Muuza_Mabati-OG🇹🇿

5.5K posts

Muuza_Mabati-OG🇹🇿

Muuza_Mabati-OG🇹🇿

@PaccerJay

🇹🇿

Katılım Aralık 2019
2.5K Takip Edilen2.1K Takipçiler
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mama ake James Temba akilia kwa Uchungu. Neno lake la mwisho kabla mwanae hajalazwa kwenye nyumba yake ya milele kasema “James, nakuachia Zaburi ya 35 ikanene na wewe kaburini, milele na milele…” Rest In Peace James Temba.🙏😭😭😭
Indonesia
29
104
551
22.3K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Kuna mzee yupo Bagamoyo anampenda sana Mh John Heche Kila siku asubuh lazima aje maskan kwangu nimpe simu asikilize speech zake. Au hata gazeti lenye mada kuhusu John Heche natamn siku hata akutane nae mzee ana miaka 93
Indonesia
6
61
559
8.5K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kwa kweli Bongo Zozo Sisi Watanzania hatuna cha kukulipa ila tunaona juhudi zako za kusimama katika ukweli na haki, Mungu azidi kukutunza na kukufungulia milango ya mafanikio.🫡
The mandevu tweet media
Filipino
24
333
2.6K
34K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Namuomba Mungu sana nisife bila kushuhudia anguko la CCM 🙏
Filipino
117
375
2.2K
35.7K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
MANDAMANO lazima yafwanywe Tena Sasahivi Bila KUPOTEZA Time Tuanze Upya Hawa. WASENGE ni waovyo sana
Indonesia
16
78
525
5.7K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Kwanza niombe Radhi kwa matumizi ya hii picha🙏.. Ninachotaka kusema ni kuwa Sisi wote ni wabinafsi tena tusiojali lolote pindi mambo yetu yakienda, ni humu ndani week hii inaisha tulikuwa tunasambaza Connection za wanavyuo na kuenjoy maisha yetu, hakuna aliyekuwa na uchungu moyoni, hakuna aliyekuwa anakumbuka walioangukiwa na kifusi kariakoo wala waliokutwa na matatizo 29 Oct,.. Si sisi wote tulikuwa na raha na maisha yetu yameendelea,.. leo baada ya kila kitu ndio watu wanaanza kuonyesha tena kama maisha yao hayaendi tena baada ya yale,.. wengine kutukana kama hivyo kwenye F2 kisa nimepost kitu tofauti na kile aliona kinafaa kwa leo,.. Sisi wote wabinafsi mambo yetu yakienda hatumkumbuki aliye gerezani wala aliyepoteza maisha kupambana,.. kwenye Dunia hii iliyojaa ubaya na ubinafsi wewe jichague mwenyewe,.. ukipotea wewe, umepoteza uzao wako na ndoto zako, wao watasahau hata kama uliwahi kuwepo na wataishi kutimiza ndoto zao.. ✍💔
The champ👑 tweet mediaThe champ👑 tweet media
Indonesia
28
31
154
27K
Jogoo la Shamba Mjini
Jogoo la Shamba Mjini@JMariotz·
Dada yangu bila kukuvunjia heshima hata wewe pia uliplay part kwenye kuhalalisha kilichofanyika, kama ungepita kule Vwawa basi leo ungekua zako bungeni ukigonga meza na mboga mboga wenzio na usingekua na uwezo wa kutweet hivi leo. Heshima na tamaa havijawahi kukaa nyumba moja.
DevotaTweve@TweveDevota

Aliyeua yeye hana hatia?🥹

Indonesia
67
109
747
47.1K
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Kuna siku Tume ya CHANDE itafanyiwa UCHUNGUZI na inawezekana WAKAWAJIBIKA kwa kuficha MAUAJI ya HALAIKI ya watu wasio na Hatia
Indonesia
6
88
459
6.1K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain
Indonesia
899
46
269
117.2K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Mama amka….” 😭😭😭😭
Türkçe
16
139
441
12K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Binafsi simshangai @Salym maana baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025 Kikeke alianza kuwapigia simu Waandishi wa Habari wa BBC na DW waliopo Bongo akawa anawaambia kwamba mambo yameshaharibika sasa anaomba wamsaidie Idd Amin Mama, wasipublish habari za watu kupigwa risasi wala kuuwawa bahati nzuri Waandishi walimgomea licha ya kwamba kulikuwa na fungu la pesa endapo wangekubali. Sasa mtu kama huyu mnadhan atashindwa kusema anaiman na Tume kama habari tu za maelfu ya Watanganyika kuuwa hakutaka Dunia ijue.?
Hilda Newton tweet media
Indonesia
47
98
558
41.3K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Waujaji wa Oktoba 29, 2025 hawa hapa sura zao zinaonekana tena very clear. Hawa watu wameuwa maelefu ya ndugu zetu walidhani hawatatambulika milele sasa tumeshawajua kwa sura bado majina. Kama umemtambua yoyote kati ya hawa naomba taarifa zake DM.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
48
275
1.1K
65.7K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Asante MUNGU hili gumu sana limepita. Kesho narudi RASMI kuendelea na kazi ya kushughulika NA WAKOLONI WEUSI. Haya magumu ninayopitia wao ndio chanzo kikuu-siwezi kuwaacha mpaka naenda KABURINI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
SIR TIVA@Sativa255

On GOD❤️🙏

Indonesia
393
333
1.9K
109.6K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
Tume ya CHANDE ije na maelezo kwamba hawa walitumwa na nani?
HT
14
98
256
6.3K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Tone Tone Imerudi.
Brenda Rupia Jonas tweet media
English
5
63
244
2.3K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
Chriss fundi CDM
Chriss fundi CDM@ChrissFundi·
Hizi ni nondo kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Karatu. Hakika Chadema inapendwa na wananchi.
HT
0
25
99
1.6K
Muuza_Mabati-OG🇹🇿 retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Bado tuna maumivu MAKUBWA ya ndugu zetu waliuawa tarehe 29.octoba 2025.
Filipino
6
85
326
8.4K