Pascal Paul

360 posts

Pascal Paul

Pascal Paul

@PascalP71917935

Katılım Mayıs 2023
515 Takip Edilen301 Takipçiler
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
Nilijifunza kupumua tena... polepole,Hata pale maish aliponilemea kifuani Nilijifunza kusimama, Hata miguu ilipokuwa ikitetemeka Na mawazo yakiwa ya dhoruba.Nikiwa na roho iliyochoka,Laini moyo wenye tumaini...Nilichagua njia yangu mwenyewe. Tulivu,Laini,Lakini isiyozuilika.
Indonesia
0
0
1
5
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
📍Mwanza #D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿 Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽 Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified #D9Tunatoka
Filipino
81
743
3.2K
223K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
HAPPY SUNDAY! Nikuambie Tu Maisna Ndiyo Haya Haya Na Furaha Ya Kweli Haipo Kwenye Mali Usisubiri Mpaka Uwe Tajiri Ndio Uwe Na Furaha, Kila Silu Ukiamka Salama Shukuru Mungu Ni Neema Tu Na Zawadi Umeamka Salama, Kumbuka Tulikuja Watupu Na Hakuna Tutachoondoka Nacho Be Grateful.
Indonesia
0
0
1
38
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Utapeli wa baadhi ya NGO ni kuwa na mchongo unaonekana unagusa maisha ya watu kama ‘Okowa Yatima wa Sadville’, halafu wanachukua mchuzi wote na hakuna yatima yoyote anayenufaika. –Elon Musk
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Indonesia
18
10
182
9.4K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Alfajiri tu saa 11 hata kabla hakujapambazuka tayari nimepoteza $780 (2,090,000) Kama huna kende za chuma, kaa mbali sana na trading. It's not for the weak.
Indonesia
49
32
800
59.4K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
@Dr_DGwajima Mama Angu Kipenzi Mungu Akubariki Sanaa Mimi Naishi Zangu Hapa Kijitonyama Huku Nasoma Chuo Sasa Mama Leo Nilikuwa Na Uhitaji Nipate Hata Chochote Kitu.....! Mungu Atakubariki Sana Mama Angu 🙏🏾
Indonesia
1
0
1
126
Dr. Dorothy Gwajima
Dr. Dorothy Gwajima@Dr_DGwajima·
Tunaendelea na Kampeni ya kuondoa watoto waishio mtaani na kudhibiti wengine kuondoka nyumbani kwenda kuishi na kufanya kazi mtaani. Repost tafadhali, ongezea uelewa, okoa mtoto... ✍🏻
Dr. Dorothy Gwajima tweet mediaDr. Dorothy Gwajima tweet mediaDr. Dorothy Gwajima tweet mediaDr. Dorothy Gwajima tweet media
Indonesia
51
100
269
28.9K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
@Sirjeff_D Unasikia Kaka Angu , Kula Sana Chipsi In Your 30s Kula Sana Mayai In Your 30s Endesha Sana Jaguar In Your 30s Hakuna Mtu Atayeku Judge Waty Watasema Umekuwa Mtu Mzima.
Indonesia
0
0
6
408
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Unasikia mdogo wangu; -Jaribu kila kitu ukiwa in ur early 20s -Fanya makosa yote ukiwa in ur early 20s -Fanya ujinga wote ukiwa in ur early 20s Hakuna mtu atakayeku-judge, watu watasema ni utoto Usiruke hii stage maana ukifika miaka 35+ kuna vitu ukifanya utaonekana mduanzi
Indonesia
19
38
417
11.5K
Besta Mlagila
Besta Mlagila@BestaMlagila·
Mheshimiwa sana Waziri @Dr_DGwajima mambo haya yanaanza taratibu mwanaume kufanya matangazo ya nguzo za ndani za wanawake ikiwa kawaida na mengine yataonekana yakawaida @maendeleoyajami
Indonesia
193
26
323
117.3K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
Kamata Hii Leo, Kabla Ya Hujaanza Kukata Tamaa Fikiria Yule Mtu Yupo Hospitalini Hawezi Hata Shika Kikombe Cha Uji, Kila Kitu Anafanyiwa, Huenda Unapitia Changamoto Nyingi Za Maisha,Uchumi,Elimu, MAHUSIANO Usikate Tamaa Mungu Hajakutoa Huko Kote Akuishie Njiani, Muamini Tu 🙏.
Indonesia
0
0
1
45
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
All About Today! Tunatamani Kusoma, Tukishasoma Tunaanza Kubeza Elimu, Tunatamani Kupendwa Tukishapendwa Tunawachukulia Poa Wanaotupenda, Tunatafuta Kazi Tukishazipata Tunaanza Kufanya Yasiyohusiana Na Kazi, Tunatamani Tusichonacho Hatuthamini Tulichonacho ✅ Written By Paul.
Suomi
0
1
2
81
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
@Sirjeff_D Ni Mmoja Na Kila Atafanikiwa Kwa Muda Wake Kuna Muda Unakandia, Afu Kuna Muda Una Hamasisha Haueleweki 😂
Indonesia
1
1
20
6.5K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Unakuta mtu ana miaka 30+ na hana gari na wala hajawahi kumiliki gari... unajiuliza, hivi Mungu wetu ni mmoja kweli??
Indonesia
118
22
656
56.2K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
@Sirjeff_D Tuwatu Tulivyoo Hivi Utaskia Anamwambia Demu Wake "Mamtu Nifanyie Mpango Wa 1000 Hapo" 😂 Utozzy Mwingi Hela Hamna
Indonesia
0
0
2
225
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Watu wenye PESA hua hawapigi kelele. Ni hawa kina Sirjeff ndio wana fujo😆
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
6
176
6.1K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
A Blessing Saturday! Usiruhusu Kitu Chochote Kikufanye Uwe Mtumwa Was Hasira, Uchungu, Kutosamehe,Kujikataa Nguvu Ya Kuyapinga Yote Ipo Ndani Mwako Jipe Furaha Usiruhusu Kabisa Ulale Na Hasira....... ✍️.
Filipino
0
0
1
46
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
All About Today! Jifunze Kuwa, Unaweza Kuwa Na Umuhimu Kwa Mtu Kwenye Eneo La Kazi Lakini Asikupe Umuhimu Kwenye Mambo Yake Ya Familia Ukomavu Ni Pamoja Na Kujua Kuwa Sio Lazima Kuhusishwa Kwenye Kila Jambo, Jifunze Kupunguza Matarajio, Itakusaidia Kupunguza Maumivu Uwe Na Amani
Indonesia
0
0
1
52
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Unataka kupima ukubwa wa IQ yako? Comment kitu chochote kwenye hii tweet ambacho ni mawazo yako ORIGINAL... nitakwambia ukubwa/udogo wa IQ yako
Filipino
368
20
716
86.6K
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
Before Starting Saturday! Kuna Hii Kitu Inaitwa "Neema" ikija Kwenye Maisha Yako Mambo Yanabadilika, Hauwi Tena Yule Wa Zamani! Milango Inafunguka Na Baraka Nyingi Sana Zjnakuja Maishani Mwako! Haiangalii Umri,Cheo, Rangi, Vyeti Mungu Akisema Ndiyo Hakuna Wa Kusema Hapana 🙏.
Indonesia
0
0
2
56
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
All About Monday Wewe Ni Binadamu Sio Mungu Hautaweza Kufanya Kila Kitu Kwa Kila Mtu, Mungu Tu Ndio "Omnipotent" Muweza Wa Yote Wewe Binadamu Hauwezi Yote Jifunze Kusema Hapana Pale Unapona Hauwezi Bila Kujiskia Kuhukumiwa Moyoni Kuna Ambao Hawatakuelewa, Ila Itakusaidia Maishan
Indonesia
0
0
1
37
Pascal Paul
Pascal Paul@PascalP71917935·
"I Am Not Good Enough" Ni Moja Ya Sentensi Ambayo Inaeza Kukuzuia Kufanya Mambo Mengi, Makubwa Kwenye Maisha Yako, Baada Ya Kupitia Changamoto Za Maisha Kufeli, Kukataliwa, Usipoamua Kuchukua Hatua Unaeza Kujikuta Unaishia Kuwa Mdogo, Wakati Mungu Amepanga Mengi Makubwa 🙏
Indonesia
0
0
1
32