Patrick Mukasa
2 posts


Amazon Rainforest. Msitu mkubwa kuliko yote duniani. Una ukubwa wa kilometa za mraba milioni 6.7, Sawa na ekari bilioni 1.7. Umekuwa ukikumbwa na mitihani ya moto inayotokana na kushindwa kwa walinzi/wahifadhi wake kutokana na nguvu za watafutaji mali - wakulima, wafugaji etc.




Dodoma, Tanzania 🇹🇿 Filipino
