Patrick Nkandi
14.7K posts

Patrick Nkandi
@PNkandi
Accredited Arbitrator & Mediator - Tanzania| Business Development| Communication| Diplomacy




kariakoo inakusanya mapato ya bilion 140 kwa mwaka🙌🏿🙌🏿. Aseee jengeni Structured parking/Multi-storey parking hizo open/surface parking mnazi mmoja na gerezani hazitoshi kabisa pia ni kuharibu eneo. Pia kkoo yote mitaa yake iwekwe lami. Mapato ya kkoo yanakaribia bajeti ya wizara ya ardhi💪🏿🙌🏿.








Only four countries in Africa have tramway systems: Morocco 🇲🇦, Algeria 🇩🇿, Tunisia 🇹🇳, and Egypt 🇪🇬.




Huyu mzee ni jirani yangu,nimejiweka utaaratibu wa kumtembelea kila weekend kupiga nae stori, leo anasema amewahi kutumwa na nchi world bank kunegotiate mkopo wa dollar milion 100😄anasema wao ndiyo walianzisha TAFICO na mpaka ana stafu aliacha shirika la uvuvi lina meli zake 6 🙌🏿




Nimeona statements hizi za watu wa EU na USA. Ni muhimu kushughulikia na matatizo yetu ya ndani sisi wenyewe tuyamalize. Lakini ili tuwe salama zaidi, tunahitaji kutafuta namna ya kutengeneza mutual security pact na nchi za China na Russia.




