Sabitlenmiş Tweet

Leo imekuwa siku poa sana kwa kiasi kikubwa #ElimikaWikiendi yetu imepambwa vizuri kabisa na mitazamo chanya ya namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo (fighting depression) hasa kwa wanaume.
Masta @funjojr umeupiga mwingi sana leo. You are a man of the match.
Big up 👏👏👏




Filipino
