodEveningKenya
Indonesia

@RadioCitizenFM Kamau kuna kajiji kanaitwa siteko kamejificha pale kwa corner ya Busia county ni Dan wa Namulanda nko kibra
Filipino

Taja kijiji jirani unachoamini hakijawahi kutajwa hewani na jamaa mmoja huko hajawahi kutajwa....#GoodEveningKenya
Indonesia

Guess who is back?
Karibu ndani ya #DriveOnReloaded awamu ya kwanza uko vipi?
#DriveOnReloaded
@RadioCitizenFM
@OgalTina
@MunaiGenerali

Indonesia
Dan Osinya retweetledi

#MileleDrive Its a brand new week ndani ya Mileledrive unatutegea ukiwa wapi? Karibu as we drive home in style... @Luchivya @wilbrodanyamin @marryanne26

English

@RadioCitizenFM @JeridahAndayi Hallow rhumba raha nakupata kama kawaida nikiwa Dc kibra ni Dan mwana wa Namulanda ndaaaaani fally ipuppa itanifaa
Indonesia

@JeridahAndayi is on air on #RhumbaRaha starting now to after midnight. Where are you?
English
Dan Osinya retweetledi

Kufanya “collabo” lazima uwe na uwezo wa kuimba huo wimbo peke yako @kidumofficial #JamboKenya
Filipino

Yule analala na Mama ndiye baba.atakayeshinda ndiye wetu Dan osinya nkiwa Dc kibra
Radio Citizen@RadioCitizenFM
Imran Okoth: Shida kubwa ya wakaazi wa Kibra ni maji. Najua ni maeneo yapi ya Kibra yanakumbwa sana na ukosefu wa maji na swala hilo litapewa kipau mbele. Wakaazi wa Kibra, je, ni kweli kuwa changamoto kubwa kwenu ni maji? #JamboKenya
Filipino
Dan Osinya retweetledi

Imran Okoth: Shida kubwa ya wakaazi wa Kibra ni maji. Najua ni maeneo yapi ya Kibra yanakumbwa sana na ukosefu wa maji na swala hilo litapewa kipau mbele.
Wakaazi wa Kibra, je, ni kweli kuwa changamoto kubwa kwenu ni maji? #JamboKenya

Indonesia
Dan Osinya retweetledi

Imran Okoth, mgombea kiti cha uongozi Kibra: Marehemu Ken Okoth alinifuata, mimi ndio nilikuwa mkubwa wake. Nilimsaidia na kazi nyingi sana na naelewa shida za wakaazi wa Kibra #JamboKenya

Indonesia
