meku mjanja

8.4K posts

meku mjanja banner
meku mjanja

meku mjanja

@PPentrela

Tanzania Katılım Ağustos 2017
186 Takip Edilen5K Takipçiler
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Vuta picha jana hii ndio ilikuwa sub ya kutegemewa kubadili mchezo jana...tunahitaji kutengeneza bench linalo tisha kama misimu mi 2 nyuma Yani ndani kuna watu njee kuna watu
meku mjanja tweet media
Indonesia
0
0
7
177
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Mimi sio mtabiri ila mechi ijayo ya NBC simba wana dondosha points kama sio zote 3 basi ni 2 hifadhini hii post
Indonesia
0
0
1
17
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Huu mda sukari ili kupanda mpaka ngapi 🤣
meku mjanja tweet media
Indonesia
0
0
8
111
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Kuna ile moja Okelo ali mgaragaza rushaini nkasema huyu mtoto sasa ana tafuta laana kutoka kwa kaka zake
meku mjanja tweet media
Filipino
2
0
56
1.1K
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Timu kubwa imepata sare inasikitika kama imefungwa, huku timu ndogo inapata sare inashangilia na huu ndio utofauti wetu
Filipino
0
0
1
26
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Ukiniuliza ni mchezaji gani wa simba unawasi wasi nae kesho anaweza inyima yanga points 3 Mimi ntakuambia ni huyo jamaa hapo kwenye picha ndio mtu wa kumchunga zaidi hasa kuanzia kipindi cha pili
meku mjanja tweet media
Indonesia
6
0
37
2.7K
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Tangu mechi za makundi zinapelekwa Zanzibar nilisema si kitu kizuri sana nkaonekana mbaguzi, Darby wakaipeleka huko nkasema tumepunjwa mechi zote kubwa msimu nkaonekana mamluki..ila niliona hili likitokea,tuache Shobo na nnchi za Watu, sa hivi tunauwa ligi yetu wao wanajenga yao
Indonesia
0
0
2
100
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Sawa mmetufunga ila vueni basi jezi angalau mzifue maana harufu ya jasho kwenye izo jezi imekuwa kali sana
meku mjanja tweet media
Filipino
0
0
1
41
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Haya tufanye jana Pedro angepata iyo droo anayo taka tukafika matuta nani angepiga hizo penalty na wapiga penalty wote kawatoa kawabakisha kina andambwile na Edmund
Filipino
0
0
4
96
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Kama kocha ataendelea kuwa Pedro hata hio juma pili tukipata dro tushukuru Mungu mwanetu hana uwezo wa kushinda mechi yoyote kubwa yenye umuhimu
meku mjanja tweet media
Indonesia
0
0
1
47
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Ni siku nyingine tena njema kwa watanzania kupata bahati ya kumtazama Allan okkelo akicheza mpira
meku mjanja tweet media
Indonesia
0
0
1
30
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Full time kwa mujibu wa tume sisi 2 wao 1
Indonesia
0
0
0
17
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Kama ikisemekana katika hizi mechi 2 kila mmoja ashinde mechi 1 utachagua timu yako ishinde mechi ipi ya muungano au ya ligi ?
meku mjanja tweet mediameku mjanja tweet media
Indonesia
0
0
3
34
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
TFF na kamati yao ya saa 72 wanatamani lile tukio la jana wamfungue mechi 5 na faini ya milioni moja 🤣
meku mjanja tweet media
Indonesia
0
0
1
56
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Hivi Mangungu yupo kweli ?
Filipino
0
0
1
17
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Tumeambie ukweli mwanetu au tukaushe tujifanye kama hatuoni maana hizo chenga kuna mda zinatufuraisha 🤣
meku mjanja tweet media
Filipino
0
0
0
21
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Dawa chungu siku zote haipendwi na watoto
meku mjanja tweet media
Filipino
0
0
1
18
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Yote kwa yote huyu refa waleo asije akachezesha mechi yetu ya final na mlandege
Indonesia
0
0
2
36
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Kwa siku za karibuni mechi ya simba na yanga imepoteza ushawishi kabisa, kama hazita chukuliwa hatua za haraka itaenda kufa kama mechi ya gormaiya na Leopard....kitendo mechi kuchezewa kule kwenye tindiga isamuyo ni dalili za awali derby kwenda shimoni
Indonesia
0
0
2
35
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Ukimdanganya adui ni vita, ukidanganya watu wako ni kujiuwa Sun tzu: 496KK
meku mjanja tweet media
Indonesia
0
1
2
27