Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏

11.7K posts

Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 banner
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏

Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏

@PASB96

Economist. Business consultant. no negative externalities. No any political party. @YoungAfricaSc

Nairobi, Kenya Katılım Ekim 2021
2K Takip Edilen2.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏
Dunia imejazwa na vitu vitatu vikubwa vya asili 1. Maji 2. Anga 3. Ardhi Katika hivyo vyote kipi umekitumia kuwekeza? Maji na Anga ni Ngumu. Vipi juu ya ardhi umefanya nini?? Umetafuta kipande cha ardhi kilichojengewa tofali na paa ukapanga? #ItumieArdhiKiuchumi
Indonesia
0
0
4
421
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kama SERIKALI ya TANZANIA ilithibitisha kwamba wewe Suphian Mkuwi UNAKANYAGWA na Ufafanuzi ukatolewa na msemaji wake @MsigwaGerson , Mimi ni Nani niibishie serikali ? Nasimama na serikali kwa hili, Big up Msigwa
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma

Hey @godbless_lema HAKUNA LAANA ZA KISIASA, Unapenda sana unabii, acha siasa fungua kanisa. Propaganda zenu dhidi ya @AbdulAmeir zikome, kwa tunayemfahamu Abdul ni mtu rahimu mno, acheni kumchafua. Kama hoja za kisiasa, zijibiwe kisiasa na sio kwa ramli; Kama kufa sote tutakufa.

Filipino
7
23
98
13.3K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Jana usiku wakati nashuka kwenye dala nilimkanyaga mguu Mdada ki bahati mbaya,wakati wa kulipia nauli nikawa na vi chenchi nikasema na kulipia nauli sababu nimekukanyaga rafiki yake akasema sasa unamlipiaje mmoja nikawalipia wote kiroho safi, baadaye akasema kama nakuonaga Twitter kiukweli nilifurahi binafsi nikikutanaga na mtu wa Twitter Accidentally huwa na feel kama nimekutana na ndugu yangu.😂👊🏾 Ukibahatika kukutana na Mimi kwenye Daladala mwambie konda nauli yako nalipia Mimi.🫡
Indonesia
63
56
638
23.3K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
QME
13
2
107
8.6K
Vïřüśï
Vïřüśï@virusi_bad·
Spending time with one of the ebola patients
Vïřüśï tweet media
English
427
1.5K
9.9K
239.3K
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 retweetledi
mwaisa_mtumbad
mwaisa_mtumbad@Nyonyoma1·
Live waacheni madogo wapige mpira manake wanasiasa hawachelewi kuharibu utaskia tunaenda kuongeza HAMASA @mguukwamguuu Ndio utakapoona wahuni wamehamia Senegal
Indonesia
5
18
99
3.6K
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 retweetledi
Farm With Fred
Farm With Fred@Fredmunene_·
China changed the avocado export game for Kenyan farmers. A few years ago when China opened its market to Kenyan avocados, the conditions were tough. Many farmers could not meet the standards. One avocado farmer I know got access to an export deal back then. The process was intense. You had to.. -Harvest and ripen fruits naturally -Remove the skin -Pack the avocado in punnets -Freeze the product at minus 2°C China wanted ready-to-eat avocado. The investment and handling costs locked out many farmers. Today the market has shifted. Chinese buyers are now taking mature unripe avocados directly from farmers and exporters. The demand is growing and the prices are attractive. This is why farmers need to pay attention to early market agreements between Africa and China. Markets change fast. The farmers who position themselves early understand the standards, build networks, and benefit first when demand expands. Kenya exported over 112,000 metric tonnes of avocados in 2023 according to the Horticultural Crops Directorate. China remains one of the markets shaping the future of the sector. For farmers, export farming is no longer about planting only. Market timing matters. #LetsGrowTogether
Farm With Fred tweet media
English
13
54
322
39.7K
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Za ndani zinasema bi maza ndo alijirahisisha kwa mnyakyusa akadrop mwenyewe contacts dm bila kuombwa Alivurugwa na flex za mnyaki za overseas maskini akaanza kushusha mainvoice kumbe mnyaki wa watu ashajiapia dem akijilengesha havuki nje ya budget😭 "Niliichapa mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nikaona nmetosheka nkaanza kumpotezea, sahivi ananichukia kinoma"😭😂
Indonesia
21
11
217
25K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Marekani inaipatia Kenya USD milioni 13.5 [TZS bilioni 35.5] kwa ajili ya kujenga karantini ya kuwaweka raia wa Marekani wanaoshukiwa kuwa na maambuzi ya virusi vya Ebola. Marekani imesema kipaumbele chao ni kulinda afya na usalama wa raia wake, kwa kuhakikisha ugonjwa huo hauingii nchini humo.
Swahili Times tweet media
Indonesia
11
5
138
11.6K
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Nini cha kufanya kama mpenzi wako kapunguza mawasiliano mpaka umtafute wew??
Filipino
52
44
194
11.1K
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏 retweetledi
Mtombangile kitwango☠️
Mtombangile kitwango☠️@Mikazokitwango·
Ya DUNIA Hayaishi,Yasikufanye Ukasahau Kuishi Tafuta Maisha,lakini usisahau kuyaishi Maisha Si tu kufika mbali—ni pia namna ulivoishi ukiwa safarini Shida za Maisha hazitaisha kabisa Ukisubiri siku ambayo hutakua na Tatizo ndipo ufurahie Maisha,unaweza usiishi kwa Amani kabisa
Indonesia
19
42
74
1K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Wadada wazuri mniungishe hizi 20,000 tu +255 694201676
HAPPNES MLAY tweet media
Indonesia
2
9
9
869
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Drama imeendelea baada ya mchezo wa nusu fainali ya Africa U-17 Cup of Nations kati ya Morocco na Senegal kufuatia taarifa zinazoeleza kuwa rais wa Shirikisho la Soka Morocco, Fouzi Lekjaa anadaiwa kutaka kuwasilisha malalamiko kwa CAF. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Morocco inataka penalti moja waliyoifunga irejewe baada ya kudai kuwa kulikuwa na mchezaji wa Morocco aliyeingia ndani ya eneo la mita 18 kabla mpira haujapigwa. Tukio hilo limezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki wengi wakitoa maoni tofauti kuhusu sheria hiyo pamoja na uwezekano wa CAF kulifanyia kazi suala hilo. Senegal walifanikiwa kushinda mchezo huo kwa penalti 7-6 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 na sasa wamefuzu kwenda fainali dhidi ya Tanzania. Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka CAF kuhusu hatua yoyote ya malalamiko hayo.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
11
8
178
17.2K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Nimejaribu kufuatilia, kupata mambo kwa kina kwa nini Clara Luvanga haitwi timu ya Taifa,Twiga Stars angali anafanya mabalaa Al Nasri,huko Saudi Arabia. Imekaa hivi, nimethibitishiwa na kiongozi mmoja mwandamizi TFF kwamba kwa mujibu wa miongozo ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) mchezaji ambaye ana homoni nyingi za kiume automatically hapaswi kushirki Mashindano yaliyopo chini yao (CAF). Situation hiyo ndio imemkuta teka letu. Ingawa inaelezwa huwa hawaweki wazi,ni mwendo wa kimya kimya.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
15
7
143
15.5K